Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Kwani boss sababu ya uwepo wa maisha ni nini? Masai asiye na simu aliye mbugani na wewe unayejua kutumia simu au kuiunda mmezidiana nini linapukuja suala la sababu ya kuwepo kwa maisha ya binadamu hapa duniani?
Hakuna mbingu mzee, maisha yanaanzia na kuishia hapa hapa duniani
 
Si ndio ukosefu wa akili ninaousema mzee, sijui tunashindwa kuelewana wapi...Wewe unafikiri kwa nini hata timu kubwa za mpira hapa Afrika makocha na wataalam wengine wanawatoa nje?

Unprofessionalism, uvivu, wizi na mengineyo
 
Hakuna mbingu mzee, maisha yanaanzia na kuishia hapa hapa duniani
Sijakuuliza kuhusu mbingu boss. Nimekuuliza sababu ya uwepo wa maisha ya binadamu ni ipi. Objective. Ili tuhitimishe kuwa ukitumia maisha kuishi kwenye nyasi na kufuga mbuzi unayapoteza tofauti na yule anayeyatumia kutengeneza simu ambazo tunatumia hapa JF.
 
wewe mwenyewe ulizaliwa na wazazi wasio na akili.
 
Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuzi
Hapana, ni pesa yangu niliyoipata kwa jasho langu ndio vimenipa nilivyonavyo.

Kuhusu kushindwa kuzaliana kwao hiyo ni shida yao, wapambane kuacha ushoga, labda wataongezeka kidogo kama Wapopo
 
Hapana, ni pesa yangu niliyoipata kwa jasho langu ndio vimenipa nilivyonavyo.

Kuhusu kushindwa kuzaliana kwao hiyo ni shida yao, wapambane kuacha ushoga, labda wataongezeka kidogo kama Wapopo
Concept ya pesa yenyewe ni mzungu ndio kaanzisha, hata "pesa ya Tanzania" ame print mzungu, na thamani yake inatokana na mifumo aliyoweka mzungu, achilia yote hayo hata Tanzania kama nchi imekuwa created na mzungu
 
Tatizo kila mmoja kwenye likichwa lake anawaza kwamba kwa sababu kazaliwa basi lazima azae au azalishe na mbaya zaidi unakuta limtu linazaa hovyo alafu hali yake ya maisha yenyewe inamshinda.... Hapa inaonesha ngono ndo zipo kwenye vichwa
 
Si ndio ukosefu wa akili ninaousema mzee, sijui tunashindwa kuelewana wapi...Wewe unafikiri kwa nini hata timu kubwa za mpira hapa Afrika makocha na wataalam wengine wanawatoa nje?

Unprofessionalism, uvivu, wizi na mengineyo
I beg your Pardon, nisamehe sana ila nimekuelewa sasa
Sorry
Hayo ndio matatizo tuliyo nayo na watu hawataki kubadilika
 
Kama Unategemea Mnazi Mmoja Na Huli Ukashiba Hata Uzazi Wenyewe Utagoma Tu
Lakini Kama Unachapa Kazi Unakula Unashiba Zaeni Sana
Unajua Hata China Iliendelea Sana Na India Kwa Kuzaliana Sana

Waziri Wa Afya Najua Upo Hapa Sitaki Kusikia Kupanga Uzazi
Acha Wananchi Wazaliane Nikiondoka Madarakani Ndiyo Rais Ajaye Mpange Uzazi

By Jiwe, Chuma, Mzilankende, John Joseph Pombe Magufuli
Man From Rubambangwa Village
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…