cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Tena vibaya mno.Mapenzi yanarun dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena vibaya mno.Mapenzi yanarun dunia
Huyo anatafuta kiki tyuuh, anataka kutoa wimbo.Hakunaga kuusemea moyo
Uumizwe hata mara mia utapenda tu tena
Yaan dullah ndo anapiga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia jamaa mpigaji yaani kaugomvi kadogo anapiga kama ngoma nani atakubali kudumu nae[emoji205]
Hadi asemeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado hajasemaaa
Mmeanzaaa wajaaa, hamkosii cha kusemaa.Obama nae naskia wanampumulia kisogoni
[emoji3526][emoji1][emoji38][emoji38]Aisee, na mbaya zaidi akifinyiwa kwa ndani hachukukui round anakimbilia KUOA
Kwani dhambi?!!!uanaume kuua mgoni wako au kuua mwanamke ukimfumania?!!!Uanaume kulialia mbele za watu?
Docta mwaka kaliachis lilie li-jimama zuri aisee.Yaani siku nilipoona mshauri wa ndoa Dr Mwaka kaachwa unajua nilikaa chini nikawaza sikupata majibu. Mapenzi kweli hayana mwalimu.
Yafuatayo nimejifunza;
1. Usimtegemee na kumwamini sana binadamu mwenzio
2. Moyo wa mtu ni siri hujui anawaza nini
3. Huwezi kum satisfy binadamu mwenzio hata ufanye nini.
4. Jipende sana mwenyewe kula vizuri, vaa vizuri, nukia vizuri, endesha gari zuri, safiri
5. Pia kama sio mtu wa dini basi usiingie kwenye mapenzi bali uingie kwenye ngono tu kama sehemu ya starehe baaaasi. Zamani nilikua najiuliza kwa nini biashara ya ukahaba inadumu lakini nimepata majibu.
6. Kama mtu wa dini basi utumie muda kwa Muumba ili atupe mwisho mwema.
7. Ndoa ina mambo mengi sana vijana wasikimbilie ndoa tena kama Huna kipato cha uhakika bora ubaki mwenyewe. Cha ajabu pia hata wenye hela nao moto unawaka.
Daaaa. Noma sana.
Naona unalipigiaga nyetoDocta mwaka kaliachis lilie li-jimama zuri aisee.
Mi nalitamani sana. Liko SEXY sana lile li shangazi.
Daah Kuna watu wanakula pazuri.
Hapo hakuna majibu.Kwani dhambi?!!!uanaume kuua mgoni wako au kuua mwanamke ukimfumania?!!!
Wanatia huruma hao watu mtu ukimpenda mapenzi yakienda mrama yanahumiza Moyo.
Hutakiwi kuingia miguu miwili.Wanatia huruma hao watu mtu ukimpenda mapenzi yakienda mrama yanahumiza Moyo.
😂NDOA NI LAANA
Usiseme hivyo, Kama ndo mkeo na mna watoto wadogo ndani mwenzako anasepa, ?Hutakiwi kuingia miguu miwili.
Sina MPANGO wa KUOA.Usiseme hivyo, Kama ndo mkeo na mna watoto wadogo ndani mwenzako anasepa, ?
Sawasawa baba paroko, au mseja, hata F.A, alishaimba bado nipo nipo Sana baadaye yakawa kinyume chake.Sina MPANGO wa KUOA.