chariti
JF-Expert Member
- Aug 18, 2023
- 362
- 748
mimi kama mwanaume najua nikifanya kosa moja kwenye biashara yangu kosa moja linaweza nirudisha miezi sita hata miaka mitano nyuma huko, hawa ndio madogo hawakulelewa na masculine men kama baba zao, badala ya kutafuta mke, unatafuta tako, miguu, na sura, na nguo, facken kabisa, ndio maana mond anawalipa 500k huwezi kufanya maamuzi, hii sio ajali hata kidogo ni kenge mmoja tu amejitokeza wapo wengi.