Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aache Kupigana kinjaa njaa.Kwamba wote waliocheza ndondi lazma iwatokee hii kitu!?
Wewe unafanya nini kwaajili ya familia?Kwahio anapigwa sababu ya familia🤣???
Siku toto la kiume litakoka hadharani na kusema nani kama mama baba alikuwa busy na Malaya na pombe tuBaada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Bondia Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari.
View attachment 3259327
Mwandishi: Ulilionaje Pambano?
Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko fit nina 'hogo' (Akaonesha picha katika simu), nilikuwa kwenye matibabu kwa miezi sita. Tunapigana kwa sababu hatuna pesa, lazima tupambane riziki ipatikane lakini siko fit.
Nilijua ni mechi ya kawaida, ndio maana niliwaambia mapromota tutafute mechi ya kawaida lakini mechi imekuja kuwa ngumu.
Mwandishi: Ulimwonaje mpinzani wako?
Dullah: Sio bondia mzuri sana, sema mwenyewe nilikuwa unfit.
Mwandishi: Kwa nini ulikubali kucheza na unajua unaumwa Dullah?
Dullah: Day after day lazima zipatikane riziki za watoto, wanatakiwa waende shule, wanatakiwa wasome pia tupate riziki za kula na familia.
Mwandishi: Kwa maana hiyo una-sacrifice kwa ajili ya familia?
Dullah: Yes, lazima..lazima tupambane!
__________________________________
MY TAKE: Sikuwa nikimsikiliza loser, bali nilikuwa namsikiliza baba, nilikuwa namsikiliza mwanaume, mpambanaji haswa.
Ndo maana mawakinyo anavyosema msishindanie Toyota crown mnamuana mjuaji Kuna maisha baada ya boxingBaada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Bondia Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari.
View attachment 3259327
Mwandishi: Ulilionaje Pambano?
Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko fit nina 'hogo' (Akaonesha picha katika simu), nilikuwa kwenye matibabu kwa miezi sita. Tunapigana kwa sababu hatuna pesa, lazima tupambane riziki ipatikane lakini siko fit.
Nilijua ni mechi ya kawaida, ndio maana niliwaambia mapromota tutafute mechi ya kawaida lakini mechi imekuja kuwa ngumu.
Mwandishi: Ulimwonaje mpinzani wako?
Dullah: Sio bondia mzuri sana, sema mwenyewe nilikuwa unfit.
Mwandishi: Kwa nini ulikubali kucheza na unajua unaumwa Dullah?
Dullah: Day after day lazima zipatikane riziki za watoto, wanatakiwa waende shule, wanatakiwa wasome pia tupate riziki za kula na familia.
Mwandishi: Kwa maana hiyo una-sacrifice kwa ajili ya familia?
Dullah: Yes, lazima..lazima tupambane!
__________________________________
MY TAKE: Sikuwa nikimsikiliza loser, bali nilikuwa namsikiliza baba, nilikuwa namsikiliza mwanaume, mpambanaji haswa.
Sure acha tu ndo maana Mimi huwa nasisitiza mwanaume kujiwekea investment zako mwenyewe za kula kabla hujapoteza nguvu maana yoyote anaweza kukusalitiNdo maana tubakata moto mapema sana
Boxing na bodaboda ipi ni risk sanaAache Kupigana kinjaa njaa.
Ni bora Atafute Pikipiki Awe boda kuliko kupigana kinjaa maana huo mchezo risk ni Nje nje.
Kuna mtoto wa matumla alisitisha career yake kwa Majeraha ya kichwa
na sasa yupo yupo tu.
Sure.. ahsante nitakuwaKwanini usiwe mwanafunzi kabsa
Ulitaka apigwe kwaajili ya kimbhumbu..?Kwahio anapigwa sababu ya familia🤣???