Sure mi nilifungua duka miezi mitatu ndio wateja wakalizoea duka ikawa full shangwe..Lugha ya biashara yaani customer care iwe ya kiwango cha juu.
Mteja afike shop uko bize na simu unategemea nini.
Wadada hawa walivyo na visirani, mara afungue duka saa saba mara asifungue kabisa nani ataenda hapo.
Bidhaa pia ziwe toleo jipya.
Biashara inabidi uvumilie, miezi mitatu tu ndo kaanza kulia lia.
Duka lipo mikocheni ni ushuani kidogo ila lipo barabarani tena pembeni kuna kituo cha bodadoda.Naenda moja kwa moja kujibu swali lako
Swali mnalopaswa kujiuliza mmeanzisha biashara kwa lengo ngani?
Wateja wako ni kinani?
Location ya biashara yako imekaaje?
Washindani wako unawafahamu?
Ubora wa bidhaa zako zikoje?
Bei ya bidhaa zako zinafanana na za washindani wako?
Customer care na customer service unazitoa ni kwa ajili yako binafsi au mteja wako aridhike?
Kwa hayo maswali ukiyajibu kwa ufanisi changamoto ya wateja kwenye biashara yako itakuwa imefikia tamati,hakuna mchawi hapo kwa maelekezo zaidi njoo dm.
Okay sawa nimekuelewa.Mwambie aingie kwenye vipodozi
Atafute vile vinavyotrend mjini apige kampeni mitandaoni huko
Wateja wa hivyo watasaidia kununua na vingine
Kuhusu muda anajitahidi maana anafungua kila siku kuanzia saa 3 mpaka saa 2 usiku kasoro jumapili ndio anachelewa kufungua sababu ya ibada.Lugha ya biashara yaani customer care iwe ya kiwango cha juu.
Mteja afike shop uko bize na simu unategemea nini.
Wadada hawa walivyo na visirani, mara afungue duka saa saba mara asifungue kabisa nani ataenda hapo.
Bidhaa pia ziwe toleo jipya.
Biashara inabidi uvumilie, miezi mitatu tu ndo kaanza kulia lia.
Asante mkuu ila nikimwamishia Mbeya roho yangu itakuwaje mzee mwenzangu πππstivii poleni sana yawezekana pale anapofanyia hiyo biashara akuzingatia anavyouza na jamii inayopazumbuka hapo .
Kiuhalisia kwa hapo mjini kati hiyo biashara inahitaji muda sana kujitangaza japo pia hapo mjini kati biashara ni ushindani sana tofauti na sehemu zingine unajikuta uko mwenyewe.
Hivyo aangalie sehemu yenye uhitaji wa hivyo vitu ili aweze kufanya biashara au ajipe muda huku akitangaza hiyo biashara.
Ila mkoani ni kutamu sana kwa hiyo biashara hasa vijijini kwa wakulima kwenye misimu hii ya mavuno .
Karibu mbeya tufanye wote hiyo biashara nimewekeza pia
Ushauri tu [emoji120][emoji120][emoji120]
TEKERI