Dullah Mbabe umetuonesha wewe ni kichwa cha familia

Sijui walimlipa ngapi, kuna mwenzake alidedi kwa elfu 60
 
Kama Kuna Mtu Anamfahamu Huyo Dullah
Mwambieni Awahi Kitanda pale Milembe
Na mwambieni watoto wake Hawapendi
kwa maana huo mchezo kukatisha Career Yake ni swala la kugusa tu.
 
Kama Kuna Mtu Anamfahamu Huyo Dullah
Mwambieni Awahi Kitanda pale Milembe
Na mwambieni watoto wake Hawapendi
kwa maana huo mchezo kukatisha Career Yake ni swala la kugusa tu.
Kwamba wote waliocheza ndondi lazma iwatokee hii kitu!?
 
Kwamba wote waliocheza ndondi lazma iwatokee hii kitu!?
Aache Kupigana kinjaa njaa.
Ni bora Atafute Pikipiki Awe boda kuliko kupigana kinjaa maana huo mchezo risk ni Nje nje.
Kuna mtoto wa matumla alisitisha career yake kwa Majeraha ya kichwa
na sasa yupo yupo tu.
 
Siku toto la kiume litakoka hadharani na kusema nani kama mama baba alikuwa busy na Malaya na pombe tu
 
Ndo maana mawakinyo anavyosema msishindanie Toyota crown mnamuana mjuaji Kuna maisha baada ya boxing
 
Aache Kupigana kinjaa njaa.
Ni bora Atafute Pikipiki Awe boda kuliko kupigana kinjaa maana huo mchezo risk ni Nje nje.
Kuna mtoto wa matumla alisitisha career yake kwa Majeraha ya kichwa
na sasa yupo yupo tu.
Boxing na bodaboda ipi ni risk sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…