Dulla Makabila: Moyo wangu nahisi unawaka moto naumia sana sitaki tena mapenzi wala mahusiano sitaki

Dulla Makabila: Moyo wangu nahisi unawaka moto naumia sana sitaki tena mapenzi wala mahusiano sitaki

mimi kama mwanaume najua nikifanya kosa moja kwenye biashara yangu kosa moja linaweza nirudisha miezi sita hata miaka mitano nyuma huko, hawa ndio madogo hawakulelewa na masculine men kama baba zao, badala ya kutafuta mke, unatafuta tako, miguu, na sura, na nguo, facken kabisa, ndio maana mond anawalipa 500k huwezi kufanya maamuzi, hii sio ajali hata kidogo ni kenge mmoja tu amejitokeza wapo wengi.
 
Hahah
 
Mapenzi yanaumiza namuelewa Sanaa,humu watu wanapenda ila ukute yamewakuta wamepona au hayajawkauta yakiwakuta Ndo wanakua vichaa wanaanza Sema ndoa ni laana
Mmepmpenda Dullah bora kaongea na huo Ndo uanaume
Uanaume kulialia mbele za watu?
 
Sure mapenzi sometimes ni UfALA tu hasa haya ya ki Leo.

Yanaweza kukurudisha nyuma sana kimaendeleo
 
Mapenzi hayana ushujaa...inatakiwa uwe na kiwango kikubwa cha uvumilivu....
Wenye kiwango kidogo kama mimi tunanunua tu..nakulipa unasepa
 
Tena toka niijue tagged...ndio kabisa sitongozi....dem unamla lodge anakwambia ana mpenz wake wanapendana sana
Kuna Telegram, hapa imetumwa Message imeandikwa

"Wale wa KIMARA Utamu upo karibu yako..

Huduma nazotoa ni

1
2
3
4"
 
Sijui ni kutokana na Malezi au Ndo Saikolojia imeshajifia Ila kiukweli tu Huwa nawashangaa sana watu Wanaosema wanateseka na Mapenzi.
 
Yaani siku nilipoona mshauri wa ndoa Dr Mwaka kaachwa unajua nilikaa chini nikawaza sikupata majibu. Mapenzi kweli hayana mwalimu.
Yafuatayo nimejifunza;
1. Usimtegemee na kumwamini sana binadamu mwenzio
2. Moyo wa mtu ni siri hujui anawaza nini
3. Huwezi kum satisfy binadamu mwenzio hata ufanye nini.
4. Jipende sana mwenyewe kula vizuri, vaa vizuri, nukia vizuri, endesha gari zuri, safiri
5. Pia kama sio mtu wa dini basi usiingie kwenye mapenzi bali uingie kwenye ngono tu kama sehemu ya starehe baaaasi. Zamani nilikua najiuliza kwa nini biashara ya ukahaba inadumu lakini nimepata majibu.
6. Kama mtu wa dini basi utumie muda kwa Muumba ili atupe mwisho mwema.
7. Ndoa ina mambo mengi sana vijana wasikimbilie ndoa tena kama Huna kipato cha uhakika bora ubaki mwenyewe. Cha ajabu pia hata wenye hela nao moto unawaka.

Daaaa. Noma sana.
 
Tatizo vijana wanachagua wanawake wasioendana nao. Kwa vile tu una jina na umaarufu sio tiketi ya ushindi juu ya mapenzi. Naamini mahali fulani yupo mwanamke anateketea jwa ajili ya huyu msanii
 
Back
Top Bottom