Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Bongo sio mungu anae panga maisha bali ni usanii ndio kigezo kikuu cha maisha.Kosa namba moja ni kujiona una akili na kuwaita wengine vilaza bila kujua Mungu amepanga nini katika maisha yako
Kuna andiko kwenye biblia linasema
Mathayo 23
12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.
Ukiishi maisha ya kujikweza siku zote utavunjika moyo mbele ya wale unaowadharau
Yaani kama uliwekeza kwenye taaaluma na ukajiweka mbali na vyama vya siasa hupati nafasi nyeti labda kwa bahati mbaya.
USA trump hakuwahi kuwa hata diwani akapewa nchi, isi isingewezekana TZ
Msimuhusishe God kwenye mambo ambayo Mungu hapendi, rushwa, wizi nk.
Unapata cheo kwa rushwa hapo kuna mungu au shetani?