Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Siyo kweli ulichoandika. Umeamua tu KUJIDHARAULISHA. Umechukua watu wachache waliosoma NGWINI na wakapiga hatua za kimaisha na ukawalinganisha na UNAOWAJUWA waliosoma SAYANSI lakini hawajatoka kimaisha.Ndiyo ivo
Umelisahau kundi kubwa la waliosoma SAYANSI na wamefanikiwa. Umelisahau pia kundi la waliosoma NGWINI na hawajafanikiwa.
Vilevile nikujulishe tu kuwa kusoma SAYANSI siyo kigezo cha kuwa una akili kukiko aliyesoma NGWINI.
MWISHOWE nakushauri kijana SHIRIKISHA halmashauri ya kichwa chako vizuri ili uzione na fursa za kiuchumi na UJIHUSISHE nazo. Kinyume cha hapo utaanza KUWALAANI waalimu wako au wazazi wako