Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Wale wale waliotega bomu kwa haniye miezi miwili kabla na kuhakikisha analala humo wenyewe wakabaki na rimoti switch wameshatoa siri ya mipango yooooote.
Iran kwa kujimwambafai kajifunza kwa putin.
 
Russia ni juzi tu kapigwa na kuuliwa raia wake na Magaidi wanaotumwa na kufadhiriwa na Iran.
Alaf Leo awasaidie Iran.
Huko aliko anachekelea tu.
Unamlisha Nyoka chakula ili akikua akumeze.
Never.
 
Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
Wote wapumbavu tuuuu. Hawawezi kushindana na G7
 
Iran haina nuclear weapons. Na isipojiheshimu vinu vyake vya nyuklia hasa cha Natanz vinapigwa na Israel this time. Huwa wanatafuta justification ya kuviharibu.
Kwani kati ya Iran na Israel nani anaye takiwa kujiheshimu?
Kwani Israel isingeenda kufanya ugaidi kwenye ardhi ya Iran huu mzozo uliopo ungekuwepo?
Hata hiyo vita ikilipuka kila upande ujiande kulipa gharama kubwa.
Mzozo uliopita kila upande ulionekana kujizuia lakini sina uhakika na wakati huu.
 
Hiyo Urusi unayo sema ina silaha za kuunga unga mwaka 2023 ndo aliye uza silaha nyingi nyuma ya Marekani.
 
Shida yako na wengine wengi hili jambo mnalijadili kishabiki hasa katika mlengo wa kidini. Pili unajibu 'mnasemaga ' ukimaanisha Mimi na Nani? Hizi battle zenu za kishamba bakini nazo. Na Hapo tayari umeassume Mimi ni Muislam ndo maana umeenda mbele mpaka kutaja hizo religious resistance groups. Am a Christian and not a fan of this genocide wars
 
Ni Nangurukuru sio nangukuru. Anza kwanza kufahamu mambo ya ndani kabla ya kukurupukia ya nje.
𝑼𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒖𝒎𝒆𝒋𝒊𝒇𝒂𝒉𝒂𝒎𝒖 𝒏𝒊 𝒎𝒄𝒉𝒂𝒎𝒃𝒖𝒛𝒊 𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒊
 
Aache maneno Apige. Mbona Israel inapiga?
 
Litakuwa Jambo Baya Sana Kutokea Hasa Raia Ndiyo Watakaoangamia
 
watu wanaona ni jambo rahisi kuandika ww3 ila ikija hyo itakua vita mbaya sana basi tu kwakua hatuzijui vita tunaandika tu.....

Mkuu umu kuna utoto mwingi sana, mtu anaandika ujinga mpaka unashangaa, watu anashangilia vita kama yanga na simba, wajinga wengine wanausisha hayo yanayoendelea hapo mashariki ya kati na dini
 
Yaliyowakuta Saddam Hussein, Muammar Qaddafi na Nduli Idd Amin Dada yatawapata Mahayatolla wa Iran. Marekani ilisibiri fursa hii kwa muda mrefu imepata justification sasa.
 
Iran ilipigana na Iraq ya Saddam Hussein miaka 10 na hawakushinda, sasa wamvae muisrael watafutika kabisa.
 
Source: Trust me
 
😆😆 Waisraeli weusi wanvyoisifia Israel hata Waisraeli wenyewe wanashangaa.

Huyu Israel aliywekwa pale middle east na wazungu kwa maslahi ya wazungu?

Huyo Israel anatumiwa na mabwana zake wazungu ndiyo maana unaona akishambuliwa mabwana zake wanakuja juu kumsaidia kwasababu wanajua Iran ni taifa tishio kote ulimwenguni mashoga wasipoungana Israel atasambaratishwa vibaya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…