Dunia ina Umri gani?

Dunia ina Umri gani?

Madudu hayo kipindi yapo mamalia waliokuwepo duniani walikua size ya panya au paka hata tembo au nyangumi hakuwepo duniani.

Actually mammals wamekuja shikilia dunia miaka mil 65 iliyopita


Je unajua majani ya savanna yalianza kuota lini?

Au maua yalianza kutokea lini?
Mimi najua wanyama wote na mimea yote wameumbwa ndani ya siku 6.
Na hii ilitukia miaka 6000 tu iliyopita.
Mungu ndo kasema hivo
 
Wanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua ni watu wenye maumbile makubwa sana kimwili, wenye nguvu sana, wenye akili sana, majasiri, wenye uthubutu, na sifa nyinginezo kedekede.
Swali langu la msingi ni kwamba, kwa huu umri wa Dunia unaosimuliwa na aina ya watu waliokwepo zamani, kwanini Civilization na technological advancement zimechelewa sana? Kwanini maisha ya zamani yalikua magumu sana, (only strongest survived) Kwanini maisha yamekua some how simplified kuanzia karne ya angalau ya 15 hapo?
Does it mean hao watu wa zamani walikua vilaza sana tofauti na historia zinavowapamba? Kama sio, kwanini hawakuwa na hiyo akili na uvumbuzi wa teknolijia ambayo ingepunguza ugumu wa maisha tokea miaka hiyo??

Kwa wale Watu wazima waliozaliwa miaka kati ya 1930 hadi 1970 ambao wako hai hadi leo, wanasema wameishi katika ulimwengu wa zaid ya aina 3 hapahapa duniani. Kwanini wanasema hivyo? Angalia gap la mabadiriko ya dunia kuanzia 2010 hadi sasa, Rudi nyuma Kidogo angalia mabadiriko ya dunia ya 2000 hadi 2010, kisha endelea kurudi nyuma kwa kuangalia dunia ya miaka chini ya 2000. Nadhani hapo utakua umepata picha kidogo ya swali langu. Dunia ya 2000 ni tofauti kabisa na dunia ya 2023.

Hiyo dunia ya zamani na watu wake wenye uwezo mkubwa walishindwa hata kutengeneza simu ili wawasiliane? Computer zimekuja mwishoni mwa karne ya 20 (miaka ya 1940-1950) kama sikosei, Simu pia zilianza miaka ya 1980s, magari na vyombo vingi vya moto vilianza kuanzia angalau karne ya 15 hapo. Unaambiwa watu walikua wanasafiri hata miezi kadhaa wako tu njiani. Sasa hizo akili na uwezo wao mkubwa ulikua wap?

Mwisho, mi naamini hii dunia ni ya Juzijuzi tu hapo. Naombeni mje na hoja za kusema hii dunia ina hiyo miaka mamilioni.
Bro hu Uzi wako Kuna vitu kidogo umechanganya

Umri wa Dunia na umri wa binadamu hivi ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Ona huyu nae kwahiyo ukikuta gonjwa flani huruhusiwi kufanya utafiti ili kuligundua chanzo,athari na tiba yake,kwahiyo newton alivyofaya utafiti akagundua gravity ni kwamba gravity haikuwepo .Afrika bara tumerogwa na nani
unajua wewe ni mpumbavu alafu haujijui.kwa akili yako fupi ni nani unayemjua anayeza kukupa umri sahihi wa dunia?
 
Mambo ya msingi kama haya yanayopaswa kujadiliwa kisayansi alafu mtu analeta hadithi za mungu sijui aliumba nini huwa napata hasira sana.
 
unajua wewe ni mpumbavu alafu haujijui.kwa akili yako fupi ni nani unayemjua anayeza kukupa umri sahihi wa dunia?
We fala nini lile fuvu la kule uldovai gorge lilitamka umri wake? Ile miamba ya amboni cave tanga ina umri wa miaka milioni 30 unadhani watu wamejuaje.ID yako inaakisi ubongo wako
 
We fala nini lile fuvu la kule uldovai gorge lilitamka umri wake? Ile miamba ya amboni cave tanga ina umri wa miaka milioni 30 unadhani watu wamejuaje.ID yako inaakisi ubongo wako
naona umejaza matope kichwani.aliyekitengeneza kitu ndo anayejua kakitengeneza.hao ng'ombe wenzio wanachofanya ni kukisia tu.
 
Back
Top Bottom