Dunia ina Umri gani? Mabillioni, Mamillioni, Malaki au Maelfu?

Dunia ina Umri gani? Mabillioni, Mamillioni, Malaki au Maelfu?

Kwa nini Mungu awafumbie watu wake? anaficha nini?

Kwa nini Mungu asingetuumba na uelewa juu yake ili tuache kutumia vitabu?.....Mbona yapo mengi kama ngono tunayoyaelewa naturally bila kutumia vitabu?
Yaani clear contradiction unaita fumbo?
Kuna sababu nyingi. Mojawapo ni ubishi wa binadamu, mtu mbishi hata ukimwambia direct atabisha tu.
Lakini pia mambo mengine yanahitaji muda kuyaelewa.
 
Kuna sababu nyingi. Mojawapo ni ubishi wa binadamu, mtu mbishi hata ukimwambia direct atabisha tu.
Lakini pia mambo mengine yanahitaji muda kuyaelewa.
Vitabu vya dini ni mawazo ya watu wakale ambao hawakuwa na elimu, over!
 
Vitabu vya dini ni mawazo ya watu wakale ambao hawakuwa na elimu, over!
Can you prove that, or una assume kwa kua kimeandikwa zamani?

Zamani hawakuwa na elimu??? Au ni elimu ya kale? Mtu asiye elimu anawezaje Ku andika ama kutunga hizo hadithi?

Kama hawakuwa na elimu zile pyramids, Colosseum na ancient megastructures zilijengwaje?

Think big.
 
Je ni watu wote walikuwa na Elimu?

Bibili haina contradictions?
 
Kwa nini Mungu anategemea vitabu kujifunua kwetu? Kwa nini Mungu asingetuumba tukiwa na uelewa juu yake ili tusivitumie hivi vitabu vyenye contradictions?......Mbona hatutumii vitabu kujifunza mambo ya asili kama kujamiiana?....ina maana Mungu ni dhana pandikizi si ndiyo?
Maswali haya hayahusiani na kinachojadiliwa hapa, Hadi sasa hujasema chochote kuhusu uwanja mpana uliowekewa juu ya unachoamini nje ya Mungu, au nje ya hayo maswali ya kjeli you are as white as empty brain
 
Je ni watu wote walikuwa na Elimu?

Bibili haina contradictions?
Nenda kwenye Hoja kila thread maswali hayohayo hata huzingatii scope of Discusion. Hayo maswali yapo mengi tu mitandaoni tena hata hayo yako ni mepesi, Yapo magumu zaid ya hayo lakini hapa sio mahala pake. Ni ujinga kujenga elimu ya maswali juu ya kitu usichokiamini huku unachoamini au kuelewa hujui chochote.
 
Contradictions lie in your understanding
As long as I never accept self-contradictory infos, You are right!

Bible lies from the begin to the end of it, so it's worthless to put it into consideration.
 
Nenda kwenye Hoja kila thread maswali hayohayo hata huzingatii scope of Discusion. Hayo maswali yapo mengi tu mitandaoni tena hata hayo yako ni mepesi, Yapo magumu zaid ya hayo lakini hapa sio mahala pake. Ni ujinga kujenga elimu ya maswali juu ya kitu usichokiamini huku unachoamini au kuelewa hujui chochote.
😀😀😀😀Wewe ni mtu wa ajabu sana! hivi sikukwambia kwamba ni vigumu kujadili theories zote za origin of life kwenye uzi mmoja?

Kwa nini usingeleta theory moja moja kisha tuzijadili?
Hivi umewahi kushiriki midahalo kweli?.....umewahi kuona mdahalo unajadili topic zaidi ya moja kama huu uzi wako?

Kimsingi hujui kuongoza mdahalo, ndio maana nyuzi zako inabidi uzikokote mwenyewe partially....Kama huu uzi ungekuwa well structured, kwa sasa ungekuwa page ya 40+.Lakini watu wanachanganyikiwa hawajui wajadili nini?

Ulitakiwa ulete theory moja moja na maelezo yake ndipo tuzijadili kwa kina na siyo vurugu kama hizi zenye lengo la kuficha theory mbovu zisizokuwa na ushahidi.
 
