Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

Biashara imehamia ntandaoni, ajitangaze sana mtandaoni na awe anafanya delivery. Kama vipi a run ads campaign facebook na instagram awalipe wale wambea wa Insta pia watupie matangazo
Anafanya insta ads ila wambea bado hajawapelekea.

Unashauri celebrity gani atafaa sana kumpelekea tangazo walau wawili watatu ambao wanaweza leta matokeo?
 
Kama ni miezi miwili hii.. Biashara hiyo haikua rahisi sana. Hata kwa sisi wa Kkoo jumla.
Nashauri awekeze muda mwingi kwenye marketing ya bidhaa zake dukani.
Nashauri kutokukata tamaa..
Nashauri muda wa baishara unakuja hivo kuweni na subira.
Miezi miwili ni michache sana kujua mtazamo wa biashara kama hiyo.
ASANTE.
Ni miezi hii miwili ndio.

Sawa nitamwambia huu uzoefu wako
 
Mwenza wangu nilimpa mtaji afungue biashara kwa kuwa anapenda sana urembo akaona afungue biashara ya duka la urembo, cosmetic na mavazi.

Lakini anapitia changamoto ya kukosa wateja inaweza ipite siku mteja asiingie kabisa dukani. Siku akiuza basi ni bidhaa chache tu. Duka lipo Mikocheni lina miezi miwili. Anauza nguo, viatu vya kike, perfume, jewellery na vitu vya namna hiyo.

Mwenye uzoefu na hii biashara anisaidie mawazo maana naona wife anapata stress mno kuwa business itakufa. Tumejaribu kuwa anatangaza online ila page haijachangamka ata tukiboost wateja hatuwaoni..

Mawazo yenu wadau
Isije ukawa ndio huyu amepanga mbele ya mtaa wangu wa Serengeti!!?
mtaa mgumu sana huo ili mtu afanye biashara mtaa huo ni lazima awe na wateja wake maalum manake mtaa hauna movement ya watu kupitia kwa miguu. Ni gari tu zinapita tena kwa speed
 
Naenda moja kwa moja kujibu swali lako
Swali mnalopaswa kujiuliza mmeanzisha biashara kwa lengo ngani?
Wateja wako ni kinani?
Location ya biashara yako imekaaje?
Washindani wako unawafahamu?
Ubora wa bidhaa zako zikoje?
Bei ya bidhaa zako zinafanana na za washindani wako?
Customer care na customer service unazitoa ni kwa ajili yako binafsi au mteja wako aridhike?

Kwa hayo maswali ukiyajibu kwa ufanisi changamoto ya wateja kwenye biashara yako itakuwa imefikia tamati,hakuna mchawi hapo kwa maelekezo zaidi njoo dm.
Ndivyo ulivyokariri!!?
alafu unauliza eti umeanzisha biashara kwa lengo gani!!?
huu si utopolo!! watu wanaanzisha biashara ili wapate faida
 
Mengine yameshaongelewa huko juu, mimi naongeza tu maombi/Dua ni muhimu kila anavyokufungua duka lake, alikabidhi mikononi kwa Mungu.

Ila kama location sio nzuri mkuu msijekuona Mungu anawasaliti.

Wengi wanafungua biashara kwa kuwa tu wamepata hela na wanatamani kufanya kitu fulani, sasa biashara sio suala la kutamani kufanya kitu, ni kuangalia fursa zilizopo eneo linalokuzunguka na uhitaji wa watu eneo Hilo.

Msikate tamaa mapema
 
Wateja wanakimbiaga bei mana ushindani ni mkali muuze bidhaa sawa na wenzenu mana biashara siku faida ni asilimia 10 ya bei ya bidhaa ukitaka faida nusu kwa nusu hiy haipo wateja watakuwa wanaishia kuuliza nakuondoka
Hapo kwenye asilimia 10.. Ndipo natamani maelezo kidogo!

