State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili USA walishaitangazia dunia tangu juzi, ngoja tusubiri kuona kama ni Mkwara tu au wanamaanisha
This might cause WW3 later on
Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupportMiddle haiwezi kusababisha ww3
Middle ni kama Afrika tuu
This time sidhani kama Iran wanatoa vitisho tupu (empy threats) mkuu.Hili USA walishaitangazia dunia tangu juzi, ngoja tusubiri kuona kama ni Mkwara tu au wanamaanisha
This might cause WW3 later on
Hii ngoma imeshalia sana na sasa kuna kila dalili ya kuwa imekwishakupasuka.Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
May God help us ALL.time will tell
Tusichukulie poa jameni jambo hiliWatu washajianda muda mrefu na mbinu zote zimejulikana. Atakalishwa na kuaibishwa Sana safari hii. Yeye Angepiga kimyakimyaa
Akili za Waajemi sio sawa na waarabu.Watu washajianda muda mrefu na mbinu zote zimejulikana. Atakalishwa na kuaibishwa Sana safari hii. Yeye Angepiga kimyakimya
Ni matumaini yangu lakini umeshaanza kujiwekea akiba ya chakula cha kutosha na mahitaji ya muhimu wewe na familia yako.Iran na maayatollah maneno mengi ya kutishia lakini vitendo waoga
Ila Iran wasije kuanza kulia na kusaga meno huku wakiomba msaada wa nchi za kiIslamu za OIC na umoja wa mataifa UN baada ya kujitutumua kwa kujidai kurusha kikombora Israel
Picha ya mwingine. ..tamko la ku google?😆😆Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Initially I thought World War III may start in Europe but now it seems it will start in the Middle East!. Mark my words.Middle haiwezi kusababisha ww3
Middle ni kama Afrika tuu
Tusikariri.Hawa majama tatizo maneno mengi vitendo ni ziro