Acha uoga,
Mada iko wazi, kwa Dunia ina miaka 6000 au Mamillioni, kisha unaeleza kwa nini unasema MILLIONI, wewe mwenya akili nyingi ukaibuka na maswali karibu10 yanayohoji vitu vingi visivyohusiana na ulichoulizwa, na hadi sasa hujatoa mtazamo wako. Thread hii haijakupa mwanya wewe na jamaa zako wa kuuliza uliza hamjapata mwanya wa kurefusha na kujaza Servers za JF maana inakuhitaji ujieleze sio kuuliza upande usiouamini.

ninakushauri uwe unaendelea kwanye mijadala ile ya kurukaruka bila kufikiri. maana hayo maswali yako yote ninaweza kukulete hata ulipoyatoa hata Youtube video kibao radio programs wanazouliza.Lazima Thread ifike 40Pages kwa sababu unafanya kazi rahisi.

Kuhusu kujadili vitu vingi, Humu vinaibuka vitu vingi na watu kama 3Dman wako huru kuvijadili tunaendelea. Ninajua kwenye discussion za evolution na kaka yako krng huwa mnarukaruka unakimbilia kuleta maswali ya ligi ili kuficha aibu.

endelea hukohuko kwenye 40+ pages za maswali ya kujirudiarudia. Hapa Choose side defend otherwise twende kwenye siasa au burudani tu.
 
Ni vigumu kujadili hoja Kama yako kwa wakati mmoja..... Wewe Anglia uliowaita na waliokuja ni wangapi.
 
Ukienda kwenye fossils kama ushahidi wa miaka mamillioni ya macro evolution na natural selection pmj na orgin of species huko pia ninachakusema kidogo. Nakupongeza kwa maoni yako kuhusu Darwin ambaye babu yake aliyemlea alikuwa freemasonry high level which opens doughts hata kwa elimu yake iliyokinyume na elimu ya Uumbaji wa Mungu.
Fossils.
Hadi sasa dunia ya watafiti wa paleontology wanachanganyikiwa. Maana kila kukicha wanafukua vitu vinavyopingana na ukweli wao dunia Ina mamillioni ya miaka. Modern darwinism inajifichia hapo hapo. Labda mtaalam wa archeology Apollo aje atoe pia inputs zake.
Kuna mamia ya vitu duniani ambayo yakipimwa kwa radiocarbon au radiometric yanakutwa na mamillioni ya miaka ukipasua unakutana na kitu ambacho ni cha miaka ya maelfu.
Unajua wanasemaje wanapoona hivyo?
1:yawezekana alliens walikuja duniani miaka hiyo ya mamillioni /mabillioni wakisahau
2:Wengine wanachanganyikiwa na kusema haiwezekani wanabishana na ageometer zao.
3:wengine wanarahisisha na kusema this spacemen is contaminated. Mfano mtu anakutana na fossil ya samaki aliyekuwa katikati ya kujifungua au konokono ni Imani na sio sayansi itakayokusukuma kukubaliana na konokono huyo kuwa na mamillioni ya miaka.

Mfano nimekuwekea attachment ya nyundo ya chuma ilivyokuwa katikati ya jiwe lenye miaka Million 100.jamaa wakasingizia itakuwa ikiwekwa na aliens yote haya ni kumprotect darwin na vitu hivi maelfu vinafichwa kupoteza ushahidi lengo ni Kupinga Creation pia.

Yako mengi tu,
Plug ya switch hizi za karne ya 19 au 20 zimekutwa kwenye jiwe la miaka 100,000
Genetic disk ilikutwa kolombia yenye taarifa nyingi za miaka ya karibuni lkn vipimo vinasema inamiaka 6000
Chombo kizuri cha shaba chenye urembo maua na kila aina ya nakshi za kisasa kilikuwa Marekani wakati jamaa wanachimba msingi wa nyumba July 1851. Kilipopimwa na hata kikipimwa kwa vipimio hivyo vinavyokusupport kilikutwa na miaka Million nyingi tu.

Yaani ni vitu vingi sana na vinapatikana daily karibu kila nchi duniani vyenye kuwepo miaka michache BC au AC Lakini vipimo vinaonyesha ni Millions of years. Na vingine wanavisafirisha kweny vyuo makumi Asia America ulaya kupima kwa kurudiarudia kila chuo Lakini vinapingana na hizo mamillioni wanaamua either kuvificha au kama nilivyosema hapo juu.
Yote hii ni kutetea uhai wa darwinism, bingbang chemical evolutions orgin of species. Ndio maana nasema inahitaji imani sio sayansi kuamini macroevolution and related stuffs. Kuhusu hiki
ninachokisema vimepewa jina Out of Place artifacts.

