Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho....
 
Mbona umesema kweli kuwa patents za vitu vya china ni marekani.... si mali yao, raw matrials si ajabu supplier ni USA, hivyo hata bei inawezekana anapanga yeye na hivyo kuwa na final say ya ngawila!

Aah wp raw material zinatoka afrika nyingi za simu china wanatengenza kwa matakwa ya wamerekani kwa bidhaa zao the rest wanatengeneza vile watakavyo wao na ndio vingiii vinaenda sehemu kubwa ya dunia
 
Almost zote through China under USA patent!

Aahaaa wp labda hiyo simu tu na laptop yako vingine vyombo nguo navyo utasema ni patent ya USA?![emoji1787][emoji1787]
 
Eti biashara kubwa ya U.S ni silaha tuu,hizi innovations za technology and service anazovumbua na kuziuza unaona za hela ndogo sio?
 
Kwanini wewe Mtanzania Serikali yako isichape fedha nyingi za madafu halafu shughuli zote za ujenzi wa madarasa,madaraja na barabara muwalipe kwa kutumia hizo fedha mlizochapisha?
 
Kwani hiyo Internet ni mali ya nani?
 
Si kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!
Uko mbali na dunia Pole acha nadharia unafahamu kitu kinaitwa (PDS) Petroldollar system Ni mfumo dume uliwekwa na mmarekani kwa kuandikiana mikataba na Uarabuni kuwa kila mtu atakayehitaji mafuta lazima anunue kwa Usd $ kama ulikuwa utambui sasa fahamu hilo na Mrusi ndicho anakifanya kuondoa mfumo huo kwa kuuza bila kutumia usd$ na waliotaka kupinga hawapo duniani Mf Saddam,Ghadaff wote walipinga mfumo huo wako wapi sasa!
 
Si kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!
Retired,unasema kila kitu kinapatikana marekani,?, hebu fafanua ndugu yangu,nn kwa mfano?
 
Si kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!
Ni kitu gani kinachozalishwa USA kinauzwa nchi za africa? Ukiacha na silaa
 
Bwashee umeongea kimihemko dola ingeshuka ,tungetegemea na huku tungeshuhudia Jana nimeenda benk dola 1 =tsh 2310 mambo Yale Yale hakuna jipya ,hizo siasa za mmarekani na mrus ni ngumu ,ukishabikia utaumia
 
True
 
Si kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!
Ujui historia ya vita ya pili ya dunia ,ndiyo ulikuwa mwanzo wa dola kuwa pesa ya dunia sasa ksitafute ujue kwanini ? Ukisha jua sema wewe ni zuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…