kiufupi anguko la usa ndo mwanzo wa fujo za karne ya 19 na 20 zitarud tena, ili dunia iwe na amani lzm atokee mmoja awe mkubwa kuliko wengine kwa utofauti mkubwa km usa enzi 1900s , ss nan ataweza ? sio leo lzm tuuane kwanza mpk kieleweke , usa aliifanya dunia itulie imuangalie yeyeHuu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Aliyehusika na hayo mauaji ni Marekani ?Chini ya ukiranja wa USA kumetokea mauji ,vifo na vita vingi mno.
Mifano;
Rwanda ,Lebanon,Sudani,Bosnia nk
Wangeingila mapema nyie ndio mngekuwa wa kwanza kusema 'Marekani wanaingilia mambo ya ndani ya nchi zingine'.....wakijivutavuta bado tena mnawatupia lawama.Walikuwa wapi Rwanda mpaka wanachinjana ,DRC kukosa amani ,mauaji ya kutisha vita vya Bosnia mpaka kambi ya wakimbizi iliyokuwa chini ya UN kupigwa bomu na kuua innocent civilians ? tena baada ya tension ya Bosnia kuwa kubwa na mauaji ya kutisha Bill Clinton akajitokeza kupatanisha wakati damu nyingi zishamwagika.
Yeye si anasifiwa kiranja na mleta amani sasa ameshindwa vipi kuzuia ,kama kiranja haijalishi ameta au hajaleta kazi yake ni kuweka mambo sawa.Aliyehusika na hayo mauaji ni Marekani ?
Kuwa kiranja ndio kuingilia mambo ya ndani ya wengine bila utaratibu?....hata hapo Ukraine, Marekani alikuwa na 'Intel' Putin atavamia na akasema ila hakuweza kuifunga mikono Urusi.Yeye si anasifiwa kiranja na mleta amani sasa ameshindwa vipi kuzuia ,kama kiranja haijalishi ameta au hajaleta kazi yake ni kuweka mambo sawa.
Huko Rwanda mfano CIA walikuwa na information kuhusu kila kitu kinachoendelea na kipi kitakuja kutokea lakini hawakufanya lolote la maana mpaka yakatokea yaliyotokea , USA ni kiranja wa mchong.
Jamaa uchawa wake kwa USA umepitiliza anaabudu USA kupita kiasi .Mtoa mada imebaki kidogo tu uanze kuabudu kuelekea Marekani.
Maana nadhani unaona Marekani ni mbinguni na Rais wake ni Mungu.
Taja sehemu hata 10 ambapo unaweza kusema Marekani kaweka amani .Jiongeze, mimi naongelea dunia kwa ujumla na ukubwa wake sio nchi moja moja.
Ukiambiwa Marekani ni tajiri kuliko Tanzania haimaanishi kwa sababu kuna homeless na masikini huko basi haiwi tajiri kuliko Tanzania.
1.Marekani ndio alisaidia kumaliza WWII.Taja sehemu hata 10 ambapo unaweza kusema Marekani kaweka amani .
Tokea WWII dunia imeshuhudia machafuko na mauaji makubwa sehemu nyingi sana.Sifa anazopewa Marekani ni bure labda kama mnaweza kuweka wazi wapi karekebisha au hizo jitihada zake amefanya vipi na baada ya hapo matunda gani yamejitokeza ?
elaborate more mkuuTangu Marekani iwe kiranja dunia imekuwa na amani, maendeleo, utangamano na mafanikio zaidi kuliko wakati wowote hii ni pamoja na madhaifu na matatizo yote ambayo Marekani inatuhumiwa nayo.
Kuanzia katikaki Karne ya 19 baada ya WWII hadi karne ya 21 ndicho kipindi dunia imezidi kuboreka zaidi kuliko karne nyingine zozote.
Kote huko sehemu nyingi baada ya mauaji ya kutisha , October war alikuwa anatoa msaada kwa Israel mpaka nchi za kiarabu wakakata oil supply .1.Marekani ndio alisaidia kumaliza WWII.
2.Bosnia- Herzegovina, Dayton Accords.
3.FARC- Colombia war, Plan Colombia
4. Egypt na Israel, Camp David Accords
5.Korea Kusini.
6.Ujerumani Magharibi na Mashariki 1990.
7.Kuwait dhidi ya uvamizi wa Iraq
8.Panama
9. Uganda, Sudan, CAR dhidi ya LRA
10. Afghanistan dhidi ya uvamizi wa Urusi 1989.
Alishatuma maombi anasikiliziaUshapewa Green Paper nini ?
Sielewi unaumia ukiwa wapi lakini ukweli ni kwamba hakuna jinsi! Hakuna tunachoweza kukusaidia! Hakuna jinsi, USA imeshindwa!Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Wewe kwa nini unafikiri kazi ya kutunza amani ya nchi nyingine zote duniani ni ya Marekani?!Kote huko sehemu nyingi baada ya mauaji ya kutisha , October war alikuwa anatoa msaada kwa Israel mpaka nchi za kiarabu wakakata oil supply .
Case nyingine ni Suez Crisis , Egypt alivamiwa na Israel,France na England kwa wakati mmoja civilians wengi waliuwawa ,wanajeshi ,miundombinu nk kisha US ndio akaja kumaliza mzozo na kuingilia Kati baada ya Egypt kupata hasara kubwa ya mali na uhai.
Mimi point si kusulihisha bali ni kuacha mpaka migogoro inafika violent stage wakati wana intelejensia na uwezo wa kuzuia kabla ya kufika huko.
Tangu kuisha kwa vita vya pili vya dunia na Marekani kuibuka kama super power dunia imekuwa na vita vichache na migogoro isiyokuwa mikubwa kulinganisha na kipindi kingine chochote kabla ya mwaka 1945.elaborate more mkuu