Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

Unazungumzia data ambayo ni outlier. Data iliyojitenga. Data ambayo haiwezi kutumika kufikia hitimisho la data KWA ujumla

Nazungumzia kuwa kusoma hakuna uhusiano na Akili.

Wapo ambao hawajasoma lakini wanaakili kubwa kuliko waliosoma
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Bro if you can't fight them ....Just Join Them [emoji1787]

Life isn't that fair as you think [emoji23][emoji38][emoji38]
 
Acheni mambo ya kudharau PCB au PCM wakati asilimia kubwa inaenda kutoa madokta engeneer nesi mm katika maisha yangu sijuitii kusoma PCB au PCM kinachonifurahisha wake zenu mnawaleta hospital kila siku tuna wazalisha kama mnaona siasa ndio kila kitu wazalisheni wenyewe maana huku tuna PV kila siku za kila namna tunazuona labour sio mchezo au pale kwenye Abortion mm napendaga sana evacuation zote sikosi hasa za pisi kali 😂😂😂😂
Kila mtu ana muhimu wake mkiona HGL mnapata hela sisi wa PCB tuna PV wake zenu hadi mkome kenge nyie
Je, haya uliyoyaandika ndio maadiri ya udaktari?
 
Mbaya zaidi serikali ikiundwa na vilaza watupu kupata maendeleo ya haraka ni ndoto. Kwa taarifa tu pcm na pcb wengi hudondoka form four na form six kisha huachwa watokomee kusikojulikana wajipambanie wenyewe. Usishangae kuwakuta kwenye shughuli za ajabu ajabu zisizo na element za maarifa waliyo nayo kupambana kupata ugali wa siku, inasikitisha sana
Hapo kwenye mdondoko wa pcb na pcm una maana gani?
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Ukishindwa kufanikiwa wakati unahisi wewe una akili basi wewe ndiye asiye na akili maana akili ni lazima ikutatulie changamoto zako kama umeshindwa basi wewe kilaza tu.
 
Kwa data zipi?
Google the the highest IQ graduate in the world. Utakuta Physics ndio no 1. Yaani mtu akiweza kuchukua digrii ya physics tu IQ yake inacheza 110+ inafuatia Engineering, Maths,Medine, IT
Course ya sanaa hata uwe na IQ ya 90 anapata gpa ya 4. Kiswahili kinaongoza kwa ufaulu kwa kila mwanafunzi kwa hio sio kipimo kizuri kwa IQ kubwa.
IQ kibwa kwenye lugha huonekana kwa watu wenye uwezo mkubwa wa ;
Utunzi wa mashairi, vitabu, makala nk ambao ni wachache sana wanao.
Graduate wa Science bila hata kuwa amegundua cho chote anakuwa labeled with high IQ.
Linganisha uongozi wa mwanasayans JPM na vilaza utaona tofauti.
Nchi hii ikiongozwa na wanasayansi awamu mbili tu zinatosha kuibadili kutoka kuwa masikini mpaka uchumi wa kati.
Tukiendelea kuongozwa ba mangwine tutaendelea kulalamika mpaka mwisho wa dunia.
UWEZO WA KUMUDU MASOMO NDIO KIPIMO CHA IQ KUBWA MASHULENI, ILA MNAJITOA UFAHAMU HUKU UKWELI MNAUJUA. MOST INTELIGENT STUDENTS HUPELEKWA SAYANSI.
Miakaka ya nyuma husomi computer science na comp engineering au Medicine kama huna div one, ukweli ni kwamba hayo masomo hayataki watu wenye uelewa mdogo na wataratibu lazima udisco tu.
Hata hivyo sio wote waliochukua sanaa IQ zao ni za chini wapo walioenda kwa mapenzi yao na IQ zao ni kubwa.
Mtueleze ni kipimo gani zaidi ya masomo ta shuleni hapa TZ kinatumika kuwatambua wanafunzi wenye IQ kubwa, za kati na ndogo.

