Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Umeeleza vizuri. Ila ukumbuke chanzo cha vita inayopiganwa sasa ni Oct 7. Kabla, hali haikuwa vile. Hata hivyo, Israeli hahitaji kupakana na palestina inayoongo,zwa na Hamas. Two state solution inakuja chini ya FATAH na PLO, hilo ni wazi.
 
Kiongozi mwandamizi wa ISIS Leo ametoa neno juu ya vita ya Gaza na amewalaumu HAMAS na Iran Kwa kuingia kichwakichwa kwenye vita hii inayoendelea
 
Mmekula pilipili isiyowahusu vumilieni tu itapoa
 
huez huwa kila kitu , hakuna intelligence ya hivyo dunian
Huwezi jua kila kitu kwenye majambo ya kawaida ama madogo

Ila kwa hili la hamas inatakiwa mossad shinbet na vigagura wengineo vivunjwe viundwe upya

Laa sivyo siku wataamka israhell haipo halaf mtakuja kusema tena haya haya

Over-rated israhell yakawaida sanaaaaaaaa
 
nilisoma humu kuna member alieleza waarabu walimaindi kwa kuwa mwaka 1948 wao walipewa ardhi haina rutuba ndio kisa cha mgogoro. Imekaaje hapo?
 
Hesabu mtapiga wenyewe Hizbullah hana muda wakukesha mitandaoni nakufanya mapambio

Yeye hua anasema tu nimetwanga pale imeisha hio

Kama munabisha hawajatwanga nenda huko kwenye media
Media hizi-hizi au zipo nyingine genuine?
NB: Media zikishakuwa ni zenye kuchanganya na ushabiki humo humo zinakuwa zimepoteza ubora wake.
 
mkuu acha uswahili sio thread ya misosi hii
Hakuna uswahili ungemsoma jamaa yako alichoandika ungejua kwanini nimemuuliza hivyo

Aliandika akiwa na njaa bila yashaka yeyote naamini
 
wamekunja kambi ngap mpk sasa ?
Hata BBC hua hamosmi au kila kitu mpaka tutafune mzee nyie mmeze

Bbc pitia xhinhua pitia rfi nk maana nikikwambia upitie pars utaanza kulia lia hapa
 
Walipewa ardhi kubwa na nani israhell anatakiwa aondoke kwenye ardhi ya watu aache ujinga ujinga
 
Tangu niliposikia watanzania wametekwa wakauawa ushabiki wa hiyo vita sitaki kabisa kuusikia watajijua wenyewe na vita yao, mijitu ina roho mbaya kama nini sijui afe Hezbollah, Hamas au muisrail kivyao
 
unaandika huu ujinga wkt mama wa kipalestina hajui atalala wap na atakula nin na maji na umeme hakuna , waislam ndo dini pekee inajali vita kuliko amani ya waumin wake
Mkishashindwa hoja hua munaingia kwenye uislamu

Ila popote utakapokuja ntadeal nawewe hivyo hivyo mzee

Kule ukraine wamama wangapi hawajui kula yao wameikimbia nchi yao

Pigania haki yako vyovyote vile ikibidi kufanya hivyo

Bila uislamu kua imara hata wewe leo pengine usingekuwepo uislam ulikuja ukamkuta mwanamke anadhalilishwa ana dunishwa anaonekana sii lolote wengine watoto wakike wakizaliwa tu wanauliwa uislamu ukaja ukaondoa huu ujinga

Uislam ulipinfa ndoa ama michezo michafu ya kuoana watu wasiokua me na ke nk

Ukristo au mifumo isiokua uislam uliwaaminisha kua kuoa wake zaidi ya mmoja ni uvunjifu wa haki za kibinaadam ila leo wamewaletea LGBTQ+ kama ndio mfumo sahihi

Kijana ukifa ukiwa hujaslimu utakuja kunikumbuka

Mwisho uislam ndio amani na amani ndio uislamu na uislamu ndio mfumo sahihi zaidi wamaisha anayotakiwa kuyaishi mwanaadam
 
Media hizi-hizi au zipo nyingine genuine?
NB: Media zikishakuwa ni zenye kuchanganya na ushabiki humo humo zinakuwa zimepoteza ubora wake.
Media zipi ambazo kwako zipi genuine?
 
Tangu niliposikia watanzania wametekwa wakauawa ushabiki wa hiyo vita sitaki kabisa kuusikia watajijua wenyewe na vita yao, mijitu ina roho mbaya kama nini sijui afe Hezbollah, Hamas au muisrail kivyao
Ukiwa upande wa mzayuni wakati wa vita unatakiwa upigwe tu
 
Basi ghaza hakuna vita mzee hizi media tu zimeamua kutudanganya
Hapana mkuu; Vita ipo na inaendelea kwani wahusika wamesema hayo wao wenyewe i.e. From the Horse's mouth. Sasa hawa watoa taarifa (Media) ya ni nini kinaendelea kwenye uwanja wa vita ndo shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…