Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

watu wanaona ni jambo rahisi kuandika ww3 ila ikija hyo itakua vita mbaya sana basi tu kwakua hatuzijui vita tunaandika tu.....
Hata wasipoandika haiwezi kuzuia vita kutokea. Unadhani "soga" za hapa jukwaani zina uzito wowote kwa yanayotokea huko saa hii?
Kwani matukio yaliyotrigger WW zilizopita yalikuwaje?
Pia, unadhani WW ikianza utatangaziwa katika vyombo vya habari kuwa imeshaanza?
 
Angekua na mpango wa kufanya kweli asingetangaza. Ulisikia mtu akitangaza kwamba Haniyeh atatolewa kafara au rais wa Iran atauawa? Ogopa MTU mkimya. Mpuuze mtu anayeongea maneno mengi Kama mwanamke.
Hata nyumbani, ukiwa na mwanamke anayeongea ongea Sana, jipongeze. Ukiwa na mke mkimya, my friend be very careful, very very careful. Mwanamke unarudi saa nane za usiku hakuulizi, be very careful.
Kwani mara ya mwisho alivyotangaza alifanya au hakufanya?
Kila uongozi una misingi yake, unataka Iran ashambulie tu bila kuwapa raia wa kawaida wa Israel nafasi ya kujiokoa?
 
inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Mnadanganyana huyo Iran ana silaha zipi za maangamizi ambazo Israel hana? Iran akiingia kichwa kichwa anakuwa kichwa, hana uwezo wa kuzuia air force ya Israel atatandikwa hadi achoke, na utawala wake utaanguka. Sikio la kufa halisikii dawa, mark my word. Wasifikiri Israel amekaa kihasara eti anasubiri apigwe na makombora ya Iran, kutangaza hali ya hatari ni kawaida, nchi ikishakutishia lazima uchukue tahadhari kali, hapo mossadi watakuwa kazini kitambo.
 
Mimi naona ni kinyume chake! Dunia itashangazwa na kile ambacho Israel itaifanya Iran.
Nadhani Ile plan ya Israel kuharibu vinu vya nuclear vya Iran itakuwa imekamilika.
Lazima ujue hiyo ndiyo plan ya muda mrefu ya Israel,na hapo Iran ilikuwa inatafutwa iingizwe kwenye 18 za Israel.
 
inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Iran wameshajiuliza matokeo ya watakayoyafanya?Watabaki salama?
 
Back
Top Bottom