Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wale waliotega bomu kwa haniye miezi miwili kabla na kuhakikisha analala humo wenyewe wakabaki na rimoti switch wameshatoa siri ya mipango yooooote.Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Siku hz anajiita webabuDah! Umenikumbusha Alwaz! Alikuja moto kweli kipindi kile HAMAS wameshambulia Israel na kuchukua. mateka. Sasa hivi kaamua kujikalia kimya na kujikita kwenye kilimo chake cha matikiti!
Ha ha haDah! Umenikumbusha Alwaz! Alikuja moto kweli kipindi kile HAMAS wameshambulia Israel na kuchukua. mateka. Sasa hivi kaamua kujikalia kimya na kujikita kwenye kilimo chake cha matikiti!
Wote wapumbavu tuuuu. Hawawezi kushindana na G7Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
Kwani kati ya Iran na Israel nani anaye takiwa kujiheshimu?Iran haina nuclear weapons. Na isipojiheshimu vinu vyake vya nyuklia hasa cha Natanz vinapigwa na Israel this time. Huwa wanatafuta justification ya kuviharibu.
Hiyo Urusi unayo sema ina silaha za kuunga unga mwaka 2023 ndo aliye uza silaha nyingi nyuma ya Marekani.Kwa hiyo siliha zilizobebwa kwenye ndege moja kubwa ndio zinaweza kuendesha vita kamili? Hivi hizi akili mnazitoa wapi, kwanza huyo Russia yeye mwenyewe tuu silaha za kupigana na Ukraine anaungaunga kwa Iran,China na Korea leo hii eti anagawa silaha kwa Iran
Shida yako na wengine wengi hili jambo mnalijadili kishabiki hasa katika mlengo wa kidini. Pili unajibu 'mnasemaga ' ukimaanisha Mimi na Nani? Hizi battle zenu za kishamba bakini nazo. Na Hapo tayari umeassume Mimi ni Muislam ndo maana umeenda mbele mpaka kutaja hizo religious resistance groups. Am a Christian and not a fan of this genocide warsSi mnasemaga iran anamuweza USA 🇺🇸 sa tatzo nn si ndo watandikwe wote sasa au vp....
Vp kuhusu iran kupewa support na Russia 🇷🇺 ww hilo hulioni ila unaliona la 🇮🇱 kupewa support na 🇺🇸 tu.
Iran awapige wote kama ambavyo huwa mnasema humu kwani pia wale houth wa 🇾🇪 wako wapi nao si mlisema wanawamudu USA 🇺🇸 na nato si ndo nafasi sasa waitumie vzr kuwamaliza hao mnaosemaga ni mashoga au vp wale taliban wako wp pia si mlisema wanammudu USA 🇺🇸 fursa yao sasa au siyo.
𝑼𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒖𝒎𝒆𝒋𝒊𝒇𝒂𝒉𝒂𝒎𝒖 𝒏𝒊 𝒎𝒄𝒉𝒂𝒎𝒃𝒖𝒛𝒊 𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒊Ni Nangurukuru sio nangukuru. Anza kwanza kufahamu mambo ya ndani kabla ya kukurupukia ya nje.
watu wanaona ni jambo rahisi kuandika ww3 ila ikija hyo itakua vita mbaya sana basi tu kwakua hatuzijui vita tunaandika tu.....
Unapenda vita sio movieKwani kelele za nn SI waingie tu kazini tuone matokeo?
Source: Trust meinaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL.
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki.
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari.
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL.
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Eti Burundi 😂😂😂 ila Mpaji MunguHili tamko lingetolewa na taifa lingine lolote duniani kama chadi, Burundi, Sweden, Gabon au Madagascar ningeamini pana Hali ya hatari ila kama ni Iran hata haishtui
😆😆 Waisraeli weusi wanvyoisifia Israel hata Waisraeli wenyewe wanashangaa.Iran ina nini cha kuitisha Israel? Iran hii ambayo ipo uchi kwa Israel wairan wanauwawa na israel ka mbwa? Hakuna nchi hapo ME inayoweza kuisumbua Israel kamwe hakuna. Walishajaribu kujikusanya mataifa 6 na walikung'utwa mpaka raisi wa egypt akafa kwa kihoro.
Israel ina best ever intel in the world ambayo hakuna nchi inayo!
Israel ina watu wenye miakili ambazo kamwe waajemi hawana na hawajawahi kuwa nazo na hawatakuja kuwa nazo.
Anyway muiran huyo hapo akijianda kuimaliza Israel🤣😆🤣😆View attachment 3060103