Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

Jamaa yuko shallow sana kwenye historia ya hii vita. Hata hajui huu upuuzi wote umechangiwa kwa sehemu kubwa na hao Marekani wake, huku akishirikiana na Washirika wake wa NATO, dhidi Urusi.
 
Swali je kwanini urusi anayataka majimbo ya Ukraine tofauti na hiyo Crimea...?..

Kama ni hao hao watu anaowatetea alishindwa kuwapeleka Russia na kuwapatia eneo la kuishi??
 
Ndoto ya asubuhi hii! Nani wa kumfikisha Putin kwenye hiyo mahakama ya kidwanzi!

Mbona George Bush alipoivamia Iraqi mwaka 2002/3 kwa kisingizio chake cha uongo, na kusababisha maafa makubwa kwa raia wa Iraqi, hakufikishwa kwenye hiyo mahakama?

Mwaka 2011 Marekani hao hao waliivamia Syria, kwa kushirikiana na wapuuzi wenzake wakahamasisha machafuko Libya, na kumuua Kiongozi wake! Walichukuliwa hatua gani?


Vladmir Putin, nyoosha hao mashoga wote walio kuchokoza. No way out.
 

Barikiwa sana mkuu kwa ufafanuzi wako uliokwenda shule, once again thanks a lot.
 
Subiri, msije tu kulikimbia jukwaa [emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Ugaidi uliofanyika, Iraq, Syria, Libya, na kwingineko kwingi mbona dunia haikuuangana dhidi ya gaidi kuu Marekani??

Ona sasa Putin mwenyewe anavyowacheka.
Teh teh teh.
 
Hamna lolote,magaidi ni mabeberu Nato,na ili tuheshimiane humu duniani sharti tena bila shurti tuwe fair kwa maslahi ya wote sio kwa maslahi ya wanaojiita wamiliki wa dunia hii🚶
 
Tupe ushahidi usituletee ramli.
 
The direction of the war,shows that Russia with her allies and the rest of the world. Kama Hitler vile, Putin aangalie sana. He can use anything unusual to determine the fate of the war, and get away with it.
 
We kajamaa ni kaongo kweli, ulikuja na mada zako mara ohoo putin atakufa, mara Russia imefisirika na blah blah kibao.

Tunaojua mambo tukikuambia, urusi ni taifa kubwa, babe na lenye teknolojia ya juu, hakuna nchi inaweza kusimama na Russia kijeshi na ikafanikiwa kumshinda hakuna. Anayo mabomu ya kumaliza kila taka taka hapa duniani

Huo ujasusi wa kumuua Putin unafanya kwenye nchi shenzi shenzi kama huku Africa na kdg south America... mtake msitake pale Ukraine ndio yameisha... ile nchi haitakua tena kama zamani. Walitaka kumuua Assad wa Syria wanaume walipoingia kasome kilichotokea.
 
Jamaa yuko shallow sana kwenye historia ya hii vita. Hata hajui huu upuuzi wote umechangiwa kwa sehemu kubwa na hao Marekani wake, huku akishirikiana na Washirika wake wa NATO, dhidi Urusi.
Shida yenu, Marekani mnamuona hasimu kwa sababu anaua magaidi wenu na kuwaharibia mpango wenu wa 'The Global Jihad Mission' .

Hakuna siku magaidi wanaoua watu kwa jina la allah eti mkawakemea magaidi. Never, kwa sababu mnaelewa wanachofanya ni mpango wa dini yenu.
 
Na uovu huo lazima uwe ulijaribu kuratibu wa na taifa ovu zaidi na mshirika wake wa mashariki ya kati🄱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…