Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

Unataka aje aongoze TZ sisi wakwetu ni nyerere mpime kwa kulinganisha na wenzie jinsi walivyowezesha nchi zao.
Mtoa mada amezungumzia TZ wewe unatupeleka Singapore.
Singapore, China,Korea Japan Achana nao kabisa hawafanyi masihara kwenye Jambo lolote lile.
Sisi tumezungumzia mfumo wa TZ. Umeenda mbali sana huko ungeniuliza hata khadaf wa Libya hakusoma shule ila alifanya green revolution.
Tujadili hapa kwetu kwa nini ngwine hawaleti maendeleo sasa miaja 60+ tangu uhuru ?
Ndio hoja ya msingi ya mtoa mada naona mnapindisha pindisha.
Wanasayansi wa TZ nao wanamaswali yao humu jf yameulizwa sana mfano "IT wa TZ ni zero" kuna huo uzi.
Leo mangwine watujibu wanaongoza maendeleo gani? Au ndio kweli ni vilaza wanaobebwa na mfumo wa kichagua viongozi TZ.
Umesema wanaosoma sayansi ndio watu wenye akili. Nimekuuliza unamfahamu Lee Kuan Yew unaruka ruka kama umepigwa shoti jibu swali nakusubiri
 
Nimekumbuka, Kuna jamaa tulisoma shule moja hakuw serious Kabisa na shule alikua msela msela tu. Jamaa aliendaga jeshi wakamsomesha huko nchi za nje sahivi ni Major JWTZ.

Mimi mwenyewe nina jamaa yangu. Enzi za chuo mzumbe darasani alikuwa haji kabisa kila siku ana sap .. kamaliza na gpa ndogoo.

Tulivyomaliza chuo tu. Akaingia polisi... enzi zile ajira zilikuwa nyingi hivyo graduates hawataki upolisi.

Jamaa polisi kule na degree yake kapewa nyota.. mara nyota mbili.. mara kapelekwa ulaya kusomea mambo ya upelelezi.. sasa hivi ana cheo kikubwa na ana maisha ya juu sana .

Kila siku safari za nje ya nchi tu akiwakilisha polisi
 
Tupo tunatengeneza Sumu za HKL mkauane vizuri siasani.
Tulichofaulu zaidi ni kugeuza kila chakula kuwa pombe... Mtakufa njaa mbwa nyie ila walevi wataenjoi Hadi kufa.
 
Una akili gani sasa kama umeshindwa kuzitumia ukatengeneza pesa?. Mliosoma sayansi kwenye nchi za kiafrica wengi wenu mna akili za paper tu lakini mkiingia mtaani mnazidiwa akili mpaka na konda wa hiace.
Kama una akili tumia hizo akili ziweze kukuingizia pesa ndio tuone una akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio uwezo wako wa kufikilia umeishia hapo, yaani unapima uwezo wa akili kwa kiwango cha pesa
 
Acha kabisa kuna jamaa,shule alikua ndio wale toto tundu kila msala hakosi,olevo katoka na divisio 4 yake kaenda jeshi,jamaa sahivi ndio wale walinzi wa rais[emoji24],tulio komaa na mapcb yetu sahivi tuna lilia posho za night huku itilima[emoji24]. This life no balance.
Pia kuna wanaolia kwa kusoma hkl au kwa kutokusoma
 
Bongo hakuna Wana sayansi labda Wana sayanskimu......masomo ya sayansi watu Wana kariri huko mashuleni,afadhali hayo masomo ya Sanaa kuelewa Ni rahisi.....unakuta Mtu amemaliza Degree ya IT ana burn CD mtaani au anachezesha pS Sasa elimu yake imemsaidia nini?
Usimdharau mtu au masomo.
Tuulaumu mfumo wetu wa elimu tu sio watu wenyewe
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Sasa we unasemaje kwan
 
