Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile

Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?

View attachment 2844266
Mkuu,samahani,
Una maana gani unaposema wasio na akili au wenye akili?
 
Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile

Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?

View attachment 2844266
Tatizo itakuwa ni pili pili wanazokula hao Wa-Nigeria.
 
Kws

Waafrica si kwamba hatuna akili. Hatujapata fursa sawa na hao uliowataja wote. Chukua leo watoto 20 wa Kiafrica na hao wengine walee mazingira yanayofanana kila kitu uone kama hawatakuwa sawa.
Kwahio tusubiri kuletewa fursa 😃 hao walio endelea fursa nani aliwa pelekea
 
Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile

Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?

View attachment 2844266
Wala usijali tukifikia hatua hiyo tayar tutakuwa tunaongozwa na marobot. Kwa hiyo hakutaharibika kitu.
 
Mbona mifano ya nchi nilizotaja hawaongei Kiingereza, Kingereza hata Malawi wanaongea
Nimetaja Japan, Korea, Ujerumani....hao utawalinganisha na nchi za Afrika kama Tz , Uganda au Congo?
Au kutetea ngozi nyeusi ndio ujanja?[emoji23]
Canada na Japan wanatafuta Wananchi wengine toka nnje ya nchi kuendesha na kusimamia rasilimali zao maana non resources ni nyingi sana zaidi ya Human being resources.

Matokeo hayo ni sababu ya upumbavu uliouandika hapa kwa imani za kijinga kama zako, tena wengine wakiendekeza masterbation kama suluhisho la uselapimbi badala ya kuoa Wife materials na kuishi nao katika ndoa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Shida nyingine inayowasumbua hao Germany na wenzao ni ushoga
 
Kwahio tusubiri kuletewa fursa [emoji2] hao walio endelea fursa nani aliwa pelekea
White people si waliiba wee mimali kedekede Africa kwa colonialism systems wakipokezana Mataifa mbali mbali kama Italiy, Germany, UK na sasa USA kupitia neocolonialism system, au unajisahaulisha tu Chifu?

UN wana veto power policy, nchi yako isipokuwepo miongoni mwa zile nchi G 21 duniani tu basi katika mikutano ya Mataifa kiuchumi itabaki kuwa Ndugu mtazamaji na kukubaliana na lolote watalopitisha hata kama ni kuonea nchi zenye rasilimali kama DRC & TZ kwa masharti kandamizi.

Hutaki baki na rasilimali zako, tafuta sehemu za kuzichakata ziwe bidhaa nzuri toka kiwandani, mitaji mikubwa ya kuzindua na kukarabati mitambo ya manufacturing processes, soko la kuziuzia, usafirishaji, uhifadhi nnje ya nchi, ulipaji wa kodi za kimataifa na namna ya kukwepana na fitina zozote za Mabeberu maana tayari ushagusa masilahi yao...

Tambua Mabeberu "USA & EU" wengine hutalii tu mwaka hadi mwaka wakitumia rasilimali walizochuma zama za ukoloni na kuendelea kutafuta rasilimali zingine ili wazidi kuimarisha uchumi kimaendeleo watumie hata mileniam ijayo...

Sana sana wakikuonea huruma watakupatia onyo kwa muda ila ukikaza fuvu tu wanakupeleka mbele ya haki bila kupenda...[emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom