Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

TumainiEl mgogoro huu umeanza zamani sana na kufikia kilele 2014 baada ya Marekani kuingilia siasa za ndani ya Ukraine na kuchochea maandamano ya kumtoa raisi halali wa Ukraine siyo huyu kibaraka Zelenskyy . Pitia hapa Ukraine crisis: Transcript of leaked Nuland-Pyatt call

Kwanza utambue Crimea ilikuwa sehemu ya Russia toka 1783 hadi mwaka 1954 pale Raisi Khrushchev wa USSR (Urusi) alipowapataia Ukraine eneo hili.
Kumbuka Khrushchev alikuwa mtu wa asili ya Ukraine, yaani kama hapa Mama Samia achukue Mafia awakabidhi Zanzibar. Sasa ukitaka kuona watu wako wa magharibi na kibaraka wao Zelenskyy wanavyotaka kusababisha vita ya 3 ya dunia wanakataa haki ya watu wa Crimea kurudi kwenye nchi yao mama (Russia). Wanasema lazima waichukue kwa nguvu kivita Crimea iende tena Ukraine.
Hao unaowashabikia wana nadi demokrasia na kututaka nchi maskini tuheshimu matakwa ya wananchi wao hawataki kuheshimu kura ya maoni ya wana Crimea waliochagua kurudi Russia.

Kuanzia 2014 serikali ya Kiev imekuwa ikiwalipua kwa mizinga na kuwauwa kikatili watu wanaotaka kujitenga na Ukraine, Putin kaenda kuwalinda kama vile watu wa magharibi walivyo enda kuwasaidia watu wa Libya waliompinga Ghadaf au watu wa Cosovo walipotaka kujitenga na Yugoslavia ya zamani. sasa kwanini Russia akifanya kama wao anaonekana katili mpenda vita?
Jamaa yuko shallow sana kwenye historia ya hii vita. Hata hajui huu upuuzi wote umechangiwa kwa sehemu kubwa na hao Marekani wake, huku akishirikiana na Washirika wake wa NATO, dhidi Urusi.
 
Swali je kwanini urusi anayataka majimbo ya Ukraine tofauti na hiyo Crimea...?..

Kama ni hao hao watu anaowatetea alishindwa kuwapeleka Russia na kuwapatia eneo la kuishi??
 
Muda si mrefu dikiteta Putin atakuwa katika Hali mbaya kama inavyoonekana hapo chini..,Sasa sijui mazombi wake wataficha wapi sura zao [emoji848][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2391107

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndoto ya asubuhi hii! Nani wa kumfikisha Putin kwenye hiyo mahakama ya kidwanzi!

Mbona George Bush alipoivamia Iraqi mwaka 2002/3 kwa kisingizio chake cha uongo, na kusababisha maafa makubwa kwa raia wa Iraqi, hakufikishwa kwenye hiyo mahakama?

Mwaka 2011 Marekani hao hao waliivamia Syria, kwa kushirikiana na wapuuzi wenzake wakahamasisha machafuko Libya, na kumuua Kiongozi wake! Walichukuliwa hatua gani?

Vladmir Putin, nyoosha hao mashoga wote walio kuchokoza. No way out.
 
Watu wengi wameibukia hapa juu kwenye ...... russia kaivamia ukraine.. lakin huwezi kuwalaumu maana somo la historia ni moja tu kati ya masomo mengi. Ukute mleta mada kasoma cookery! Ukweli ni kwamba marekan asipobadiri sera zake za kutaka kuwa kilanja wa dunia, na kujipatia kipato kwa njia ya vurugu, fitina, unyang'anyi na chaos bas aman ya dunia itaendelea kuwa mashakan.
Hakuna kitu kibaya kama jambaz kumiliki vyote viwili, SILAHA NA MADARAKA

Barikiwa sana mkuu kwa ufafanuzi wako uliokwenda shule, once again thanks a lot.
 
Ndoto ya asubuhi hii! Nani wa kumfikisha Putin kwenye hiyo mahakama ya kidwanzi!

Mbona George Bush alipoivamia Iraqi mwaka 2002/3 kwa kisingizio chake cha uongo, na kusababisha maafa makubwa kwa raia wa Iraqi, hakufikishwa kwenye hiyo mahakama?

Mwaka 2011 Marekani hao hao waliivamia Syria, kwa kushirikiana na wapuuzi wenzake wakahamasisha machafuko Libya, na kumuua Kiongozi wake! Walichukuliwa hatua gani?

Vladmir Putin, nyoosha hao mashoga wote walio kuchokoza. No way out.
Subiri, msije tu kulikimbia jukwaa [emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.

Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.

Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.

Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.

Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.

Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.

Nitaendelea.

Ugaidi uliofanyika, Iraq, Syria, Libya, na kwingineko kwingi mbona dunia haikuuangana dhidi ya gaidi kuu Marekani??

Ona sasa Putin mwenyewe anavyowacheka.
Teh teh teh.
1666100043775.png
 
Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.

Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.

Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.

Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.

Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.

Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.

Nitaendelea.
Hamna lolote,magaidi ni mabeberu Nato,na ili tuheshimiane humu duniani sharti tena bila shurti tuwe fair kwa maslahi ya wote sio kwa maslahi ya wanaojiita wamiliki wa dunia hii🚶
 
Urusi anajitetea dhiddi ya mpango ovu wa USA na kila mtu anajua alichokifanya Russia ni kwa mjibu wa sheria chini ya Article 51 of the United Nations Convention. Save, kwa viazi mbatata vichache.

Alichofanya ni pre emptive self defence. Ukraine ilikuwa ikiimarishwa makusudi ili kuidhuru au ije itumike kuidhuru Russia.

USA waliwahi kukitumia hiki dhidi ya IRAQ iliyokuwa maelfu ya umbali.
Tuwaache na Warusi nao wajilinde dhidi ya kashetani kalikokuwa kanatengezwa na USA on the Russian Backyard.
Tupe ushahidi usituletee ramli.
 
Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla.

Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia.

Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi yaliazimia kuto tokea madhila mabaya yakivita kama yalio wakuta ktk vita ya dunia ya kwanza na yapili.

Vita na madhila ya Vita yameifanya German kuwa Taifa lililosema vita kwake basi lakini ktk hali yakushangaza sana Urusi ameibuka nakuleta hisia za vita ya tatu ya dunia.

Dunia ipo ktk shock na taarifa zisizo Rasmi USA na washarika wake wanafanya maamuzi magumu huku wakituchekesha.

Yes tafadhali fuwatilia mission zote za Marekani huzifanya while watu wanakula Bata. While usiku kazi kazi.

Nitaendelea.
The direction of the war,shows that Russia with her allies and the rest of the world. Kama Hitler vile, Putin aangalie sana. He can use anything unusual to determine the fate of the war, and get away with it.
 
We kajamaa ni kaongo kweli, ulikuja na mada zako mara ohoo putin atakufa, mara Russia imefisirika na blah blah kibao.

Tunaojua mambo tukikuambia, urusi ni taifa kubwa, babe na lenye teknolojia ya juu, hakuna nchi inaweza kusimama na Russia kijeshi na ikafanikiwa kumshinda hakuna. Anayo mabomu ya kumaliza kila taka taka hapa duniani

Huo ujasusi wa kumuua Putin unafanya kwenye nchi shenzi shenzi kama huku Africa na kdg south America... mtake msitake pale Ukraine ndio yameisha... ile nchi haitakua tena kama zamani. Walitaka kumuua Assad wa Syria wanaume walipoingia kasome kilichotokea.
 
Jamaa yuko shallow sana kwenye historia ya hii vita. Hata hajui huu upuuzi wote umechangiwa kwa sehemu kubwa na hao Marekani wake, huku akishirikiana na Washirika wake wa NATO, dhidi Urusi.
Shida yenu, Marekani mnamuona hasimu kwa sababu anaua magaidi wenu na kuwaharibia mpango wenu wa 'The Global Jihad Mission' .

Hakuna siku magaidi wanaoua watu kwa jina la allah eti mkawakemea magaidi. Never, kwa sababu mnaelewa wanachofanya ni mpango wa dini yenu.
 
We kajamaa ni kaongo kweli, ulikuja ma da zako mara ohoo putin atakufa, mara Russia imefisirika na blah blah kibao.

Tunaojua mambo tukikuambia, urusi ni taifa kubwa, babe na lenye teknolojia ya juu, hakuna nchi inaweza kusimama na Russia kijeshi na ikafanikiwa kumshinda hakuna. Anayo mabomu ya kumaliza kila taka taka hapa duniani

Huo ujasusi wa kumuua Putin unafanya kwenye nchi shenzi shenzi kama huku Africa na kdg south America... mtake msitake pale Ukraine ndio yameisha... ile nchi haitakua tena kama zamani. Walitaka kumuua Assad wa Syria wanaume walipoingia kasome kilichotokea.
Na uovu huo lazima uwe ulijaribu kuratibu wa na taifa ovu zaidi na mshirika wake wa mashariki ya kati🥱
 
Back
Top Bottom