Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

Mbaya zaidi serikali ikiundwa na vilaza watupu kupata maendeleo ya haraka ni ndoto. Kwa taarifa tu pcm na pcb wengi hudondoka form four na form six kisha huachwa watokomee kusikojulikana wajipambanie wenyewe. Usishangae kuwakuta kwenye shughuli za ajabu ajabu zisizo na element za maarifa waliyo nayo kupambana kupata ugali wa siku, inasikitisha sana
 
Fala Sana huyo .
Analinganisha facilities zilizopo Bongo na Marekani ,mbingu na ardhi , Marekani kuna hadi venture capitalists ,kampuni zina toa pesa kwa inventors kuanzisha startups .
Kuna tech incubators kama silicon valley kule california , watu wamewezeshwa kila nyanja kufanya vumbuzi za kila aina .
Njoo Bongo sasa
Bongo huku unakuta kilaza mmoja bogus tu anapachikwa kwenye wizara au kitengo nyeti ,tena anapewa mandate ya kufanya maamuzi .
Pumbavu sana hii nchi
 
Hao wanaojiona wamesoma au wana akili ndiyo hao wakipewa majukumu ndiyo hawawezi kabisa na elimu anzia majumbani kwao hata familia zao zinawashinda, sasa wakipewa huko ndiyo wanaharibi kabisa.
 
The world doesn't owe you anything. If you want something, go out there and get it. Huuo Elon Musk hakupewa utajiri na serikali, alipambana akashinda mechi zake!

NB: nyinyi watu wa PCM na PCB si ndio mlikua mnajitapa skuli kwamba nyie sio wanasiasa? Kaeni kwa kutulia. Acha akina Nape na division four zao watuamulie nchi iende vipi.
Very poor argument, hoja ya mleta mada kiuhalisia inaonyesha jinsi ambavyo kama nchi tusitarajie makubwa kwenye ulimwengu wa sayansi na technology. Mkazo kwenye sayansi na kuwajali waliosoma sayansi, (not necessarily kwenye nafasi kubwa kwenye uongozi wa nchi) kwa kuwalipa vizuri ungekuta tuna innovators kibao, jambo ambalo lingesaidia kuleta ajira na mapato kwa jamii na nchi. Sasa kwa kuwa vipanga wa sayansi wamedhauliwa na kupuuzwa, matokeo yake ndiyo haya kuagiza mpaka boxer na soksi China, majority vijana huko mijini ni machinga, uzalishaji vijijini bado ni duni kabisa. Nilipita huko Katavi, Kigoma na kwingineko bado watu wanalima kwa mkono au maksai, yaani ni aibu tupu..
 
Yaani wewe tayari ni kilaza, Creaming si understanding. Nyie ndio mlikariri, combination za masomo siyo determination za akili. Kila mtu ana akili, ila si kila mwenye akili ana ufahamu. Wengine ni vilaza TU walio kariri darasani. Itoshe kusema uwe na adabu na professional za watu. Ualimu watu wanasomea miaka wewe unasema everyone can teach. Hii ni dhani ya ukilaza.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Hata kingereza hujui. Proffesional za watu ndo Nini. Ni proffesions za watu siyo proffesional za watu. Sasa wewe so kilaza tayari
 
Hata kingereza hujui. Proffesional za watu ndo Nini. Ni proffesions za watu siyo proffesional za watu. Sasa wewe so kilaza tayari
Sasa unasema una Akili za science za PCM then unasubiri Ajira za siasa ?

Mtu smarter huwa anajitengenezea njia yake ya kupita na sio kusubiri kutengenezewa njia .
 
Sasa wewe hizo akili za kulalili za PCM na PCB umezitumiaje?

Kama umekua engineer, umeinjinia kitu gani?

Kama umekua Daktari, umevumbua kitu gani ?

Kama umekua mkemia , umezalisha kitu gani?

Acha kulialia, tumia ulichonacho uisadie dunia kuwa mahala salama pa kuishi.

Hao unaowataja waliosoma social science studies ndo hao wanaozitumia kwenye domain ya uongozi. Sasa wewe unataka usomee elimu ya mimea afu unataka uje uongoze binadamu?
 
