Dulla Makabila: Moyo wangu nahisi unawaka moto naumia sana sitaki tena mapenzi wala mahusiano sitaki

Dulla Makabila: Moyo wangu nahisi unawaka moto naumia sana sitaki tena mapenzi wala mahusiano sitaki

Yaani siku nilipoona mshauri wa ndoa Dr Mwaka kaachwa unajua nilikaa chini nikawaza sikupata majibu. Mapenzi kweli hayana mwalimu.
Yafuatayo nimejifunza;
1. Usimtegemee na kumwamini sana binadamu mwenzio
2. Moyo wa mtu ni siri hujui anawaza nini
3. Huwezi kum satisfy binadamu mwenzio hata ufanye nini.
4. Jipende sana mwenyewe kula vizuri, vaa vizuri, nukia vizuri, endesha gari zuri, safiri
5. Pia kama sio mtu wa dini basi usiingie kwenye mapenzi bali uingie kwenye ngono tu kama sehemu ya starehe baaaasi. Zamani nilikua najiuliza kwa nini biashara ya ukahaba inadumu lakini nimepata majibu.
6. Kama mtu wa dini basi utumie muda kwa Muumba ili atupe mwisho mwema.
7. Ndoa ina mambo mengi sana vijana wasikimbilie ndoa tena kama Huna kipato cha uhakika bora ubaki mwenyewe. Cha ajabu pia hata wenye hela nao moto unawaka.


Daaaa. Noma sana.
Docta mwaka kaliachis lilie li-jimama zuri aisee.

Mi nalitamani sana. Liko SEXY sana lile li shangazi.

Daah Kuna watu wanakula pazuri.
 
Tatizo vijana uzungu ndio unawaharibia.
Hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume, mwanamke hatakiwi kuaminishwa kwamba unampenda saana. Na bila yeye huwezi ku survive.
Na bado mtalia sana kenge nyie!
Wazee wenu tupo kwenye ndoa na life inasonga, now tunatarajia kupata furaha ya wajukuu.
Note: akili ya mwanamke ni kama ya mtoto mdogo.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Ukitàka kujua hilo angalia watoto wanaoitwa junior linganisha na wanaoitwa Mwaki, Juma, Edwin, Ally, Mwalami, nk
 
Kazi ya moyo ni kusukuma damu. Hayo mambo mengineyo ni ya kujitakia.
 
Back
Top Bottom