Kwa data zipi?
Google the the highest IQ graduate in the world. Utakuta Physics ndio no 1. Yaani mtu akiweza kuchukua digrii ya physics tu IQ yake inacheza 110+ inafuatia Engineering, Maths,Medine, IT
Course ya sanaa hata uwe na IQ ya 90 anapata gpa ya 4. Kiswahili kinaongoza kwa ufaulu kwa kila mwanafunzi kwa hio sio kipimo kizuri kwa IQ kubwa.
IQ kibwa kwenye lugha huonekana kwa watu wenye uwezo mkubwa wa ;
Utunzi wa mashairi, vitabu, makala nk ambao ni wachache sana wanao.
Graduate wa Science bila hata kuwa amegundua cho chote anakuwa labeled with high IQ.
Linganisha uongozi wa mwanasayans JPM na vilaza utaona tofauti.
Nchi hii ikiongozwa na wanasayansi awamu mbili tu zinatosha kuibadili kutoka kuwa masikini mpaka uchumi wa kati.
Tukiendelea kuongozwa ba mangwine tutaendelea kulalamika mpaka mwisho wa dunia.
UWEZO WA KUMUDU MASOMO NDIO KIPIMO CHA IQ KUBWA MASHULENI, ILA MNAJITOA UFAHAMU HUKU UKWELI MNAUJUA. MOST INTELIGENT STUDENTS HUPELEKWA SAYANSI.
Miakaka ya nyuma husomi computer science na comp engineering au Medicine kama huna div one, ukweli ni kwamba hayo masomo hayataki watu wenye uelewa mdogo na wataratibu lazima udisco tu.
Hata hivyo sio wote waliochukua sanaa IQ zao ni za chini wapo walioenda kwa mapenzi yao na IQ zao ni kubwa.
Mtueleze ni kipimo gani zaidi ya masomo ta shuleni hapa TZ kinatumika kuwatambua wanafunzi wenye IQ kubwa, za kati na ndogo.

Wanasayansi wengi wanakosa study ya communication skill, hii huwafanya wasimudu siasa uchwara, hasa TZ.
Wanasayansi wengi hawapendi unafiki wa vitu vya uongo, kuwa hadaa raia ndio maana wengi hawavutiwi na siasa kasoro wale wenye tamaa ya pesa.
Siasa ya TZ imejaa unafiki na kujipendejeza kitu amba ho ni vipaumbele kwa waliosoma sanaa.
Mtu aliesoma ngwine ni mtu asiejali kabisa na ndio maana kumekuwa na uharibifu mkubwa.
Majizi makubwa ya kimfumo TZ ni yale taliosoma ngwine hatapebdi hata mifumo ya kisayansi ifanye kazi, yanajali zaidi matumbo. (BUL SH#T)
Mbona JPM ni mwanasayansi lakini alikuwa MWONGO kuanzia Thesis ya PhD aliyofoji hadi kutuambia anajenga miundombinu kwa fedha za ndani. Prof Sospeter Muhongo ni mwanasayansi lakini naye alitudanganya kuwa gesi ya Mtwara ndiyo suluhisho la umeme na umaskini wa Tanzania.

Acha kuhaIaIlisha uwongo wako na Physics!! Kupata A+ Physics siyo kipimo cha IQ kubwa hata kidogo
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Ila na wewe umezingua kutudharau tuliosoma masomo ya sanaa. Kisa tu umejaliwa akili ya kukariri Archimedes Principle na Law of floatation, basi ndiyo unajiona una akili!!

Kwa taarifa yako watu wenye akili halali ni wale wanaoweza kupambana na maisha mtaani. Na siyo kwa kukariri masomo na kupata divisheni 1.

Na kinachotokea Tanzania hakijasababishwa na watu wa masomo ya sanaa!! Isipokuwa kinatokana na sera mbovu za CCM na mfumo wake wa kupeana kazi/vyeo kwa kujuana! Badala ya kuangalia uwezo wa mtu.

Maana Magufuli alisomea masomo ya Sayansi, lakini mpaka muda huu ndiyo anaongoza kwa kuitawala nchi hovyo.
 
Kwenye maisha hata kama ulisomea mambo ya nyuki hakikisha una nidhamu hasa kwa waliokuzidi umri. Vijana wanaopata ulaji wengi wao wana nidhamu kuanzia nyumbani, shuleni, kanisani au msikitini na kwenye jamii yote kiujumla. Wakati wewe bila aibu unawadharau kina Msigwa, Kabudi na Rioba kuna vijana wenzako wanapata connection za uhakika kupitia wao. Unaweza ukawa umesoma PCM na kufaulu vizuri ila kama huna nidhamu utaishia kulalamika tu mitandaoni.
 
Waliosoma sayansi wapo wa kutosha kwenye uongozi, ni maamuzi binafsi.

Festo pale TAMISEMI ni MD, Gwaji (KE) MD, Hussein Mwinyi MD, JK, JPM, Dr. Gharib Bilali, Dr. Sheni...
 
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.

Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.

Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.

Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.

Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.

Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.

Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.
Una mawazo ya kitoto sana.
 
Kilaza Ni baba yako.
Pumbavu Sana wewe.
 
.
IMG_20230926_132531.jpg
 
Back
Top Bottom