fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Huu upuuzi ndio mana wazungu wanazidi kutuona matahira ,wenzetu wanapambana kufanya tafiti ,sisi tumelala ndani tunamuachia Mungu pekee shenzihesabu ya dunia anaijua aliyeiumba peke ake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu upuuzi ndio mana wazungu wanazidi kutuona matahira ,wenzetu wanapambana kufanya tafiti ,sisi tumelala ndani tunamuachia Mungu pekee shenzihesabu ya dunia anaijua aliyeiumba peke ake
Ndivo tulivoambiwa Sunday schoolKwamba viumbe wa Dunia nzima wakaingia kwenye Safina!?
Mimi najua wanyama wote na mimea yote wameumbwa ndani ya siku 6.Madudu hayo kipindi yapo mamalia waliokuwepo duniani walikua size ya panya au paka hata tembo au nyangumi hakuwepo duniani.
Actually mammals wamekuja shikilia dunia miaka mil 65 iliyopita
Je unajua majani ya savanna yalianza kuota lini?
Au maua yalianza kutokea lini?
Why there is something rather than nothing?
Basi utakuwa umechanganyikiwaMimi najua wanyama wote na mimea yote wameumbwa ndani ya siku 6.
Na hii ilitukia miaka 6000 tu iliyopita.
Mungu ndo kasema hivo
unafanya utafiti kitu ulichokikuta?Huu upuuzi ndio mana wazungu wanazidi kutuona matahira ,wenzetu wanapambana kufanya tafiti ,sisi tumelala ndani tunamuachia Mungu pekee shenzi
Bro hu Uzi wako Kuna vitu kidogo umechanganyaWanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua ni watu wenye maumbile makubwa sana kimwili, wenye nguvu sana, wenye akili sana, majasiri, wenye uthubutu, na sifa nyinginezo kedekede.
Swali langu la msingi ni kwamba, kwa huu umri wa Dunia unaosimuliwa na aina ya watu waliokwepo zamani, kwanini Civilization na technological advancement zimechelewa sana? Kwanini maisha ya zamani yalikua magumu sana, (only strongest survived) Kwanini maisha yamekua some how simplified kuanzia karne ya angalau ya 15 hapo?
Does it mean hao watu wa zamani walikua vilaza sana tofauti na historia zinavowapamba? Kama sio, kwanini hawakuwa na hiyo akili na uvumbuzi wa teknolijia ambayo ingepunguza ugumu wa maisha tokea miaka hiyo??
Kwa wale Watu wazima waliozaliwa miaka kati ya 1930 hadi 1970 ambao wako hai hadi leo, wanasema wameishi katika ulimwengu wa zaid ya aina 3 hapahapa duniani. Kwanini wanasema hivyo? Angalia gap la mabadiriko ya dunia kuanzia 2010 hadi sasa, Rudi nyuma Kidogo angalia mabadiriko ya dunia ya 2000 hadi 2010, kisha endelea kurudi nyuma kwa kuangalia dunia ya miaka chini ya 2000. Nadhani hapo utakua umepata picha kidogo ya swali langu. Dunia ya 2000 ni tofauti kabisa na dunia ya 2023.
Hiyo dunia ya zamani na watu wake wenye uwezo mkubwa walishindwa hata kutengeneza simu ili wawasiliane? Computer zimekuja mwishoni mwa karne ya 20 (miaka ya 1940-1950) kama sikosei, Simu pia zilianza miaka ya 1980s, magari na vyombo vingi vya moto vilianza kuanzia angalau karne ya 15 hapo. Unaambiwa watu walikua wanasafiri hata miezi kadhaa wako tu njiani. Sasa hizo akili na uwezo wao mkubwa ulikua wap?
Mwisho, mi naamini hii dunia ni ya Juzijuzi tu hapo. Naombeni mje na hoja za kusema hii dunia ina hiyo miaka mamilioni.
Ona huyu nae kwahiyo ukikuta gonjwa flani huruhusiwi kufanya utafiti ili kuligundua chanzo,athari na tiba yake,kwahiyo newton alivyofaya utafiti akagundua gravity ni kwamba gravity haikuwepo .Afrika bara tumerogwa na naniunafanya utafiti kitu ulichokikuta?
Punguza uswahili kwenye mambo ya msingiDunia duara ukifikiri utahara.
kabla ya kuichunguza dunia fanya utafiti umetoka wap
unajua wewe ni mpumbavu alafu haujijui.kwa akili yako fupi ni nani unayemjua anayeza kukupa umri sahihi wa dunia?Ona huyu nae kwahiyo ukikuta gonjwa flani huruhusiwi kufanya utafiti ili kuligundua chanzo,athari na tiba yake,kwahiyo newton alivyofaya utafiti akagundua gravity ni kwamba gravity haikuwepo .Afrika bara tumerogwa na nani
Nimezaliwa.. Nimetoka tumboni kwa mama yangukabla ya kuichunguza dunia fanya utafiti umetoka wap
Mama yako alikuwekaje kwenye tumbo lake
Chuo madrassa hapa hufui dafuDunia duara ukifikiri utahara.
We fala nini lile fuvu la kule uldovai gorge lilitamka umri wake? Ile miamba ya amboni cave tanga ina umri wa miaka milioni 30 unadhani watu wamejuaje.ID yako inaakisi ubongo wakounajua wewe ni mpumbavu alafu haujijui.kwa akili yako fupi ni nani unayemjua anayeza kukupa umri sahihi wa dunia?
naona umejaza matope kichwani.aliyekitengeneza kitu ndo anayejua kakitengeneza.hao ng'ombe wenzio wanachofanya ni kukisia tu.We fala nini lile fuvu la kule uldovai gorge lilitamka umri wake? Ile miamba ya amboni cave tanga ina umri wa miaka milioni 30 unadhani watu wamejuaje.ID yako inaakisi ubongo wako