Dullah Mbabe umetuonesha wewe ni kichwa cha familia

Dullah Mbabe umetuonesha wewe ni kichwa cha familia

Mtu unarisk maisha yako ili wanao wale afu litoto linakuja kununua ugomvi wenu wazazi na linakuja kukukana. Eti nani kama mama.
 
Mtu unarisk maisha yako ili wanao wale afu litoto linakuja kununua ugomvi wenu wazazi na linakuja kukukana. Eti nani kama mama.
Watoto wengine huwa wanabeba laana za wazee wao
 
Bondia ni risk.
Kama haumini Maneno Yangu chukua hii.

Tafuta Watu wawili mmoja mfundishe pikipiki kwa Miezi mitatu mwengine mfundishe boxing kwa miezi sita alafu waingize field subiri matokeo.
Pole uppercuts zinapeleka athari kwenye ubongo
 
Aache Kupigana kinjaa njaa.
Ni bora Atafute Pikipiki Awe boda kuliko kupigana kinjaa maana huo mchezo risk ni Nje nje.
Kuna mtoto wa matumla alisitisha career yake kwa Majeraha ya kichwa
na sasa yupo yupo tu.
Huo si mchezo wa kuchezwa na mtu mwenye akili timamu
 
Mababa tunapitia mengi na huwa hatulalamiki hata hao tunaowapambania muda mwingine hawaoni.
Ndiyo maana ni rahisi kumsikia mtoto akisema nilikiwa namwona mama akituhangaikia, lakini si rahisi aseme nilikiwa namwona baba akihangaika
U
 
Thats what it takes to be a real men, unapambana kufa na kupona ili familia uliyoianzisha isipate tabu hapa duniani
Ila wanaume wenzangu tusisahau kuipa pole mioyo yetu pindi nafasi ya kufanya hivyo inapopatikana, Maisha mafupi sana hapa duniani.
 
Back
Top Bottom