Dullah Mbabe umetuonesha wewe ni kichwa cha familia

M
Mwisho wa siku unasikia, "hakuna kama mama" shenzi kabisa!
 
Dunia tunapita kila kitu kitabakia binadamu ni michanga itabaki milele milima"

We kufa kisa watoto end the day unaenda pima dna watoto sio wako

Ni mwanaume mpumbavu tu atawazia watoto badala ya kuwazia pesa

KATAA ndoa ni utapeli funga kizazi hakuna kuzaa zaa hovyo huku hhuna hata kaduka kamoja

Utapigwa hadi uchakae kisa watoto

Kapuku pambania watoto matajiri tunapambania pesaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1740258015650.jpg
    56.4 KB · Views: 1
Thats what it takes to be a real men, unapambana kufa na kupona ilinfamilia uliyoianzisha isipate tabu hapa duniani
Ila wanaume wenzangu tusisahau kuipa pole mioyo yetu pindi nafasi ya kufanya hibyo inapopatikana, Maisha mafupi sana hapa duniani.
Lazma upasuke barabara
 
Katika "clans" au familia za wanyama zinatupa somo kubwa. Familia ya Simba "pride" ni Simba majike na watoto wao, baba (dume) atakuja kulinda familia akizingua/akiishiwa nguvu anabadilishwa..

Hivyo hivyo kwa clans za Tembo na Fisi! So baba upo kwa ajili ya kulinda familia, likely utakufa au utakuwa replaced!

Ndio maana baadhi za jamii za Tanzania zilikuwa matrillinial , kwa maana koo zilienda upande wa mama!
 
Mababa tunapitia mengi na huwa hatulalamiki hata hao tunaowapambania muda mwingine hawaoni.
Ndiyo maana ni rahisi kumsikia mtoto akisema nilikiwa namwona mama akituhangaikia, lakini si rahisi aseme nilikiwa namwona baba akihangaika
Wanaume tuna shida sana tu unapambana ulingoni unabondwa mangumi, unapata kipato kidogo unakwenda kumkabidhi mwanamke badala ya kuitumia kwenye mambo ya msingi anakwenda kuweka kope bandia na kununua mawigi ya Brazilian Hair na material mengine ya kudangia ili apendwe na wanaume wengine...
 
 
Stay Strong Blood πŸ’ͺ🏾
 
MY TAKE: Sikuwa nikimsikiliza loser, bali nilikuwa namsikiliza baba, nilikuwa namsikiliza mwanaume, mpambanaji haswa.πŸ₯±
 
Asithubutu kuongea hivyo tena. Ni makosa kupigana ukiwa mgonwa, wenye mamlaka wakisikia watamfungia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…