Kwa mfano nikinunua vimafuta vya mgando vya kujipaka family care carton moja sh 5,500 nikiuza vyote 12 kwa bei ya sh 500 kwa kila kikopo nitapata 6,000!..
Hapa asilimia kumi inatafutwaje mkuu?
 
Biashara imehamia ntandaoni, ajitangaze sana mtandaoni na awe anafanya delivery. Kama vipi a run ads campaign facebook na instagram awalipe wale wambea wa Insta pia watupie matangazo
Wambea wa Insta wako less effective kuliko Insta adds na Facebook adds. Maza alihama kutoka kwao naona kuna positive results. Wambea wa Insta wamejaza vilaza na wasio na kazi wanatafuta michambo na udaku, jobless kibao na hawana hela
 
Hapo kwenye asilimia 10.. Ndipo natamani maelezo kidogo!

Kwa mfano nikinunua vimafuta vya mgando vya kujipaka family care carton moja sh 5,500 nikiuza vyote 12 kwa bei ya sh 500 kwa kila kikopo nitapata 6,000!..
Hapa asilimia kumi inatafutwaje mkuu?
Huwezi endesha biashara ya duka ukitafuta faida ya 10% ukatoboa, utalifunga hilo. Asilimia kumi ya 5,500 ni 550. Hiyo ni gross profit, bado utoe gharama za uendeshaji, ushuru, kodi, kula, etc. Hufiki popote

Mfano wauzaji wa electronics, hizi cover za simu wakinunua China hadi kwa 700 TZS wanapata, akija hapa anauza 3000, 5000 hadi 10,000 kulingana na simu na eneo. Screen protector ananunua chini ya 1000 anauza 3000, 5000 kwa wingi au zaidi kidogo kulingana na ushamba wa mteja. Wauza madawa ananunua vidonge kwa 1000 Kariakoo duka la jumla anauza 4000 mtaani Dar. Vidonge vya mimba vile hata 5000 havifiki ila vinauzwa kwa siri zaidi ya 20,000 hadi 50,000.

Duka la mangi ndio huchezea kwenye 20% naona ndio biashara yenye faida kidogo kidogo ili uendelee inabidi uwe na constant flow of customers uuze kwa quantity kubwa na mzunguko mkubwa
 
Yaani miez miwil tayari unalia lia...kwa kifupi ninyi wote biashara hamjui na sikufichi hiyo pesa imepotea..tafuten kaz nyingine lakin sio kujiajiri.....mkaajiriwe wotee ww na mkeo...wenzio kwenye biashara huwa tunaingia na matarajio ni miaka miwil ya kwanza unamfanyia mwenye pango yaan unalipa kodi..baada ya hapo ndio unaanza kuangalia upepo
 
Wambea wa Insta wako less effective kuliko Insta adds na Facebook adds. Maza alihama kutoka kwao naona kuna positive results. Wambea wa Insta wamejaza vilaza na wasio na kazi wanatafuta michambo na udaku, jobless kibao na hawana hela
Inaweza kuwa ni kweli kuwa wengi wana followers ambao sio potential buyers ambao ila wana afford kununua vijora vya 6000 na 10000.
So kwa kutegemea na bidhaa, inabidi umtumie mtu ambaye unahisi followers wake wanaweza afford hiyo bidhaa
 
Yaani miez miwil tayari unalia lia...kwa kifupi ninyi wote biashara hamjui na sikufichi hiyo pesa imepotea..tafuten kaz nyingine lakin sio kujiajiri.....mkaajiriwe wotee ww na mkeo...wenzio kwenye biashara huwa tunaingia na matarajio ni miaka miwil ya kwanza unamfanyia mwenye pango yaan unalipa kodi..baada ya hapo ndio unaanza kuangalia upepo
Dah haya sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako
 
wenye mtaji kibaba sijui itakuaje
 
Dah haya sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako
Wengine watakupanga panga na maneno mazur mazur na hayatakusaidia...kwanza huwez kuwa mfanyabiashara mkubwa wa vipodozi cjui na nn afu location ikawa mikocheni...ww unakuwa ni mjasiriliamali na sio mfanyabiashara...eneo hilo utatafuta hela ya kula tuu...
 
