Iran ina nini cha kuitisha Israel? Iran hii ambayo ipo uchi kwa Israel wairan wanauwawa na israel ka mbwa? Hakuna nchi hapo ME inayoweza kuisumbua Israel kamwe hakuna. Walishajaribu kujikusanya mataifa 6 na walikung'utwa mpaka raisi wa egypt akafa kwa kihoro.Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Israel ina best ever intel in the world ambayo hakuna nchi inayo!
Israel ina watu wenye miakili ambazo kamwe waajemi hawana na hawajawahi kuwa nazo na hawatakuja kuwa nazo.
Anyway muiran huyo hapo akijianda kuimaliza Israel🤣😆🤣😆