Kwa data zipi?
Google the the highest IQ graduate in the world. Utakuta Physics ndio no 1. Yaani mtu akiweza kuchukua digrii ya physics tu IQ yake inacheza 110+ inafuatia Engineering, Maths,Medine, IT
Course ya sanaa hata uwe na IQ ya 90 anapata gpa ya 4. Kiswahili kinaongoza kwa ufaulu kwa kila mwanafunzi kwa hio sio kipimo kizuri kwa IQ kubwa.
IQ kibwa kwenye lugha huonekana kwa watu wenye uwezo mkubwa wa ;
Utunzi wa mashairi, vitabu, makala nk ambao ni wachache sana wanao.
Graduate wa Science bila hata kuwa amegundua cho chote anakuwa labeled with high IQ.
Linganisha uongozi wa mwanasayans JPM na vilaza utaona tofauti.
Nchi hii ikiongozwa na wanasayansi awamu mbili tu zinatosha kuibadili kutoka kuwa masikini mpaka uchumi wa kati.
Tukiendelea kuongozwa ba mangwine tutaendelea kulalamika mpaka mwisho wa dunia.
UWEZO WA KUMUDU MASOMO NDIO KIPIMO CHA IQ KUBWA MASHULENI, ILA MNAJITOA UFAHAMU HUKU UKWELI MNAUJUA. MOST INTELIGENT STUDENTS HUPELEKWA SAYANSI.
Miakaka ya nyuma husomi computer science na comp engineering au Medicine kama huna div one, ukweli ni kwamba hayo masomo hayataki watu wenye uelewa mdogo na wataratibu lazima udisco tu.
Hata hivyo sio wote waliochukua sanaa IQ zao ni za chini wapo walioenda kwa mapenzi yao na IQ zao ni kubwa.
Mtueleze ni kipimo gani zaidi ya masomo ta shuleni hapa TZ kinatumika kuwatambua wanafunzi wenye IQ kubwa, za kati na ndogo.

Wanasayansi wengi wanakosa study ya communication skill, hii huwafanya wasimudu siasa uchwara, hasa TZ.
Wanasayansi wengi hawapendi unafiki wa vitu vya uongo, kuwa hadaa raia ndio maana wengi hawavutiwi na siasa kasoro wale wenye tamaa ya pesa.
Siasa ya TZ imejaa unafiki na kujipendejeza kitu amba ho ni vipaumbele kwa waliosoma sanaa.
Mtu aliesoma ngwine ni mtu asiejali kabisa na ndio maana kumekuwa na uharibifu mkubwa.
Majizi makubwa ya kimfumo TZ ni yale taliosoma ngwine hatapebdi hata mifumo ya kisayansi ifanye kazi, yanajali zaidi matumbo. (BUL SH#T)
Anzisha independent thread
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Hii dhana masomo ya sayansi ni magumu na ndiyo vipanga ni ya kijinga!! Wa sayansi hawezi ya sanaa na wasanaa hawezi ya sayansi. Ni maumbile ya ubongo tu.Nchi gani iliyoendelea duniani viongozi wamesoma sayansi, wanasayansi wanamiliki viwanda hawasibiri uteuzi wa kuwa wanasiasa, marekani kina Clinton, Obama nk ni wanasheria Uingereza kina Tony Blair, wanasayansi ni wazalishaji siyo viongozi hata siku moja.
 
Bora rfk ako kapata four Nzuri jmaa angu yey alipata hyo ya four ya 33 kbsa d Moja tu Sasa Yuko jeshi mtwara Huko Ana kula maisha na Kuna wakt kaenda sudan
Mkuu Sasa kwenda Sudan ndo unaona anakula maisha ?
 
Sasa tofauti ya ulikosema marekani na hapa ni kuwa wa kule hao waliosoma sayansi wanagundua na wanauza hizo gunduzi zao ila sasa nyie wanasayansi wabongo hamtaki kugundua na kuuza mnataka huruma ya kupewa mihela tu hicho hakuna tengenezeni kagundueni shirikianeni na hao maprof wenu huko shuleni au sijui wapi mavyuoni muwe mnatengeneza platform za kuuza gunduzi zenu muwe rich muinvent rich na sio mnataka mpate V8 la kuteuliwa na wanasiasa mtasubiri sana wananchi wanashida kibao gundueni suluhisho la matatizo yao halafu yauzeeni kama iwe teknolojia au chochote mtakuwa rich.
Umemaliza yote ila Kwa kua umeshauribyanayoonekana magumu kufanyika watayapuuza.
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Not everybody can teach. Umbwa
 
Back
Top Bottom