Wanasayansi wengi wanakosa study ya communication skill, hii huwafanya wasimudu siasa uchwara, hasa TZ.
Wanasayansi wengi hawapendi unafiki wa vitu vya uongo, kuwa hadaa raia ndio maana wengi hawavutiwi na siasa kasoro wale wenye tamaa ya pesa.
Siasa ya TZ imejaa unafiki na kujipendejeza kitu amba ho ni vipaumbele kwa waliosoma sanaa.
Mtu aliesoma ngwine ni mtu asiejali kabisa na ndio maana kumekuwa na uharibifu mkubwa.
Majizi makubwa ya kimfumo TZ ni yale taliosoma ngwine hatapebdi hata mifumo ya kisayansi ifanye kazi, yanajali zaidi matumbo. (BUL SH#T)
Umeharibu mada ulipoweka hiyo takataka inaitwa JPM
 
Mbona JPM ni mwanasayansi lakini alikuwa MWONGO kuanzia Thesis ya PhD aliyofoji hadi kutuambia anajenga miundombinu kwa fedha za ndani. Prof Sospeter Muhongo ni mwanasayansi lakini naye alitudanganya kuwa gesi ya Mtwara ndiyo suluhisho la umeme na umaskini wa Tanzania.

Acha kuhaIaIlisha uwongo wako na Physics!! Kupata A+ Physics siyo kipimo cha IQ kubwa hata kidogo
Huyo alikuwa tapeli.hakuna Cha maana alivhoweza zaidi ya propaganda na vitisho
 
Number Moja mwenyewee kasoma record management astashahada kapata vyeo Kama vyote Hadi kuwa makamu rais wa bunge la Katiba na Kisha baada makamu wa rais na. SAS Ni raisi wa JM T na pia amiri jeshi mkuu command in chief
Wewe Sasa na PhD zako unajiita profesa wa jalalani.

Mpaka hapo IQ bila EQ ni utaahira.
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Mwandiko !!!!!
 
Kuna jamaa tulisoma naye olevel alikua na akili sana ,tulipofika form three akachagua kusoma biashara asee tulimshangaa sana jamaa advance alichaguliwa nadhani kibaha ECA chuo kapiga mzumbe BaF navyokwambia sasa ni one of BOT officers sisi tuliokomaa na sayansi ya kumeza wengi wanauza madawa kwenye famasi za wahindi
Yote maisha tu
 
Sio Dunia tafadhali.

Sema Africa.

Nchi zingine huwezi kuwa kilaza halafu uwe kiongozi.
 
Haya matusi haya, haya wewe kua donor/angel investor tandaza vibunda waambie wakuletee project zao uwekeze ukiambiwa ufanye hivyo utaweza au umekosa cha kuongea?

Hicho kitu alikua anafanya Marehemu R Mengi fanya na wewe waambie wakuletee project zao uziendeleze au unafikiri ni rahisi?
Hawa Mangwine ndio wanapanga third/ fourth year science project mwanafunzi apewe sh. 150000 mbuzi sana. Project gani ya kisayansi unafanya kwa sh. 150000.
Majinga sana, mpaka leo huwa najiuliza wanawazaga nini. Hayajuagi kuwa kuna kampuni zimezaliwa kwa college project .
Ukija COSTEC angalia hela wanayotoa ya ugunduzi milioni 50. Hio hela itafanyia utafiti gani labda uunde toy za watoto. Wachangiaji wanachukulia hoja kijuu juu tu na hii inaashiria ule ukilaza anaouzungumzia mtoa mada.
 
Kuna jamaa tulisoma naye olevel alikua na akili sana ,tulipofika form three akachagua kusoma biashara asee tulimshangaa sana jamaa advance alichaguliwa nadhani kibaha ECA chuo kapiga mzumbe BaF navyokwambia sasa ni one of BOT officers sisi tuliokomaa na sayansi ya kumeza wengi wanauza madawa kwenye famasi za wahindi
Una maanisha mmekuwa wafamasia. Sasa vilaza wangeenda kuwa wafanasia si wangetuua kwa overdose.
 
Ukishindwa kufanikiwa wakati unahisi wewe una akili basi wewe ndiye asiye na akili maana akili ni lazima ikutatulie changamoto zako kama umeshindwa basi wewe kilaza tu.
Mafanikio ni function ya vitu vingi having uhusiano na akili. Akina nape na January ni matajiri kwa kuiba sana serikalini Sasa hii siyo akili Bali ni kuangamiza jamii iliyopp na siku ya mwisho itakuwa kilio na kusaga meno
 
Una maanisha mmekuwa wafamasia. Sasa vilaza wangeenda kuwa wafanasia si wangetuua kwa overdose.
Kipimo cha kuwa na akili ni uwezo wa kutathmini mazingira yanayokukabili kisha kuchukua njia iliyo bora. Kukariri Avogardo principle au Newton laws of motion kunakufanya kuwa kama kasuku tu.

Haya unajuwa hayo ma Archimedes na ma laws of floatation yanakusaidia nini maishani. ? Endelea kulia lia mpaka uzeeke hao unawaita vilaza wananyoosha maisha yao
 
Back
Top Bottom