Ukiangalia kwa jicho la Tatu ni kama Dunia inalazimishwa kuamini evolution zaidi na kwa nguvu.kwa madhaifu haya makubwa na mengi mengi sana mwaka 1981 US walipendekeza "balance of creation science and evolution science act" . Ukijua nini na Nani wako nyuma ya evolution na imetapakazwa
karibu kila field of study including entertainment, baadhi ya dini, sports etc utajua kwa nini creations
scientists profs na Drs wanapitia upinzani Mkali sana. Mfano mmoja Physist alikuja na model yake alitumia physics kujustfy creation ilipigwa zengwe na kufanyiwa academic sensorship. Founder wa mri scanner nimeshasema hili apangwa kupewa Nobel prize hadi hatua ya mwisho kwa kutkutambua hizo myth za millions of years na msimamo wake wa kupinga evolution alipigwa zengwe akanyimwa. Akatenga pesa kadhaa na kuandika makala juu ya uozo aliotendewa kwenye magazeti maarufu lakn hakuna aliyemjali. Huyo wa physics alifungua hadi kesi mahakamani na kuna mifano mengi tu. Sasa wafuatiliaji wanajiuliza kama ni sayansi kwa nini watumie fitna, zengwe, indoctrination hasa kwa watoto wasiojitambua kulazimisha hii kitu.

Mkuu nashukuru kwa inputs ila tujifunze na dark side ya hizi mambo.

Naanza kwa kumtetea Darwin, nimesoma historia zake rasmi nyingi na hakuna sehem ambayo inamtaja kama free mason, wala hakuna andiko lake hata moja ambalo ametaja kuwa yeye ni mason, wala hakuna mtu ambaye amewahi kusema kwa ushahidi kuwa aliwahi mwona kwenye mikusanyiko ya ki mason. Kwa hiyo hizo ni allegations zako tuu.

Kuhusu nyundo
Hiyo nyundo huwa ina sadikika kuwa ili Okotwa miaka ya 1934-36, lakini ilikaa tuu na kuja kujulikana miaka ya 1947-50. Na huwa inatumiwa na ma creationist wachche ili kupinga evolution. Lakini hakuna ukweli hapo kwani

1. Lazima tupate document au ushahidi kuwa ni kweli walio iokota hiyo rock na nyundo walivikuta vikiwa pamoja.

2. Lazima tupate ushahidi au documents kuwa hivyo vitu vilikuwa naturaly embeded

3. Lazima hiyo nyundo ikapimwe na wana sanyansi wasiofungamana na upande wowote, au at least ipelekwe UNESCO ikapimwe.

Amini usimini ndugu yako ana eitwa Bough naye ni creatinist ndiyo ana ishikilia Nyundo hiyo na hajawahi hata sku moja kuiachia na kukubali ipimwe rasmi na wanasayansi wengine, alichofanya ni kutafuta watu wake anao wajua na wakapima na kutoa majumuisho yao wenyewe. Na hata hivo alikataa sana isipimwe na hata kulipwa mamilioni aligoma kabisa wansayansi wengne wasi ipime.

Kwa hiyo tunadismis vitu anavyo viongea kuwa ni madai yasiyo na ushahidi, pia vipo vitu vingine vingi ambavyo bwana Bough mwenyewe hujichanganya sina haja ya kuvisema, ukutaka ntakupa title za vitabu mbali mbali ukasome mwenyewe.

Dunia hailazimishwi kuamini Evolution ndio maana wwe huamini.

Sheria za kubalance ufundishaji ziliwekwa kwani watu wa dini walikuwa wanagoma kufundisha au kufundishwa kuhusu evolution kwa hiyo na mimi naunga mkono evolution lazima isomwe kwa kuwa ni scientific theory.

Watoto wanapewa elimu, tena dini ndio zina haribu watoto, utamkarirshaje biblia au quran mtoto mdogo!!?, utamwitaje mtoro mdogo kuwa mkristo/muislam wakati hajawahi kuchagua hiyo dini, MSEZA MKULU leo unapiga kelele ki biblia kwa kuwa ulizaliwa huko ukristoni na ukawa unatishwa tishwa kuhusu kuungua ndio unajikuta mtu wa Munguu, wakati ungezaliwa Pemba, ulikuwa una asilimia 99% za kuwa muislam ambaye leo ungenibishia na quran
Evolution haimfungi mtu wala kumtishia mtoto ndio maana naipenda.

