Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

Hawa Mangwine ndio wanapanga third/ fourth year science project mwanafunzi apewe sh. 150000 mbuzi sana. Project gani ya kisayansi unafanya kwa sh. 150000.
Majinga sana, mpaka leo huwa najiuliza wanawazaga nini. Hayajuagi kuwa kuna kampuni zimezaliwa kwa college project .
Ukija COSTEC angalia hela wanayotoa ya ugunduzi milioni 50. Hio hela itafanyia utafiti gani labda uunde toy za watoto. Wachangiaji wanachukulia hoja kijuu juu tu na hii inaashiria ule ukilaza anaouzungumzia mtoa mada.
Kutumia akili nyingi kwenye nchi zenye systems mbovu ni sawa na kufunga jet engine kwenye bajaji, Mwisho wake always ni kuwa stressed & confussed.
 
Ndio chanzo Cha umasikini wa taifa ,ka..Kama watu wenye akili wangekaa kwenye nafasi zao basi tungepiga hatua milioni mbele
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Hii ni dunia! Hakuna somo litalokusaidia kufanikiwa, juhudi zako na mahusiano mazuri na binadamu wengine ndio silaha kubwa. Achana na majivuno, majigambo ya sekondari na vyuo. Kwa kila nafasi lazima ujipange na kujianda. Hao wanaochaguliwa hawaibuki hivi hivi wamekuwa wakijiandaa miaka mingi huko nyuma.
 
ChatGPT pitieni hapo kidogo
 
Hii joha ni kwa TZ yi au na USA,China, Japan, Korea ?
 
There are a few possible explanations for why art takers may win in politics more often than science takers.
Art majors tend to be better at communication and storytelling. Politics is ultimately about persuading people to support your ideas, and art majors often have more experience with this than science majors. Art majors are often required to take classes in public speaking, writing, and critical thinking, which can give them a significant advantage in political campaigns.
Art majors are more likely to have a strong understanding of human nature. Art majors often study the human condition, which can give them a deep understanding of what motivates people. This understanding is essential for politicians who need to connect with voters on an emotional level.
Art majors tend to be more creative and innovative. Politicians need to be able to come up with new ideas and solutions to problems, and art majors are often better at this than science majors. Art majors are trained to think outside the box and come up with new and innovative ways of seeing the world.
Science majors may be more focused on facts and data, which can be difficult to communicate to voters. Politics is often about emotions and values, and science majors may not be as comfortable talking about these things as art majors. Science majors may also be less likely to get involved in politics because they are more focused on their careers in science.
It is important to note that these are just generalizations, and there are many successful politicians who majored in science. However, the trends discussed above may help to explain why art majors tend to be more successful in politics than science majors.
Here are some additional thoughts on the subject:
  • Art majors are more likely to have a broad range of interests. This can be helpful in politics, where politicians need to be able to talk to people from all walks of life. Science majors, on the other hand, may be more narrowly focused on their particular field of study.
  • Art majors are more likely to be extroverted and outgoing. This can be another asset in politics, where politicians need to be able to connect with people on a personal level. Science majors, on the other hand, may be more introverted and reserved.
  • Art majors may be more likely to come from wealthy and well-connected families. This can give them a significant advantage in politics, where it can be expensive to run for office and access to powerful people can be crucial. Science majors, on the other hand, may be more likely to come from middle-class or working-class families.
It is also important to note that there are many factors that contribute to success in politics, and academic major is just one
 
Mafanikio ni function ya vitu vingi having uhusiano na akili. Akina nape na January ni matajiri kwa kuiba sana serikalini Sasa hii siyo akili Bali ni kuangamiza jamii iliyopp na siku ya mwisho itakuwa kilio na kusaga meno
Kama una akili umeshindwa tatua matatizo yako mwenyewe ina maana umefail.
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kusolve matatizo yako, huwezi kusolve ya wengine ukipewa uongozi maanake huna mikakati ndiyo maana hata wewe umeshindwa jimudu
 