Huwezi endesha biashara ya duka ukitafuta faida ya 10% ukatoboa, utalifunga hilo. Asilimia kumi ya 5,500 ni 550. Hiyo ni gross profit, bado utoe gharama za uendeshaji, ushuru, kodi, kula, etc. Hufiki popote

Mfano wauzaji wa electronics, hizi cover za simu wakinunua China hadi kwa 700 TZS wanapata, akija hapa anauza 3000, 5000 hadi 10,000 kulingana na simu na eneo. Screen protector ananunua chini ya 1000 anauza 3000, 5000 kwa wingi au zaidi kidogo kulingana na ushamba wa mteja. Wauza madawa ananunua vidonge kwa 1000 Kariakoo duka la jumla anauza 4000 mtaani Dar. Vidonge vya mimba vile hata 5000 havifiki ila vinauzwa kwa siri zaidi ya 20,000 hadi 50,000.

Duka la mangi ndio huchezea kwenye 20% naona ndio biashara yenye faida kidogo kidogo ili uendelee inabidi uwe na constant flow of customers uuze kwa quantity kubwa na mzunguko mkubwa
Huwezi endesha biashara ya duka ukitafuta faida ya 10% ukatoboa, utalifunga hilo. Asilimia kumi ya 5,500 ni 550. Hiyo ni gross profit, bado utoe gharama za uendeshaji, ushuru, kodi, kula, etc. Hufiki popote

Mfano wauzaji wa electronics, hizi cover za simu wakinunua China hadi kwa 700 TZS wanapata, akija hapa anauza 3000, 5000 hadi 10,000 kulingana na simu na eneo. Screen protector ananunua chini ya 1000 anauza 3000, 5000 kwa wingi au zaidi kidogo kulingana na ushamba wa mteja. Wauza madawa ananunua vidonge kwa 1000 Kariakoo duka la jumla anauza 4000 mtaani Dar. Vidonge vya mimba vile hata 5000 havifiki ila vinauzwa kwa siri zaidi ya 20,000 hadi 50,000.

Duka la mangi ndio huchezea kwenye 20% naona ndio biashara yenye faida kidogo kidogo ili uendelee inabidi uwe na constant flow of customers uuze kwa quantity kubwa na mzunguko mkubwa

Huwezi endesha biashara ya duka ukitafuta faida ya 10% ukatoboa, utalifunga hilo. Asilimia kumi ya 5,500 ni 550. Hiyo ni gross profit, bado utoe gharama za uendeshaji, ushuru, kodi, kula, etc. Hufiki popote

Mfano wauzaji wa electronics, hizi cover za simu wakinunua China hadi kwa 700 TZS wanapata, akija hapa anauza 3000, 5000 hadi 10,000 kulingana na simu na eneo. Screen protector ananunua chini ya 1000 anauza 3000, 5000 kwa wingi au zaidi kidogo kulingana na ushamba wa mteja. Wauza madawa ananunua vidonge kwa 1000 Kariakoo duka la jumla anauza 4000 mtaani Dar. Vidonge vya mimba vile hata 5000 havifiki ila vinauzwa kwa siri zaidi ya 20,000 hadi 50,000.

Duka la mangi ndio huchezea kwenye 20% naona ndio biashara yenye faida kidogo kidogo ili uendelee inabidi uwe na constant flow of customers uuze kwa quantity kubwa na mzunguko mkubwa
Inategemeana na mtaji ulionao kwa mtaji wa mil 5-8 faida ni 15% kwa mtaji unaozunguka haraka mauzo yasipungue 500k gharama ya pango 300k kwamba nikichukua mzigo wa mil 1 faida 150k

Kwa mtu mwenyew mtaji mkubwa zaidi itategemea na mauzo mtu aliyenabiashara karikoo huyu anakuwa na wateja mikoa yote hivy nirahisi kupata faida nusu kwa nusu
 
Back
Top Bottom