Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

Hata angekuwa mkinga ningesema ukweli tu, nimemtaja uarabu wake kwa kuwa si mtanzania, kama hamkubali basi siwalazimishi
Huu ni ubaguzi ndugu. Una ushahidi wowote kwamba sio Mtanzania? Au unasema sio Mtanzania kwa sababu ya rangi yake? Mbona wapo Watanzania wengi tu wenye asili ya Uarabuni.
 
Hakuna muarabu mtanzania hayo maneno una yaongea ww kama nani ndani ya nchi hii?
Suala la kuwa uhalali au lah kwa yeye kununua hizo packing hilo sio juu yake bali hilo ni juu ya serikali yako, yeye kanunua kwa ajili ya masilahi yake suala la ni halali au sio halali sio jukumu lake.
Kila mtu tukisema aende aishi kwenye chimbuko la asili yake basi hata ww ulipo huna uhalali wa kuwepo.
 
Tuliza kalio wewe kuli wa mhindi mwanaharamu wewe pimbi , kaa ukielewa ,gharama inayolipa taifa la watu milioni 65 ni kubwa kuliko hizo hoja zako cheap za kiseng€ wewe unaongelea capitalism ,unajua capitalism fala wewe ?
Hebu nenda Asia ukafanya shughuli za uchuuzi mitaani halafu utupe mrejesho ,
Acha upumbavu .
Capitalism unaijua wewe tu ?
Kmamaee kalambe lolo la mhindi uendelee kupewa kibarua cha ukarani na ukuli huo ***** zako
Mazafaka@#$$

Umekariri Capitalism na wewe unaingia kichwa kichwa ,kilaza mmoja ,illiterate .
Pumbafu

Wewe unaona ni wajinga nchi kama Marekani ,Japan ,Germany nk ,hizo zote ni nchi zilizoendelea sana ,wanaweka restrictive rules kuzuia influx ya cheap labour na wachuuzi na watu wa kuja kuharibu access ya wazawa kwenye vitu ambavyo wana comperative advantage ya kufanya ili kuendelea kuwapa fursa raia wao za kupata kipato .
Tanzania watu raia wazawa wanathrive kwenye shughuli za uchuuzi , kilimo na hizi shughuli za kibunge jiko kama uboda boda ,ujenzi nk ,na wewe unaenda kuleta kuleta competition toka kwa foreigners , unategemea nini ?
Mpumbavu wewe uliyekariri neno "Capitalism " na elimu yako ya kata ,unakuja kuropoka hapa .
Kawafundishe hayo mataifa sasa waanzilishi wa Capitalism kuhusu Capitalism zeta wewe !

Umenichefua sana ,sina kawaida ya kuvurugwa hivi !
Acha upumbavu
 
Huna huo ushahidi wa unacho kiongea zaidi ya kumsikiliza kwenye story za kahawa.
Lakini hata kama ingelikuwa ni kweli hicho unacho kisema bado hakikupi uhalali wa kuwabagua kwa sababu kila nchi ina sheria zake ,wao kama sheria zao zinaruhusu kufanya hayo unayo yasema ,kwetu sisi ni haramu kumbagua mtz mwenzio kwa misingi ya kikabila,rangi,dini au kanda.

Mkuu kinacho mpa mtu uhalali wa kuwa mwenyeji wa sehemu fulani sio langi yake wala asili yake na ndio maana hata ww hapo ulipo pengine sipo uliko zaliwa lakini unajiita mwenyeji wa eneo hilo.

Leo hii tukisema kila mtu aende anaishi kwenye chimbuko la asili yake hata ww utakuta huna haki ya kuishi hapo unapo paita nyumbani.

Hata ww unaye wananga waarabu kuwa asili yao sio Tz tukikuambia kuwa tupe ushahidi iwapo chimbuko la ukoo wako ni kutoka Tz huwezi kutuonesha.

