Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Hongera IDF kwa utaalamu wa kuwasaka na kuwaua viongozi wa Magaidi huko walipo tofauti na wao wahuni wanaoteka vibibi vizee na meli za kiraia. RIP Mollel na Mtenga.
 
Bila uislamu kua imara hata wewe leo pengine usingekuwepo uislam ulikuja ukamkuta mwanamke anadhalilishwa ana dunishwa anaonekana sii lolote wengine watoto wakike wakizaliwa tu wanauliwa uislamu ukaja ukaondoa huu ujinga
Apa Kuna point kubwa nyingine uislam haukuwepo kabla ya Muhammad , ulikuja ukamkuta mwanamke anadhalilishwa ..

Watoto wa kike wakizaliwa tu wanauliwa , SWALI BINADAMU WALIONGEZEKA VIPI KAMA WATOTO WA KIKE WAKIZALIWA TU WANAULIWA
 
France official Na Blinken wametangaza kukutana Na Hassan Nasrallah kiongozi Wa Hizbollah ili kuzuia mashambulizi
Hilo tego tu,huyo ataliwa kichwa akionana tu na hao jamaa.
Nyie kobaz akili zenu zinawaza biriani tu na bikra ahera.
 
Hahahahaha mpaka mseme nyie magaidi wa kiislamu
Watasema Israel ambao washahamisha watu toka mpakani mpaka Karibu Na miji ya kanda ya Kati ya Israel Kwa kukimbia Hizbollah.
Ila Bora Uwe gaidi Wa kiislam kuliko kuwa mfuasi Wa mashoga ya kiisrael.
Pia ukumbuke katika hayo makundi ya Hamas Na Hizbollah Kuna mpaka wakristo wanaotetea ardhi zao.
Pia ukumbuke unaowashabikia hawataki kumsikia Yesu hata upunje kiasi cha kutemea mate madhabahu.
 
😂😂😂
 
Nani watazaa na umesema watoto wakike walikuwa wanauliwa

Embu elezea huo uongo wa Muhammad nikuelewe au wanaume walikuwa wanazaa
Kwa bahati mbaya ama nzuri wala haikua wakati wa nabii Muhammad s.a.w

Ila kwakua umekaririshwa chuki dhidi ya uislam na Muhammad s.a.w ila sikulaumu kijana bado upo gizani
 
Apa Kuna point kubwa nyingine uislam haukuwepo kabla ya Muhammad , ulikuja ukamkuta mwanamke anadhalilishwa ..

Watoto wa kike wakizaliwa tu wanauliwa , SWALI BINADAMU WALIONGEZEKA VIPI KAMA WATOTO WA KIKE WAKIZALIWA TU WANAULIWA
Adam a.s ambae ndio binaadam wakwanza alikua muislam

Kuhusiana na watoto kuuliwa walikua wanauliwa nakuuliwa mpaka wakaja kukomeshwa na uislam kupitia nabii Mussa a.s kwahio uzao ukawa unaendelea mpaka leo hii
 
Kwa hiyo uislam ulikuwepo na watoto wa kike walikuwa wanauliwa?
 
Kuhusiana na watoto kuuliwa walikua wanauliwa nakuuliwa mpaka wakaja kukomeshwa na uislam kupitia nabii Mussa a.s kwahio uzao ukawa unaendelea mpaka leo hii
Kwa hiyo uislam ulianza na nabii wa Allah aliekuwa anaitwa musa ? Kwa hiyo uislam ulivyo anzishwa tu na nabii musa muislamu ndio wakakomesha kuuwa watoto wakike?

Swali ni kwamba watu waliongezeka vipi kama kila mtoto mwanamke aliuwawa?
 
Ni wa aina gani walikuwa wanauliwa? Na kwa Nini?
Niwatoto wakike ndio walikua wanauliwa

Ila sababu ile nimeisahau kwa kweli ila nakumbuka kama ilisemekana kuzaa mtoto wakike nilaana kama sijakosea
 
Kwa hiyo uislam ulikuwepo na watoto wa kike walikuwa wanauliwa?
Uislamu ulikuepo kuna kipindi ukapoteza nguvu na hapa yakafanyika mabalaa yaliofanyika kabla ya kuja kupata tena nguvu nakueka mambo sawa

Uislamu ukiwa kama mtindo ama mfumi wa maisha kuanzia siasa uchumi nk umepitia mambo mengi panda shuka za hapa na pale

Kuna muda ulitawala siasa za dunia ukapotea ukatawala tena ukapotea nk nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…