George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Hakika haujui.Sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika haujui.Sijui
Hakika haujui.
Ndio ndio!Naam
😂😂😂Alitafutwa sasa anajaa taratibu kwenye 18 za watoto wa Yakobo. Kila silaha itakayofanyika juu yao haitafanikiwa hata wakusanyane kama sio shauri la Jehova wataanguka. Watoto wa Yakobo wabarikiwe
Hata wasipoandika haiwezi kuzuia vita kutokea. Unadhani "soga" za hapa jukwaani zina uzito wowote kwa yanayotokea huko saa hii?watu wanaona ni jambo rahisi kuandika ww3 ila ikija hyo itakua vita mbaya sana basi tu kwakua hatuzijui vita tunaandika tu.....
Israel took the risk!If you wanna attack then attack at your own risk
Iran haina nuclear weapons. Na isipojiheshimu vinu vyake vya nyuklia hasa cha Natanz vinapigwa na Israel this time. Huwa wanatafuta justification ya kuviharibu.☢️ ☢️ ☢️ nuclear threat!? ☢️ ☢️ ☢️
The Iranian Defense Minister have WARNED Israel RESIDENTS TO EVACUATE .
𝑺𝒂𝒘𝒂 𝒎𝒉𝒂𝒎𝒃𝒖𝒛𝒊 𝒘𝒂 𝒏𝒂𝒏𝒈𝒖𝒌𝒖𝒓𝒖Iran haina nuclear weapons. Na isipojiheshimu vinu vyake vya nyuklia hasa cha Natanz vinapigwa na Israel this time. Huwa wanatafuta justification ya kuviharibu.
Bila shaka Iran wanalijua hili, sio?Isipojiheshimu vinu vyake vya nyuklia hasa cha Natanz vinapigwa na Israel this time. Huwa wanatafuta justification ya kuviharibu.
Kwani mara ya mwisho alivyotangaza alifanya au hakufanya?Angekua na mpango wa kufanya kweli asingetangaza. Ulisikia mtu akitangaza kwamba Haniyeh atatolewa kafara au rais wa Iran atauawa? Ogopa MTU mkimya. Mpuuze mtu anayeongea maneno mengi Kama mwanamke.
Hata nyumbani, ukiwa na mwanamke anayeongea ongea Sana, jipongeze. Ukiwa na mke mkimya, my friend be very careful, very very careful. Mwanamke unarudi saa nane za usiku hakuulizi, be very careful.
Iron dome haina ufanisi wa kudungua makombora.Watarusha makombora kama kawaida yatunguliwe na Iron Dome waseme kisasi kimeisha
Mnadanganyana huyo Iran ana silaha zipi za maangamizi ambazo Israel hana? Iran akiingia kichwa kichwa anakuwa kichwa, hana uwezo wa kuzuia air force ya Israel atatandikwa hadi achoke, na utawala wake utaanguka. Sikio la kufa halisikii dawa, mark my word. Wasifikiri Israel amekaa kihasara eti anasubiri apigwe na makombora ya Iran, kutangaza hali ya hatari ni kawaida, nchi ikishakutishia lazima uchukue tahadhari kali, hapo mossadi watakuwa kazini kitambo.inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Hata mara ya mwisho walivyotangaza kuishambulia Israel ilikuwa hivi hivi. Punguza haraka, una hamu sana ya kuona vita mkongwe, eti?Masaa machache Bado tu? We're waiting for breaking news.
Halafu?Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
Yes, I want a story to tell my childrenHata mara ya mwisho walivyotangaza kuishambulia Israel ilikuwa hivi hivi. Punguza haraka, una hamu sana ya kuona vita mkongwe, eti?
Iran wameshajiuliza matokeo ya watakayoyafanya?Watabaki salama?inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
And Middle East is in EuropeInitially I thought World War III may start in Europe but now it seems it will start in the Middle East!. Mark my words.