Naomba mawazo yako juu ya hayo pia
 
Mkuu Darwin amezaliwa katika masonic family. Na ujanja wote kaupata kutoka kwa babu yake Erasmus Darwin. Huyu mzee alikuwa superintelligent. Alikuwa ni philosopher, poet, scientist na physician. Huyu ni moja ya watu waliokuwa Most informed karne ya 18. Huyu ananafasi kubwa sana katika Evolution na kile alichokiandika darwin alipokuwa kisiwani galapagos. Kabla ya kuhamia mji wa Derby 1788 alijiunga na freemasonry katika Lodge ya Cannonage kilwinning. Watoto wa huyu mzee yaani baba zake darwin 1804,1807,1808 walijiunga katika Lodge iitwayo Tryian. Huwezi kumtenga darwin na hii kitu.
Hebu fanya hiyo homework maana hili tumewahi kulijadili humu pia.

Nyundo nimekupa mfano tu Lakini Kuna maelfu ya ooparts ambazo zimejaribiwa na vyuo vingi na lab zinazoaminika. Fanya utafiti. Muda haitoshi ningekuwekea source za kutosha kutoka kwenye most respected and top University Labs na comments za HODS.

Hahahahaa naona umeleta Quote ya mzee wa upako kuhusu Dini na Location. Huo ni mtazamo wako mkuu sio lazima uwe sahihi. Paul alikuwa farisayo sugu Tena akida wa kikosi kinachosaka na kuua wafuasi wa yesu. Lakini alibadilika katikati ya mazingira yasiyowezekana.

Karibu sana.
 
Ni vigumu kujadili hoja Kama yako kwa wakati mmoja..... Wewe Anglia uliowaita na waliokuja ni wangapi.
nadhani hoja ndio ngumu, ndio maana mchango wako wa kwanza tu ulikuwa out ofscope. nenda tu huko mnakojadili mipangilio sio lazima nexttime unanyamaza kama wenzako.
usijali lkn tuko pmj, uwe na amani mkuu
 
Hoja siyo ngumu kama unavyofikiri,....Hoja yako inataka kujua dunia ina umri gani.Lakini kabla ya kujua ina umri gani, lazima tujue chanzo chake ni nini?

Sasa kuna nadharia nyingi mno zinazoelezea chanzo cha Dunia, wewe unataka tujadili na kuchambua nadharia zote kwenye uzi mmoja kitu kisichowezekana.Inaonekana kabisa huna Organizational skills.

Unataka kujifariji kuwa hii ndo mada tata zaidi kuwahi kuletwa JF hivyo kukimbiwa na watu? mimi nasema hapana! acha kujidanganya.Jifunze ku organize mjadala ili uwe na mvuto kwa wajumbe, tofauti na hapo jiandae kukokota uzi peke yako.

Kitu kingine, mchango wangu ulikuwa on target ndio maana watu wengine waliuelewa......Hata hivyo nimekuelewa vizuri mno.
 
Karibu naona unalalamika sana. Hadi sasa hakuna hata mmoja aliyotoa moja Kati ya hizo theory nyingi including wewe. Maana hapa imebidi tuishie kujadili macro evolution ambayo haizungumzii orgin of earth badala ya cosmic evolution ambayo ndio inatupa hiyo 4.3bilion.
Leta hata Tatu basi mbona unashindwa kuwa specific. Katika ulimwengu wote wa scientists huo ndio niitegemea tuelewe Vs creation wewe unatuletea maswali yasiyo na uhusiano kabisa.
Mara nimeshakujua Mara huna Organizational skills. Mkuu vipi unaniangusha mimi huku sitafuti likes wala umaarufu I just share what I think is right regardless of anybody else wala kikundi chochote cha imani
 
Karibu naona unalalamika sana. Hadi sasa hakuna hata mmoja aliyotoa moja Kati ya hizo theory nyingi including wewe. Eleven hiyo moja. Maana hapa imebidi tuishie kujadili macro evolution badala ya cosmic evolution ambayo ndio inatupa hiyo 4.3bilion.
Naona umeamua kuendeleza mjadala kwa malumbano nje ya mada......jitahidi sana kuorganize mada.
 
Kuna mambo magumu dunia ya sasa yatupasa kujikita nayo;mfano dawa ya ukimwi
 
Mkuu,

Hivi wakati huu tulionao "watu wote" wana elimu?

Kaka ...
Hapana! siyo watu wote wenye elimu, lakini idadi ya wenye elimu wakati huu ni kubwa kuliko wakati wowote ule wa maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom