Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

ON GOING SITUATION IN M. EAST:
#U.S. TO SEND USS ABRAHAM LINCOLN CARRIER STRIKE GROUP FOLLOWING THREATS FROM IRAN.
U.S. DEFENSE SECRETARY LLOYD AUSTIN SPOKE TO HIS ISRAELI COUNTERPART YOAV GALLANT IN A PHONE CALL
 

Attachments

  • IMG_20240803_101820.jpg
    IMG_20240803_101820.jpg
    147.9 KB · Views: 2
#Iran and the resistance members from Lebanon, Syria, Iraq, and Yemen will meet in Tehran to discuss best options and find the most effective way to retaliate against Israel
Source : Reuters.
 
Tusikariri.

This time hali ni tofauti mkuu.

Kwa mara ya kwanza kabisa kushudiwa masaa machache yaliyopita, dege kubwa la kubeba mizigo (with undisclosed cargo) la kijeshi aina ya Gelix II-76 la Urusi limeonekana katika rada likisafiri kutokea Moscow kuelekea Tehran.
View attachment 3060066
Kwa hiyo siliha zilizobebwa kwenye ndege moja kubwa ndio zinaweza kuendesha vita kamili? Hivi hizi akili mnazitoa wapi, kwanza huyo Russia yeye mwenyewe tuu silaha za kupigana na Ukraine anaungaunga kwa Iran,China na Korea leo hii eti anagawa silaha kwa Iran
 
Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport

China hapatani na waislamu.. huwa anawatesa sana waislam eneo lake la Ughur.

Shida ya palestina na iran ni waislam
 
inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL.

Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki.

Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari.

Tayari hofu imetanda Huko Israel

Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL.

Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.

Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Watapigana wenyewe sisi Vita hatutaki,, kuhusu mafuta tutatumia ya Nigeria,sudani,libya
 
Watarusha makombora kama kawaida yatunguliwe na Iron Dome waseme kisasi kimeisha
Na ndivyo watakavyofanya. Irani kuhalisia anaiogopa sana Israel na anajua nguvu yake. Anachokifanya ni kutengeneza katukio kuonyesha kuwa amelipa kisasi.

Na inawezekana huwa anawasiliana na Israel na Marekani kuwaomba kulipa kisasi kiaina na ndio maana Marekani muda wote hutoa taarifa ya muda . Tujikumbushe kisasi cha Iran dhidi ya Kambi ya Marekani kule Iraq ambapo hakuna aliyejeruhiwa hata mmoja, na juzijuzi alivyolipa kisasi kwa Israel kisasi kisichokuwa na madhara.

Kwahiyo ninaamini muda huu kamati imeundwa baina ya Israel, Iran na Marekani kupanga namna ya kulipiza ila malipizi yasiyo na madhara.

MTU MWENYE NIA HUWA HANA MATANGAZO MENGI
 
Thank you very much Israel.
I am sure that, this is the beginning of ending Islamic Terrolism.

شكرا جزيلا لك إسرائيل، أنا متأكد أن هذه هي بداية القضاء على الإرهاب الإسلامي.
shukran jazilan lak 'iisrayiyl, wa'ana muta'akid min 'ana hadha hu bidayat alqada' ealaa al'iirhab al'iislamii.
 
Ikumbukwe Israel iliwahi kuwa koloni la Iran. Na Iran chini ya Koreshi ndiye aliyeamua kuwarudisha watumwa wa kiisrael hapo walio.
Mipaka ya Uajemi ya kale ni zaidi ya Iran ya Sasa....maana ilienea mpaka maeneo ya Uturuki, Syria baadhi ya maeneo ya India mpaka Ethiopia.
 
Back
Top Bottom