Hahahmimi kama mwanaume najua nikifanya kosa moja kwenye biashara yangu kosa moja linaweza nirudisha miezi sita hata miaka mitano nyuma huko, hawa ndio madogo hawakulelewa na masculine men kama baba zao, badala ya kutafuta mke, unatafuta tako, miguu, na sura, na nguo, facken kabisa, ndio maana mond anawalipa 500k huwezi kufanya maamuzi, hii sio ajali hata kidogo ni kenge mmoja tu amejitokeza wapo wengi.
Inamaana alijivisha kama Mwanamke auNDOA ZA BUKU TATU NAZO NI NDO?
ALIZALISHWA NA MWINGINE NA WAKASHINDWANA HUKO, WEWE NI NANI WA KUWEZA?
WANASEMA NDEGE WANAO FANANA HURUKA PAMOJA,.
ALIYEKOMAA AKILI HAWEZIFANYA UTUMBO HUU.👇👇
View attachment 2753902
Uanaume kulialia mbele za watu?Mapenzi yanaumiza namuelewa Sanaa,humu watu wanapenda ila ukute yamewakuta wamepona au hayajawkauta yakiwakuta Ndo wanakua vichaa wanaanza Sema ndoa ni laana
Mmepmpenda Dullah bora kaongea na huo Ndo uanaume
Ila sio kama mwanzoHakunaga kuusemea moyo
Uumizwe hata mara mia utapenda tu tena
PITA KULE[emoji1]Mtenda akitendewa si unajua.
Anywe maji atutungie nyimbo za singeli sie aache kujiliza
Obama nae naskia wanampumulia kisogoniMapenzi ni mkutane wote mna akili timamu mbona Obama na Jay z hawasemi hayo
ExactlyMapenzi hayana ushujaa...inatakiwa uwe na kiwango kikubwa cha uvumilivu....
Wenye kiwango kidogo kama mimi tunanunua tu..nakulipa unasepa
Tena toka niijue tagged...ndio kabisa sitongozi....dem unamla lodge anakwambia ana mpenz wake wanapendana sanaExactly
Kuna Telegram, hapa imetumwa Message imeandikwaTena toka niijue tagged...ndio kabisa sitongozi....dem unamla lodge anakwambia ana mpenz wake wanapendana sana
Siwezi thibitisha hiloObama nae naskia wanampumulia kisogoni
Tofautisha ndoa na sex. Mtu akikataa ndoa haina maana amekataa sexNyeto nayo ni uzwazwa
Nafikiri komenti yangu ungeipita kimya kimya, nilimkoti mdau wa hiyo mambo tuTofautisha ndoa na sex. Mtu akikataa ndoa haina maana amekataa sex