Hawa Mangwine ndio wanapanga third/ fourth year science project mwanafunzi apewe sh. 150000 mbuzi sana. Project gani ya kisayansi unafanya kwa sh. 150000.
Majinga sana, mpaka leo huwa najiuliza wanawazaga nini. Hayajuagi kuwa kuna kampuni zimezaliwa kwa college project .
Ukija COSTEC angalia hela wanayotoa ya ugunduzi milioni 50. Hio hela itafanyia utafiti gani labda uunde toy za watoto. Wachangiaji wanachukulia hoja kijuu juu tu na hii inaashiria ule ukilaza anaouzungumzia mtoa mada.
Kabisa , halafu kuna fala mmoja anaropoka eti " kama umesoma science umevumbua nini "
It is amazing how stupid & dumb these fvckers are !
Maendeleo ya technology na sciences yanatokana na kuwepo miundombinu wezeshi na sera nzuri .
Nchi za wenzetu kuna big researches Institutions na technology incubators ambazo ziko funded kisawasawa na si mchezo .
Watu wakimaliza masomo wanaingizwa huko kuclick ubongo ili kuzalisha ideas mpya za kiuvumbuzi ,na ndio maendeleo ya kiteknolojia na sciences tunayoyashuhudia karne hii .
Njoo Tz sasa nchi inayoongozwa na vilaza ,mhandisi anaambiwa " Jiajiri kwa kuwa machinga na kuendesha boda boda "
Halafu kuna mwendawazimu anawaza siku moja hii nchi iendelee .

Huwezi kuendelea kwa akili mfu kama hizi .
We angalia hata hizo teuzi tu zinazofanyika nchi hii , hilo litakupa jibu kama hii nchi inaongozwa na watu wenye akili na utashi au Mazezeta .
 
Teuzi na uendeshaji wa taasisi usiojali meritocracy na kuzingatia backgrounds za watendaji ,result ni zero .
 
Akili nyingi inakuwa na mambo mengi hivyo hata ku-focus na kitu kimoja haiwezi, Bt akili ndogo haina mbwembwe [emoji41] yenyewe iki komalia kitu ndo hiko hiko coz akili ndogo hai-complicate mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa namba moja ni kujiona una akili na kuwaita wengine vilaza bila kujua Mungu amepanga nini katika maisha yako

Kuna andiko kwenye biblia linasema
Mathayo 23
12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.

Ukiishi maisha ya kujikweza siku zote utavunjika moyo mbele ya wale unaowadharau
 
wakati ule tunasoma hata wazazi walikuwa wanakulazimisha uende sayansi kiaina kama unauwezo flani hivi.... sasa mimi sayansi ya ltenative to practical nikala za uso...mdogo angu akakomaa na art akala dv2...nkaunga unga kkwenda chuo nkakutana na madogo wamejeruhiwa adv sayansi tukajichomeka procurement...business study...kama unamwanao unamwona sio genius usimshauri kuharibu ubongo na physics ya bongo ...atakuja kutafuta cheti cha form 4 ....na ni kweliwatu wa arts wanakula bata sio kwamba ni vilaza ..vilaza ni sisi tulikomaa kusoma filtration kwenye kitabu badala ya practial...
 
Wewe umesoma shule za kipumbavu (mchanganyiko).
Mimi nimesoma shule kongwe za kitaifa a.k.a za vipaji.
Tulikuwa hatuendeshwi na ushamba na ujinga.
I self nimepata mathematics B lakini nilisoma masomo 7 tu.
Aliyeongoza shuleni kwetu mwaka wetu alisoma masomo 7 tu.
Nyie ndio mnaforce science halafu mnaishia kukesha usiku kucha na kuambulia makalai.
Hapo ulipo njaa zinakusumbua
 
Je, haya uliyoyaandika ndio maadiri ya udaktari?
Dunia duara kila mtu anaringia na alichonacho hata mm nisipo andika ndio itafuta kuwa watu wa afya hawana umuhimu Tanzania dharau sio nzuri sana kama watanzania wengi wamechagua siasa ndio kuwa kitu chenye umuhimu ktk nchi basi huna budi kushangaa nina yosema funga bakuli lako kabla hujanikemea mm na kunishangaa ondoa dhambi dhuluma maovu wanayofanya viingoz wa serikali kama ww una huruma na upendo 😂😂😂
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
LAANA YA DHARAU ZINAWAPONZA
 
Hapo ndiyo Taifa lilipofail. Hatutakuja kuendelea kamwe.
 
Back
Top Bottom