Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Wamarekani naona hawana say kuhusu israel,yaani kinachoendelea ni kama kumkataza mtoto asifanye kitu bila action yoyote
 
Watu washajianda muda mrefu na mbinu zote zimejulikana. Atakalishwa na kuaibishwa Sana safari hii. Yeye Angepiga kimyakimya
Dah! Umenikumbusha Alwaz! Alikuja moto kweli kipindi kile HAMAS wameshambulia Israel na kuchukua. mateka. Sasa hivi kaamua kujikalia kimya na kujikita kwenye kilimo chake cha matikiti!
attack ya october 7,ilimkumba mtanzania mwezetu ambaye ni mateka kati ya wale 1,220 sijui serikali yetu ina hii taarifa na kuifanyia kazi
 
Ayatollah anaenda kumalizwa na uhakika siku si nyingi, huko Tehran, sbb wayahudi wana tabia ya kuwaua viongozi wazi wazi na wao kupigwa risasi na kuuawa kuna mifano mingi, Ayatollah akae kwenye handaki au wapi watamfuata najua, kama ilivyo kwa Rais wa Iran alivyouawa kwenye ile ajali, Ayatollah nae akae chonjo sana sbb wayahudi ni wakata roho za watu kwa uhakika
 
Iran na maayatollah maneno mengi ya kutishia lakini vitendo waoga

Ila Iran wasije kuanza kulia na kusaga meno huku wakiomba msaada wa nchi za kiIslamu za OIC na umoja wa mataifa UN baada ya kujitutumua kwa kujidai kurusha kikombora Israel
Unajichanganya sana, mara Iran maneno mengi ya kutishia mara wasije kuomba msaada baada ya kujitutumua.
 
inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Hivi Iran walishafanikiwa kuwa na silaha za nyuklia?
 
Back
Top Bottom