raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Haya mavitabu ndio yanazidi tu kuonesha white supremacySoma vizuri uelewe. Sijasema usubiri fursa. Walter Rodney, How Europe made Africa poor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mavitabu ndio yanazidi tu kuonesha white supremacySoma vizuri uelewe. Sijasema usubiri fursa. Walter Rodney, How Europe made Africa poor
Endelea kuteseka na laana za Wazazi wako, huwezileta mada JF ukiwa na majibu yako utegemee kila Mtu akubaliane na UPUMBAVU wako [emoji16]Kenge kweli, kuita watu weusi na waarabu nchini kwako ku replace wananchi wazawa ni sawa? Wewe kweli mbumbumbu
Hakuna mbingu mzee, maisha yanaanzia na kuishia hapa hapa dunianiKwani boss sababu ya uwepo wa maisha ni nini? Masai asiye na simu aliye mbugani na wewe unayejua kutumia simu au kuiunda mmezidiana nini linapukuja suala la sababu ya kuwepo kwa maisha ya binadamu hapa duniani?
Si ndio ukosefu wa akili ninaousema mzee, sijui tunashindwa kuelewana wapi...Wewe unafikiri kwa nini hata timu kubwa za mpira hapa Afrika makocha na wataalam wengine wanawatoa nje?Baada ya kampuni zake kukua lakini alianza mwenyewe na sasa ni Boss wao
Wewe ukiwa na makampuni utaajiri mswahili hazina na management zote kubwa?
Hata uwape mawaziri utapigwa sana
Ndio maana hata kina Bakhresa wameajiri wazungu na wahindi na Wakenya
Wachache wabongo
Ukweli na sababu ni wizi
Sijakuuliza kuhusu mbingu boss. Nimekuuliza sababu ya uwepo wa maisha ya binadamu ni ipi. Objective. Ili tuhitimishe kuwa ukitumia maisha kuishi kwenye nyasi na kufuga mbuzi unayapoteza tofauti na yule anayeyatumia kutengeneza simu ambazo tunatumia hapa JF.Hakuna mbingu mzee, maisha yanaanzia na kuishia hapa hapa duniani
wewe mwenyewe ulizaliwa na wazazi wasio na akili.Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile
Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?
View attachment 2845588
View attachment 2844266
Wewe kwa nini hauishi mbugani!!? Unatumia simu na intaneti ya watu weupe!Sijakuuliza kuhusu mbingu boss.
Kama ilivyo wewewewe mwenyewe ulizaliwa na wazazi wasio na akili.
Mfumo nimeukuta upo tayari nikaadupt. Sasa ndo uniambie mm ninayetumia simu maisha yangu yametimiza malengo ya uwepo kuliko anayeishi mbugani?Wewe kwa nini hauishi mbugani!!? Unatumia simu na intaneti ya watu weupe!
Umepima kwa Criteria ipi?Ni shithole country
Hapana, ni pesa yangu niliyoipata kwa jasho langu ndio vimenipa nilivyonavyo.Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuzi
Concept ya pesa yenyewe ni mzungu ndio kaanzisha, hata "pesa ya Tanzania" ame print mzungu, na thamani yake inatokana na mifumo aliyoweka mzungu, achilia yote hayo hata Tanzania kama nchi imekuwa created na mzunguHapana, ni pesa yangu niliyoipata kwa jasho langu ndio vimenipa nilivyonavyo.
Kuhusu kushindwa kuzaliana kwao hiyo ni shida yao, wapambane kuacha ushoga, labda wataongezeka kidogo kama Wapopo
Ulishawahi kwenda Nigeria? Lagos ipo kama soko la Mabibo kipindi cha masikaUmepima kwa Criteria ipi?
I beg your Pardon, nisamehe sana ila nimekuelewa sasaSi ndio ukosefu wa akili ninaousema mzee, sijui tunashindwa kuelewana wapi...Wewe unafikiri kwa nini hata timu kubwa za mpira hapa Afrika makocha na wataalam wengine wanawatoa nje?
Unprofessionalism, uvivu, wizi na mengineyo
Kwa hiyo kukosa akili ni ushoga au ni kufuga mbuzi?Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuzi
Wenye akili wametengeneza mifumo, mashine, bidhaa ambazo zinekufanya wewe kukaa kitako hapo na kupiga soga mtandaoni, wasio na akili wanapanda maboti wakijaribu kutoroka nchi zao kwenda Ulaya kutafuta maisha boraKwa hiyo kukosa akili ni ushoga au ni kufuga mbuzi?