MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
- #41
None of the above is correct.
Tunaomba mtazamo wako ili tuelimikeNone of the above is correct.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
None of the above is correct.
Tunaomba mtazamo wako ili tuelimikeNone of the above is correct.
Lakini watu wa evolution wa nalazimisha. Mfano UK serikali ilitangaza haitafund free school yoyote itakayokataa kufundisha evolution. Sasa inatoka kwenye science inaingia kwenye imani inazama na kwenye siasa Sasa. Toa mtazamo wako kidogo mkuuHadi sasa bado haijajulikana wepi ndio wapo sahihi,na inawezekana hadi vizazi vitafutika duniani na jibu lisijulikane.
Asante kwaMimi moja kwa moja napingana na CREATIONISM kwa maana haina mantiki.Nasema haina mantiki kwa sababu inatuachia maswali yasiyo na majibu na kutulazimisha tuiamini badala ya kuielewa.Mimi nina maswali yafuatayo kuhusu CREATIONISM.
1.Kama watu wote walitokea sehemu moja(mf.Mashariki ya kati), ni technologia ipi iliyotumika kusambaza watu kutoka mashariki ya kati kwenda maeneo mbalimbalina ya Dunia kama Chile, Madagascar n.k?
walivukaje bahari? Kama walisafiri, kwa nini wasingekuwa wanawasiliana kwa safari za mara kwa mara? Kwa nini kina V.Da Gama, C.Columbus wawe wagunduzi wa maeneo mengine? ina maana waliamini Dunia ni maeneo walimoishi pekee?
2.Kama tumetokana na Baba na Mama mmoja, kwa nini watu tunatofautiana sana? nini sababu na mechanism iliyosababisha wawepo watu weupe na weusi? Miaka 6000 inatosha kuruhusu mabadiliko makubwa tunanoyashuhudia ya tofauti miongoni mwa jamii za watu wa hii Dunia?
3.Kwa nini kuna mabaki ya kale yenye umri zaidi ya miaka milioni? kwa nini hayo mabaki hayapatikani nje ya Africa? Kwa nini fossils zinaonesha 'Life complexity' inaongezeka kutoka matabaka ya chini kuja matabaka ya juu ya miamba?
4.Kwa kuwa Watu waliumbwa kutokana na udongo, ni material yepi yaliyotumika kuumba viumbe wengine kama wanyama na mimea? Mbona watu wanafanana sana na hawa viumbe wengine?
5.Ukowapi ushahidi/mabaki ya bustani ya Eden, masalia/makaburi ya Adam na Eva?
Yako wapi masalia ya safina ya Nuhu? Mbona Palaeontology haioneshi kama mafuriko ya Dunia nzima yamewahi kutokea na kuua watu?
6.Kwa nini vitabu vya dini havizungumzii uwepo wa sayari nyingine?, Kama hizo Sayari ziliumbwa na Mungu, ni za kazi gani?
7.Kama Mungu ndiye muumbaji wa kila kitu, kwa nini aumbe viumbe hatarishi kwa watu wake kama vile; Virus, bacteria na Fungus wenye kusababisha magonjwa na vifo kwa watu? Mungu mwenye upendo wote anaweza kuumba vyanzo vya matatizo kwa watu wake?
8.Kwa nini miili ya viumbe vya Mungu iwe na vestigial organs?
9.Kwa nini Mungu aumbe Dunia yenye majanga asilia kama matetemeko ya nchi, mafuriko, vimbunga na milipuko ya volcano? Intelligent designer anaweza kuumba dunia yenye majanga kama hii ya kwetu?
10.Kwa nini Mungu alisikitika na kuhuzunika baada ya kumuumba Binadamu(Mwa.6:5-8)? Mungu gani mjuzi wa yote afanye jambo la kumsikitisha na kumhuzunisha siku za mbeleni?
Evolution ukizama sana utagundua sio sayansi Bali indoctrination ni zaidi ya dini. Hapa huwa ni imani mbili tofauti sayansi ni Pana na hawa jamaa wanapitia humu kueneza uzushi usio na proofs.science na dini vinapingana sana
Asante kwa
changamoto.
Japo kipengele cha kwanza kinakubana wewe zaidi maana kama Mungu aliumba intelligent man kwa case study ya waliojenga mnara na kuchafuliwa lugha na wakasambaa vikundivikundi kwa akili hiyohiyo ya kujenga supertower inashindikana nini kutawanyika kwa mfumo huu.
Pili tupe ubora wa upande unaousimamia. Homo habil wa arusha alitembea kwa mkuu hadi bagamoyo Kisha akatengeneza boti ya kwenda Greenland ili aivolve na kuwa Eskimo.
