Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #141
Na ulivyo mgumu kutiririka, ukishusha itakua sapraizi!Kesho nitashusha kurasa
Jinga sana ewe ngikuru
Ebu sema kitu unachotaka kusema ๐คฃKazi njema kipenzi ๐
View attachment 3668097
Nimekabwa mdogo wangu, nina mengi ๐Ebu sema kitu unachotaka kusema ๐คฃ
Kishundu cha rafiki yako anayewashwa ๐Hicho ni kishundu au macho yangu
TobaaaaKishundu cha rafiki yako anayewashwa ๐
Ongea japo moja tu ๐Nimekabwa mdogo wangu, nina mengi ๐
Hiyo kazi unaifanyia kitandani au unatoka nje ya nyumba?Ongea japo moja tu ๐
Ni kazini mahi kibaruani๐๐Hiyo kazi unaifanyia kitandani au unatoka nje ya nyumba?
Hata ya kitandani nayo si kazi? au hiyo haihesabiki?Ni kazini mahi kibaruani๐๐
Hivi unawaza nini wewe lakini lol ๐
We acha naona raha mieeee nitake nini ya Rab๐๐ค๐คHata ya kitandani nayo si kazi? au hiyo haihesabiki?
Nawaza hizo raha zinazokumwagikia unapewaje pewaje ๐
Kabudi anaku find ๐๐Leo alfajiri mkuu ๐
Kwa mganga wako ๐Kwa nani?
C ndiooooooooooooooo ๐Kumbe kwahiyo unajichetua sio ๐
Kwakweli ๐๐C ndiooooooooooooooo ๐
Tunachangamsha kijiwe tuu
Huna lolote bali ni kamdomo tu๐
Asisumbue watu, anajua pa kunipata ๐Kabudi anaku find ๐๐
Yani uliondoka, ukarudi ukaanza kukagua salio kwenye suruali au ilikuaje?Hata ungekua wewe unarudiaje kudinya mtu umeenda kujisafisha unarudi unakuta kwenye suruali teni haipo..!!