Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Nimeifatilia hii ishu na kuhitimisha, tatizo kubwa ni Uislam na harakati za mwarabu nchini Ufaransa ndo tatizo
 
Ila wewe kutukana ndio kunakusaidia kitu sio? Nenda na wewe ukauziwe udongo,mafuta na chumvi ili uwe tajiri kimiujiza.
Sawa,
Lakini waambie waislamu wenzako wabaki nchini kwao ili wamuabudu vizuri allah
 
Ulivamia uzi huku dela lako umelichomeka kwenye chupi yako ulifikiri tungekuchekea sio? Nyie walokole pori mnaojifanya mnajua kukashifu imani za wenzenu,mimi ndio hua nawatafuta hasa,

Halafu wewe Pimbi usifikiri nimekusahau.
Kwa nini sasa mnaenda nchi za walokore,kwa nini msiende nchini kwenu mkamuabudu allah vizuri?
 
Sasa kama ni wakimbizi,kwa nini wewe mkimbizi halafu ufike nchi ya watu halafu uanze kudai haki??
Tangu lini mkimbizi akawa na haki?
 
Kwa nini sasa mnaenda nchi za walokore,kwa nini msiende nchini kwenu mkamuabudu allah vizuri?
Wewe mjane naona umeikwepa comment yangu # 75 unaonekana ni masikini choka mbaya na huna exposure wala kujua kinachoendelea Duniani.

Majibu ya hivyo viswali vyako,yapo kwenye comment #75
 
Nimeifatilia hii ishu na kuhitimisha, tatizo kubwa ni Uislam na harakati za mwarabu nchini Ufaransa ndo tatizo
Wacha weee,mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Nanjilinji,

Kwa hiyo wewe mlokole uliyopo huko Nanjilinji ndio unajua zaidi kuliko hata BBC sio?


 
Sasa kama ni wakimbizi,kwa nini wewe mkimbizi halafu ufike nchi ya watu halafu uanze kudai haki??
Tangu lini mkimbizi akawa na haki?
Unaweza kuweka hapa reliable source kua hayo maandamano ni ya wakimbizi? Au umeamua tu kutapika hapa ili na wewe uonekane unachangia uzi,ili usije ukasahaulika kama na wewe umo humu JF?

Uje na reliable source,usije na viswali vyako vya kilokole.

Soma comment yangu #91
 
Kimemlamba alikua Ana mdomo mrefu kwa Netanyahu na Israel
mossad wameingia kazini wanachoma kiberiti nchi yake haamini macho yake kwenye hayo maandamano wanaume wenye muonekano wa middle East ndio wamejaa front wazungu wamabaki kushangaa tu

Israel balaa sana. Next ni South Africa. They can be divided racially again. The whites want to have their country...
 
Ee maddhaphaka unawaza ngono tu 24/7, miislam bhana!!
 
Kwa hiyo mkuu maandamano ni kushinikiza serikali iungane na metanyau?
 
Macron hajawa na tatizo na Iran. Macron anapishana sana na Netanyau. Mjifunze siasa madogo. Macron anawapigania Wapalestine
 
...ukiachana na hayo maandamano yanayoendelea, Macron ni miongoni mwa viongozi waliojaribu kupinga sera za Netanyahu kuhusu eneo la Gaza.

...France walikua na support kubwa sana kwenye kuingia madarakani kwa Ayattollah Ruhollah Khomein maana aliingia Iran kwenda kufanya mapinduzi akiwa anatoa France.
 
kuna mambo mengi labda wengi hamuelewi, huyo macron ndiyo yuko nyuma ya hayo yote yanayoendelea …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…