Tupe na upande wako ili kuwapa wasomaji uzio mpana wa mjadala. Karibu mimi nitatoa mtazamo wangu kwa kina zaidi hapo baadae na kwa nini evolution sio dili
Usiogope mkuu. Unaweza kuchimba hata kwa juujuu. Au ukachagua upande na kuuboreshaHivi vitu ukivifatilia sana unaweza kuwa chizi na mwisho wa siku jibu sahihi usipate
Hiyo njia inamapungufu kuliko kawaida.Kwa mujibu wa data zilizopatikana kwa satellite ya wmap pamoja na ile COBE ambazi zilikuwa zinatafiti background radiation zilionyesha universe ina miaka 14 bil, nakubariana na scientific kuliko kuliko hiyo ya miaka 6000, dini ya kale kabisa kwa data zilizopo ni wa Hinduism na maandiko yao yanaspan zaidi ya miaka ya hiyo miaka 6000 haingii akilini dunia kuwa na miaka 6000.
Wmap na COBE satellites ilishabithitisha umri wa miaka wa dunia ni 4 bil na universe ni zaidi ya miaka 13~14 bil kilichokuwa kinaangaliwa ni zile background radiation ambazo ni microwave zilizo dormant na no very tiny ambapo wmap pia ndio ilionyesha dark matter, dark energyHiyo njia inamapungufu kuliko kawaida.
Ili ujue mtoto wako anamiaka mingapi ni lazima ujue siku yake ya kuzaliwa. Na hapa ndio kitovu cha assumptions. Kitu cha pili Kuna vitu vingi vilivyodhaniwa kuwa na mamilioni ya miaka leo vimejulikana ni maelfu tu au mamia kwa sababu ya kipimo hicho hicho.
Zama zaidi tulete changamoto ili tupanue uelewa.
Usilete hayo mambo mengine kutoka kwa hao bible thumper wenzio.. ! Nachotaka hapa ni wewe kurekebisha kauli yako uliyosema kwamba "binadamu tumetokana na sokwe" kwani ni totally wrong !Chagua
Cell, bakteria, samaki, homo habils etc ni suala la muda gani tu. Mimi mtazamo wangu ni uumbaji nitaeleza kwa nini sio evolution. Na kwa nini naamini evolution ni suala la kidini au imani na sio sayansi kama Dunia inavyoaminishwa
Huwezi ukafundisha biology bila ya kufundisha evolution maana (evolution) ni mojawapo wa msingi wa biology..! That's why UK waneliona hilo na wakaamua kuwa free school itakayokataa kufundisha evolution hawataipatia funds..! Mbona ni rahisi kueleweka hilo...?!Lakini watu wa evolution wa nalazimisha. Mfano UK serikali ilitangaza haitafund free school yoyote itakayokataa kufundisha evolution. Sasa inatoka kwenye science inaingia kwenye imani inazama na kwenye siasa Sasa. Toa mtazamo wako kidogo mkuu
Hizo habari za homo habilis kutoka arusha (oldvai gorge) mpaka bagamoyo then atengeneze ngalawa (or whatever) umezileta wewe so nadhani inafaa kutupatia evidences..!Asante kwa
changamoto.
Japo kipengele cha kwanza kinakubana wewe zaidi maana kama Mungu aliumba intelligent man kwa case study ya waliojenga mnara na kuchafuliwa lugha na wakasambaa vikundivikundi kwa akili hiyohiyo ya kujenga supertower inashindikana nini kutawanyika kwa mfumo huu.
Pili tupe ubora wa upande unaousimamia. Homo habil wa arusha alitembea kwa mkuu hadi bagamoyo Kisha akatengeneza boti ya kwenda Greenland ili aivolve na kuwa Eskimo.
Tupe na upande wako ili kuwapa wasomaji uzio mpana wa mjadala. Karibu mimi nitatoa mtazamo wangu kwa kina zaidi hapo baadae na kwa nini evolution sio dili
Biblia HAISEMI HIVYO.Ina myaka erfu sita na kidogo kulingana na biblia,
prof walter j veith amejibu hoja zote kuhusu Umri wa dunia pitia hapo ujiridhishe kwa hoja zenye mashiko
Walifanya hivo kwa kuwa kuna ma wadini walikuwa wanataka watoto wasiwe wana fundishwa.Lakini watu wa evolution wa nalazimisha. Mfano UK serikali ilitangaza haitafund free school yoyote itakayokataa kufundisha evolution. Sasa inatoka kwenye science inaingia kwenye imani inazama na kwenye siasa Sasa. Toa mtazamo wako kidogo mkuu
leta hoja sio propagandaSiwashauri mumuangalie huyu jamaa.
Soma tu maandiko mbali mbali.
Huyu ana bias zake za ki dini
Hoja zangu ni kuwa huyo jamaa ni mwana dini kama wanadini wengineleta hoja sio propaganda