Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

Tabu iko hapo,hao wana taka waende palm village mall huko,mlimani,shopping plaza wauze sura
 
Badilisha muuza duka mkuu.
 
Inaweza kuwa ni kweli kuwa wengi wana followers ambao sio potential buyers ambao ila wana afford kununua vijora vya 6000 na 10000.
So kwa kutegemea na bidhaa, inabidi umtumie mtu ambaye unahisi followers wake wanaweza afford hiyo bidhaa
Yani influencers wa Insta kweli ni wa bidhaa za kawaida za Uswahilini. Bimkubwa bidhaa na service yake ni ya watu wa kati na juu, akipost Insta hata likes hawampi ila wanampigia simu kumpa kazi. Ukitazama post zake unakata tamaa ila wateja anao tu, ukilipa wa kuchamba influx ya wateja huoni ila ukilipia Insta kwenyewe unaona tofauti.

Sasa ku
 
Mkiu mimi uwa na run ads fb na insta za aluminum na upvc workshop, asilimia 90% ya wateja wanatoka huko japo unaweza kukuta post haina hata comment
 
Kukosa wateja inategemeana na biashara yako iko eneo lipi. Je ni eneo la watu wengi au lah. Pia kwa miezi miwili ni michache Sana na biashara sio kila siku utauza hilo sio duka la nahitaji ya nyumbani kwamba leo mtu Hana unga atakuja chumvi atakuja hivyo ni kuvumilia tu. Mimi nimekaa na business mwaka mzima biashara ni mbaya ila kumbe nilikosea location ya kufunguwa hiyo business mwaka huu nimebadili location si haba naiona faida so miezi miwili ni michache Sana.
 
Location na customer care izo ni mikwala tu tulofundisha chuo wachina wahindi wanauza bidhaa hawakubembelezi ila utanunua tu km unakata icho kitu location haina maana sana sabu wateja ufata bidhaa km bidhaa ni bora na bei ni nafuu watu watakuja tu

Sna la kukushauri sana sana vumilia tu yawezekana uchumi wa watu sio mzuri
Unaweza ukawa na location nzuri na customer care bora kabisa ila km bei zako ni juu kuzidi wapinzani wako competitor bas jua kaz ipo
 
Sangoma
 
Nina changamoto sana kwenye mdada wa kazi..

Nina kiji Stationary, mwanzo nilikua nauza fresh tu,na mdada alikua na mukari wa kazi,sasa hivi mdada amepoa kama uji wa mgonjwa,anachelewa kufungua na anawahi kufunga,wakati mwingine afungui kabisaa,wateja wamekua wakinipigia simu mpaka wamechoka wengine wamenikimbia mazima...mauzo siku hizi nalaza 7500 babeki zake huyu dada....

Ni ngum sana kuwaaminisha tena wateja wakarudi kama zaman....
Huyu fara namfukuza wakati wowote,biashara naifunga, apate mda wa kulala zaidi ***** zake.
 
Miezi miwili kwa biashara inayoanza chini ni muda mfupi sana kutegemea kuona mafanikio.

Biashara itakuzwa na hao wachache wanaoingia dukani hata kama ni mara moja kwa mwezi, wahudumie vema hao hao ndio mtaji wa brand yako.
 
Mkiu mimi uwa na run ads fb na insta za aluminum na upvc workshop, asilimia 90% ya wateja wanatoka huko japo unaweza kukuta post haina hata comment
Insta ad Ina Bei gani ??
 
Duka bila sangoma aliendi

Tafuteni dawa ya kuvutia wateja
 
Ulipata eneo zuri la biashara na wateja walikupokea vizuri, kilichowakimbiza ndio umekificha.
 
Mwenza wako,
Je ni Mke, mchepuko, mpenzi, au?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…