Wangoni chimbuko lao ni S.Africa kwa hiyo kuseme wangoni sio waTz hivyo tuwabague?
Hawa na wahangaza chimbuko lao ni kutoka Burundi kwahiyo tuseme waha wote sio Watz?
Wanyambo kutoka karagwe chimbuko lao ni Uganda kwa hiyo wanyambo sio Watz?

Alafu kingine unacho takiwa kujua ni kuwa kizazi cha waarabu kina karne zaidi ya 5 ndani ya nchi hii hivyo usiwachulie poa.
Hata kama wangekuwa ni wageni kwa hiyo ww wazazi wako wamekufundisha kuwa mtu akiwa mgeni unatakiwa kumnynyapaa na kumnyanyasa?
Cha mwisho watu weupe sio sababu ya umasikini wetu bali sababu kuu ya umasikini wetu ni upumbavu ulio tujaa vichwani mwetu.
 
Mkuu hayo maswali ulitakiwa uhiulize serikali yako iliyo mkodishia.
 
Na hiyo ndiyo ikafanya jengo lianguke?
 
Huyu kilaza hana akili
 
Bila shaka ww mimba yako alipatikania kwenye madanguro.
Siwezi kuendelea kujadilia na mtu mwenye mdomo mchafu kama choo.
 
Sidhani kama hao wenye maduka wana haki za parking bila kulipia. Wao wanamiliki maduka na si parking. Hizo parking ni za serikali kwa hiyo mtu yoyote anaweza kuzimiliki kwa muda kwa kulipia. Kuna ofisi nyingi tu wanalipia parking, na ukifika unakuta zimeandikwa reserved for ... staff au guests.
 
Nadhani una matatizo zaidi ya haya malalamiko unayotoa hapa

Mtu kanunua viwanja vyake kihalali na hati anazo

Wewe mchuma chumvi unakuja mpangia matumizi ya hivyo viwanja

Ustaarabu gani huo?

Private property ni private property huna cha kusema juu yake.

Wewe kama unataka ardhi kanunue ufanyie hapo biashara

Ushenzi wa kuzunguka kwenye vipande vya watu na kujifanya eti unataka kufanya umachinga hapo ni ukichaa

Hoja yako ya kipumbavu sana,eti zamani zilikua parking,sasa hivi kanunua yeye,anapanga matumizi anavyotaka yeye na sio wewe

Masikini ni hatari sana,majitu ya hovyo sana...Masikini ndio chanzo cha wizi,uuaji,hali zote mbaya

Na wewe ni tatizo na umasikini wako kaa nao huko
 
Umeenda kuweka dau kubwa zaidi yake ukakataliwa?
 
Mbona waarabu wengi tu wapo wasio waislam?
Hili halihusu dini hili
Mimi mwenyewe muislam ila najivunia udigo wangu mbona
Mkuu Hamas walivyoripua mabomu kule Israel akina JUMA wa Tandika walishangilia sana na Takbiir zikasemwa. Sasa hivi Myahudi anarudisha Moto wanalalamika.
 
Acha ujinga wewe
 
Endelea kuwashobokea waume wako,..subiria huo ushahidi unaoutaka,...
 
Ungetumia lugha ya staha,isiyo ya kibaguzi ungeeleweka,kwenye hitimisho lako nakuona mtu mwenye chuki na husda ambazo hazitakusaidia kufika popote kimaisha.
 
Shida ni kununua parking space na kutoitumia kama parking kwa kupanga vitambaa AU shida ni mwarabu sio mtanzania???
 
Bila shaka ww mimba yako alipatikania kwenye madanguro.
Siwezi kuendelea kujadilia na mtu mwenye mdomo mchafu kama choo.
JF ilikuwa brand ya " great minds ", saa hizi imejaa wajinga ambao hawana uwezo wa scholarly discussions. JF imejaa wahuni tu.
 
Mkuu naunga mkono hoja yako ×10000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…