Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Huyo mbabe asiwe muonevu kama huyu aliyopo sasa wa kuegemea upande na kunadi haki za binadam ili hali yeye na mashost zake wanazikiuka kama hazijawahi kuwepoDunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu. Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe kwa muda mrefu. Imekuwa hivyo tokea kuumbwa kwa dunia. Mwenye nguvu mpishe.
Wababe wote toka dunia inaumbwa ni waonezi. Hata US ikianguka anayekuja naye atakuwa muonezi. Na hata wameishaanza uonezi China anataka eneo lote la South China Sea liwe lake peke yake. Urusi ameshatuonyesha uonevu wake. Faida ya ubabe ni uonezi.Huyo mbabe asiwe muonevu kama huyu aliyopo sasa wa kuegemea upande na kunadi haki za binadam ili hali yeye na mashost zake wanazikiuka kama hazijawahi kuwepo
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Tushukuru dunia imestaarabika. Zamani wanyonge wakimpinga mbabe walikuwa wanauliwa kwa maelfu. Wanaobaki wanaenda kufanywa watumwa.mbabe akiwa muonevu wanyonge nao huinua makucha.
Aje tu mbabe mwengine Americant anataka tupakuane wanaume kwa wanaume aah huyu hafaiWababe wote toka dunia inaumbwa ni waonezi. Hata US ikianguka anayekuja naye atakuwa muonezi. Na hata wameishaanza uonezi China anataka eneo lote la South China Sea liwe lake peke yake. Urusi ameshatuonyesha uonevu wake. Faida ya ubabe ni uonezi.
Sema Americunt sio AmericantAje tu mbabe mwengine Americant anataka tupakuane wanaume kwa wanaume aah huyu hafai
sahihi.hao wababe walipozidisha ubabe vita vilisimmama walipigwa wakapigika.Tushukuru dunia imestaarabika. Zamani wanyonge wakimpinga mbabe walikuwa wanauliwa kwa maelfu. Wanaobaki wanaenda kufanywa watumwa.
Unamaana unataka kuwe na supa pawa mmoja mpumbafu kama marekani?Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu.
Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe kwa muda mrefu. Imekuwa hivyo tokea kuumbwa kwa dunia. Mwenye nguvu mpishe.
Mbabe urusi sio huyo marekani anaehangaika na wanyonge.
Hatakosaje kuwa na upande wakati chawa wapo?Inategemea kama huyo mbabe hana upande na anataka haki kwa kila mmoja kama hawezi kusimamia Haki kwa kila mmoja nae ataondolewa tuu.