Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

kwan nan amekuwa mvunjaj aman ? kwamba hujui walichofanya Hamas mwezi october 2023?
 
Intelijensia iloshindwa kugundua kama kuna watu zaidi ya 1000 wanakuja kuuliwa si bora ivunjwe

Maana siku watakuja kushangaa PM hawamuoni kumbe kaishafika ghaza anakula makonzi
huez huwa kila kitu , hakuna intelligence ya hivyo dunian
 
hv una akili timamu ? unajuwa Wapalestina wanapigania nin? tangu mwaka 1948 , usipende kufuata mkumbo , Wapalestina walishapewa ardhi kubwa sana kuliko ya wayaudi ila waliikataa , wao wanataka kufuta uzao wa wayaudi kama walivyofuta uzao wa waafrika weusi huko afrika kaskazin , hapo mtajadili nin ? pili Idf walishema hawakuwa tyr kuivamia Gaza ila Waarab wakajifanya hawaelew waliambiwa waachie mateka ila wakakataa ,subir kiwalambe sasa
 
unaandika huu ujinga wkt mama wa kipalestina hajui atalala wap na atakula nin na maji na umeme hakuna , waislam ndo dini pekee inajali vita kuliko amani ya waumin wake
 
Hezbollah walianza hii michezo ya kurusha rusha viroketi vya Israel wakaonywa na Israel hawasikii sasa majibu ya Israel yameanza kuonekana mdogo mdogo ila Hezbollah wasijitutumue kuendelea kupimana na Israel kumbuka Israel ni taifa la nuklia na ni taifa la technology na Benjamin Netanyahuu huwa hacheki na kima anaweza akapeleka misiba mizito huko Lebanon
 
Hamas charter haisemi hivyo! Wao ni kuwa peace itapatikana tu pale watakapowateketeza wote.
Hata Arafat alisema hivyo ila alikubali kusaini Oslo accord na akina Sharon wakatoka Gaza shida ni akina Netanyahu yeye haaminj two state solution na anaona military solution hamas wamefikia hivyo kwa kuwa hakuna political solution siku ikipatikana basi watakubali dialogue mfano mzuri ni zile majadiliano ya kisiasa kuhusu kusimamisha vita na kuachia mateka alikubali na kuachia mateka na kusimamisha cha ajabu kwa nini israel waliweza kukubali kujadiliana hilo ila majadiliano ya two state hawayataki siku zote hakuna amani ya kutishia kutokuwepo kwa mwenzako israel na palestine ni lazima zote ziwepo bila kunyanyasana ndio msingi mkuu wa amani na pia nchi kama iran zisitishiwe amani au vikwazo basi pale middle east patatulia la sivyo tutaenda hivi for next 75years tena generation hadi generation ni kuuana this cycle of maddness should stop.
 
if you can open that you may learn that. No relation with israel by Saudi arabia and other arab countries only stop the war and to guarantee two state solution
Blinken left empty hand to israel
happy reading. No free ticket for israel like before
new york times. Major news paper in USA
 
Wewe na wale zionist wahafidhina kama netanyahu mnafanana misimamo laiti watu kama akina general sharon wangekuwepo basi pengine kungekuwa na amani alishaona conflict hii haina military solution zaidi ni nyie wahafidhina sana sasa wahafidhina kama nyie mnapunguza hicho kiardhi kidogo mlichokitoa na pia mmepiga marufuku na kufutilia mbali oslo accord mrudi kwenye dialogue na sio kwenye expansion ya settlement ya settlers kila mwaka hapo ndio amani itapatikana ona sasa wenzenu wanetengeneza system ya kubalance mambo na kuifuta israel na kwa walivyo wakiamua wanaweza japo tunaona wanaongozwa na hekima zaidi their axis of resistance grow strong every day cha muhimu ni peacefull ,coexistence kwa watu wote na kuwe na mataifa 2 huru pale sio hii ya sasa .
 

Wewe umejuaje kama hawatangazi?!
 
Kambi gani ya Israel imekunjwa Hezbollah amerusha viroketi vyake hata havijamjeruhi askari mmoja zaidi imeharibu jengo
Lile jengo walilokua wanafugia kuku

Uzuri nikwamba hakuna siku kambi za mazayuni na marekani zinapigwa zikaua watu

Siku zote hua zinaharibu majengo tu kwahio acha tu Hizbullah waendelee kuyaharibu hayo hayo majengo sio mbaya wala nini

Kama yanaharibu majengo tu waregesheni wale wazayuni kule kaskazini walipo hama msiwarundike sehem moja kama nyanya
 
Hesabu mtapiga wenyewe Hizbullah hana muda wakukesha mitandaoni nakufanya mapambio

Yeye hua anasema tu nimetwanga pale imeisha hio

Kama munabisha hawajatwanga nenda huko kwenye media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…