Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Sijui una umri gani lkn Waafrika tulikuwepo bila hayo yanayokufanya uwaone hao unawataja kuwa wenye akili wana akili na kwa sababu wewe ndio hauna akili ndio maana hujui ya kwamba hata wao walipitia hatua tuzipitiazo.Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuzi
Sasa hizo akili km wanazo ni kwa nini wameshindwa kuuepuka ushoga na badala yake walazimisha na sisi tuingie kwenye matatizo yaliyotokana na ushoga kiasi cha kukutumia wewe shoga wa kusajiliwa ili utuingize kwenye matatizo yao?
Kawaambie tutaendelea kuzaliana mpaka wajiue wao wenyewe ili waendelee kupungua kiasi kwamba hayo unayosifia ni maendeleo tukayafaidi sasa ndipo ujue ni nani kati yetu na wao wana akili.