Dunia ina Umri gani? Mabillioni, Mamillioni, Malaki au Maelfu?

Nina fahamu kuna vitu vilivyopo kwenye Solar system vyenye faida kwenye uhai wa Dunia......Ila mbona havijaelezwa kwenye vitabu vya Dini kama sehemu ya uumbaji?
 
Mabaki ya Adam na Hawa (fossils )yangefukuliwa na kufanyiwa vipimo vya carbon 14 hivyo tungejua umri wao halafu tungejumlisha na siku sita Mungu alizofanya kazi hapo tungejua umri wa dunia kirahisi kabisa.Sasa mabaki hayo ya Adam na Hawa yako wapi?
 
Adamu na Hawa hatuna haja ya kuwafukua kwasababu umri wao unajulikana kabisa!
 
Naona unasoma bibilia kama unahesabu namba katika ascending order. Mwanzo 2 ni detailed explanation ya mwanzo 1. Mfano ukiambiwa Jana ulikula. Alafu mtu akaendelea kwa kusoma Jana asubuhi ulikula breakfast mchana lunch na usiku dinner. moja anasema aliwaumba mwanamke na mwanaume mbili anaelezea aliwaumbaje. Ndio maana Kuna wengine wanachanganyikiwa zaidi na kusema Mungu aliumba wetu wanne. Pia ukumbuke Mungu aliumba Dunia Kisha pia alitengeneza bustani ya eden. Inategemea haya mambo unayaangalia kutokea upande gani. Ila sio lazima uelewe kila kitu leo.
 
Uko na arguments nzuri juu ya big bang. Labda kukusaidia zaidi jaribu kusoma loop quantum gravity theory (LQG). Ni theory mpya inayoungalisha quantum theory na general relativity theory.
Japo haijakamilika bado inaendelea kufanyiwa kazi ila inaproofs za swali hlo.
Utagundua kuwa jinsi mda unavyoenda nyuma (as t tends to negative infinite) bado unakuta the universe and all the things in it.
Ukiielewa vizuri tutakukaribisha tuendelee kuitest
 
Hiyo ni mikanganyiko! Kwa nini habari zote zisingeelezwa kwenye sura ya kwanza?....Mwaandishi alikuwa na haraka gani kuandika sura ya pili ili hali sura ya kwanza hajamaliza?

Je vitabu vyote vimeandikwa kwa kuruka ruka?
 
Mtu unapo zungumzia maswala ya kisayansi kwanza maswala ya dini inabidi uyaweke pembeni. Kwa sababu hayawezi yakakusaidia.

Na siku zote sayansi inanguvu kuliko dini na ndio maana hata ile biblia bila sayani ingisipo indikwa.
Kwahiyo sayansi sio yakucheza nayo
Sayanzi moto wa kuotea mbali.
 
Mabaki ya Adam na Hawa (fossils )yangefukuliwa na kufanyiwa vipimo vya carbon 14 hivyo tungejua umri wao halafu tungejumlisha na siku sita Mungu alizofanya kazi hapo tungejua umri wa dunia kirahisi kabisa.Sasa mabaki hayo ya Adam na Hawa yako wapi?
Mkuu umenena vyema! Mabaki ya Adam & Hawa ni muhimu sana.

Pia mabaki ya Safina ya Nuhu yanatakiwa yawepo.....Pia tunahitaji fossils zinazoeleza kwamba mafuriko ya Dunia nzima yamewahi kutokea na kuua wato wote Duniani kasoro nane tu(Familia ya Nuhu).....Mabaki yako wapi?....asante kwa kuuliza Mkuu.
 
Mabaki ya Adam na Hawa (fossils )yangefukuliwa na kufanyiwa vipimo vya carbon 14 hivyo tungejua umri wao halafu tungejumlisha na siku sita Mungu alizofanya kazi hapo tungejua umri wa dunia kirahisi kabisa.Sasa mabaki hayo ya Adam na Hawa yako wapi?
Sasa Mungu kaumba siku Sita 24hrs. Akapumzika siku ya Saba 24hrs. Kuonyesha kuwa hakutanii amerudia hiyo kauli Mara nyingi tu vitabu vingine. Pia Mungu ndiyo alivyomwambia na kumwelekeza Musa ambaye ndio muandishi wa mwanzo. Bibilia unasema mtoto wa Seth alimzaa akiwa na miaka 130. Pia unaambiwa alikufa na miaka 930, pia miaka ya wanaofuata wameelezewa ukitraceback utachezea miaka Kati ya 6000 na 7000.
Carbon 14 sio reliable mkuu. Imekuwa proven wrong kwenye scenario nyingi tu. Unaweza fuatilia jinsi inavyofanya kazi japo wakati mwingine inaweza kuonyesha uhalisia ktk reasonable range. Kwa ufupi kama hajui birthdate ya kitu hakuna kwenye science reliable ageometer yote ni kama ubashiri
 
Tunaomba mtazamo wako acha kurukaruko na utetee hizo billioni, ndio ulete hizi changamoto nyepesi kabisa. au uwa husomi content unarukia kuandika unavyofahamu kichwani.
Hivi hii dunia usipo muamini mwanasayansi utamuani nani kwa sababu mpaka saizi maisha yako na dunia kwa ujumla vinaendeshwa kisayansi.
 
Hii ni product ya kitu kinaitwa subliminal. Lazima ujifunze kuchambua chuya na Michele sio kila kitu kinachojiita sayansi ni sayansi.
Usirahisihe bibilia katika level hizo. Science is like a grain of sand in sea when compared to bible.
 
Hivi hii dunia usipo muamini mwanasayansi utamuani nani kwa sababu mpaka saizi maisha yako na dunia kwa ujumla vinaendeshwa kisayansi.
Sio kila kitu ni Sawa Kuna wanasayansi maelfu duniani wasioamini uzushi wa mamillioni ya miaka. Na kuchambua uumbaji wa Mungu. Hawa wamekuwepo karibu katika kila field ya sayansi. Sayansi na wanasayansi wanapingana hata wao kwa wao. Sayansi sio mbaya ila sio kila inachosema sayansi unakunywa Kuna wengine wanapenyeza agenda zao ili kutengeneza class ya watu waliokuwa wanapingana na Mungu Bila sababu ya msingi.
 
Hii ni product ya kitu kinaitwa subliminal. Lazima ujifunze kuchambua chuya na Michele sio kila kitu kinachojiita sayansi ni sayansi.
Usirahisihe bibilia katika level hizo. Science is like a grain of sand in sea when compared to bible.
Biblia ni kitu kidogo sana ktk sayansi na hauwezi kuvilinganisha. biblia sawa na vitabu vya akina sungura na fisi.
Kwa karne kama hii ukisema maisha yako uyafanye yawe kama ya kwenye biblia unakuwa sawa na mtu anaye tembea huku amesinzia.
 
Ila ww mzee unakosea unapo ipingia sayansi kwa kutumia biblia biblia ni kitu kidogo sana ktk sayansi
Ukiifuatilia biblia upande flani unakuwa ni sawa na mtoto anaye chezea matope.
 
Ukweli ni kwamba Mungu ndiye aliyeumba vitu vyote tuvionavyo na visivyoonekana. Hilo la umli wa miaka 6000 ni nadharia tu isiyo na ukweli. Biblia kitabu cha mwanza kuanzia sura ya kwanza hadi ya ya kumi ni masimulizi tu yasiyo na umli wa uhakika. Kama biblia inavyosema "miaka elfu kwake ni kama kesha la usiku mmoja na jana iliyopita" hicho ndicho kikomo cha akili za mwanadamu. Miaka 6000 inaanza kuanzia kitabu cha mwanzo 11, hapo ndipo tunapata usahihi wa miaka na matukio yaliyonyooka. Sura ya kwanza hadi ya kumi ni masimlizi ambayo umli wake haujulikani.
 
Ila ww mzee unakosea unapo ipingia sayansi kwa kutumia biblia biblia ni kitu kidogo sana ktk sayansi
Ukiifuatilia biblia upande flani unakuwa ni sawa na mtoto anaye chezea matope.
Siwezi kupinga sayansi 100% maana Kuna scientists maelfu wanaamini creation na wanaamini bibilia ni Chanzo kizuri cha kukupa insights nyingi as basis of scientific findings japo sisi mambo hayo tumeyaamini Bila experiments. Kuhusu suala la Dunia Lina umri gani bibilia inatoa jibu zuri zaidi kuliko hizo zinazoitwa evolution ambazo kimsingi wanasayansi wengi bado hawaoni concepts za evolution kama ni sayansi.
 
kuna vitu vingine hupaswi hata kuviwaza utachizika bure.
 
Hiyo ni mikanganyiko! Kwa nini habari zote zisingeelezwa kwenye sura ya kwanza?....Mwaandishi alikuwa na haraka gani kuandika sura ya pili ili hali sura ya kwanza hajamaliza?

Je vitabu vyote vimeandikwa kwa kuruka ruka?
Suala la uumbaji kwa jinsi lilivyoelezwa hapo mwanzo kucement uhalisia wake limeendelea kufafanuliwa kwa njia nyingi karibu vitabu vyote vya bibilia. Kusoma bibilia kwa kutafuta contradiction au kugoogle contradictions kweny Bible kutakufanya kuendelea kujipotosha ili uufurahishe moyo. Bible explains itself. Kuna mafumbo, Kuna mambo yaliyofafanuliwa pengine hata kwenye kitabu kingine nje ya kile husika. Mfano Daniel na ufunuo wanazungumzia vitu vinavyoendana lkn ni waandishi tofauti wanaopishana miaka zaidi ya 600.unaifanya bibilia ionekane ngumu na contradictive based on the angle you are now. Bible needs high degree of meekness and lowlyness. Ila sio lazima wote tuelewe
 
Mnachekesha sana nyinyi wafuasi wa dini... hivi mnaposema mmeongea na Mungu wengine mmeongea na Yesu... hivi why kwenye wakati mnaongea nao hamuwaulizi haya maswali??? Alafu kitu kingine... mnadai kwamba makanisa au misikiti ni nyumba za bwana. Swali kwanini nyumba hizo milango yake inalokiwa au ni kwanin kunakuwa na walinzi wanaolinda. Kwanin zinawekwa magrili kwenye madirisha??? I think u get my point.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…