State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamna kitu.. mkwala wa chiuwawaIran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Kwa hiyo siliha zilizobebwa kwenye ndege moja kubwa ndio zinaweza kuendesha vita kamili? Hivi hizi akili mnazitoa wapi, kwanza huyo Russia yeye mwenyewe tuu silaha za kupigana na Ukraine anaungaunga kwa Iran,China na Korea leo hii eti anagawa silaha kwa IranTusikariri.
This time hali ni tofauti mkuu.
Kwa mara ya kwanza kabisa kushudiwa masaa machache yaliyopita, dege kubwa la kubeba mizigo (with undisclosed cargo) la kijeshi aina ya Gelix II-76 la Urusi limeonekana katika rada likisafiri kutokea Moscow kuelekea Tehran.
View attachment 3060066
Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
Watapigana wenyewe Africa hatutaki vitaInitially I thought World War III may start in Europe but now it seems it will start in the Middle East!. Mark my words.
Watapigana wenyewe sisi Vita hatutaki,, kuhusu mafuta tutatumia ya Nigeria,sudani,libyainaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL.
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki.
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari.
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL.
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Wanajua ndio. Kwani hawakuwa wanajua kwamba Haniyeh anatafutwa na wakampa ulinzi mkali. Alafu ikawaje si unajua matokeoBila shaka Iran wanalijua hili, sio?
Ndio najua matokeo, pia najua kifuatacho baada ya hayo matokeo, kama mimi najua bila shaka Israel nao wanajua nini kifuatacho.Wanajua ndio. Kwani hawakuwa wanajua kwamba Haniyeh anatafutwa na wakampa ulinzi mkali. Alafu ikawaje si unajua matokeo
Sisi ni wahanga wa neo colonialism . Hivyo in case of any big war outbreak in middle east, bas ni lazma tuumie.Watapigana wenyewe Africa hatutaki vita
Escalation at its maximum...Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Ni Nangurukuru sio nangukuru. Anza kwanza kufahamu mambo ya ndani kabla ya kukurupukia ya nje.𝑺𝒂𝒘𝒂 𝒎𝒉𝒂𝒎𝒃𝒖𝒛𝒊 𝒘𝒂 𝒏𝒂𝒏𝒈𝒖𝒌𝒖𝒓𝒖
Mikwara mbuzi hiyo."Our response will be decisive and unforgettable”-Iran
Zingatia zaidi hayo maneno yenye rangi nyekundu.
Na ndivyo watakavyofanya. Irani kuhalisia anaiogopa sana Israel na anajua nguvu yake. Anachokifanya ni kutengeneza katukio kuonyesha kuwa amelipa kisasi.Watarusha makombora kama kawaida yatunguliwe na Iron Dome waseme kisasi kimeisha
😂😂😂😂Na inawezekana huwa anawasiliana na Israel na Marekani kuwaomba kulipa kisasi kiaina
Mipaka ya Uajemi ya kale ni zaidi ya Iran ya Sasa....maana ilienea mpaka maeneo ya Uturuki, Syria baadhi ya maeneo ya India mpaka Ethiopia.Ikumbukwe Israel iliwahi kuwa koloni la Iran. Na Iran chini ya Koreshi ndiye aliyeamua kuwarudisha watumwa wa kiisrael hapo walio.