Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

Kwanini ubebe mimba bila ya kukubaliana na upande wa pili? Mwanaume kukupenda haimaanishi ujibebee mimba bila makubaliano
 
Makusudi kwa vile wewe unafanyag kimya kimya na yeye aliesema hadharani ndo aonekane mjinga kweli lakini?? Mdogo wangu fikiria nje ya box kwamba mpaka leo hujawai kufanya kosa ambalo ulikuja kujutia????
Hayo anatakiwa kuyatafakari kabla hajalala na mwanaume kitandani ambaye sie mume wake. Hakunaga bahati mbaya ni makusudi.
 
Wew haukumuelew alisema kwamba hakujua kuwa alikuwa anatoka na mume wake mtu. Tena mwenye familia ya mke na watoto mkorofi hapo mwanaume
 
Ndo ufahamu sasa kwamba sio kila anayejiita mtakatifu basi ameokoka la hasha wanajificha kwenye vivuli vya Iman na kujifany kujua kwingi
 
Ajabu sasa jamaa hili hili limemtelekeza. Akipata mwanaume akajitoa kulea hiyo mimba na yeye mwenyewe. Baada ya miaka mitano 2030 jamaa litaibuka na kutaka kuwa katika maisha ya mtoto. Halafu likitaka litamla na hata kumtia mimba nyingine. Na huyo Mr. Nice Guy anaweza kuachwa. Single mothers akili zao wanazijua wenyewe tu.

Single mama wa kuhurumiwa ni mjane tu. Wengine hawa acha wavune matunda ya uzinzi wao!
 
Mapenzi ya mjini raha sana mtu mnakutana mnaazisha mahusiano bila hata kujuwa jina la mwisho. Huyo baba mmefahamiana kwa mda gani? Hata kama uliambiwa huwezi kupata mimba ndio ujiqchie hivyo kwani huongopi ukimwi?
 
Hivi kati ya wanawake na wanaume wepi wana stahili kuitwa wazinzi????? Kama ujuavyo uchu wa mwanaume kula kila mwanamke mzuri anaye pita machoni pake na kuja na maneno mengi matamu ya uongo..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…