Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Nakunukuu

"kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu".
Fanyeni masihara ila wanacho fanya mabeberu wa ulaya na America ni bomu linalosubiri kulipika,na ujinga huu ukiendelea tunaweza ingia wwwIII
 
Nakunukuu

"kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu".
Fanyeni masihara ila wanacho fanya mabeberu wa ulaya na America ni bomu linalosubiri kulipika,na ujinga huu ukiendelea tunaweza ingia wwwIII
 
Wanaye mchunguza ndo jasusi nguli so tafuta sababu nyingine
 
Anapolala Putin ni watu wachache sana wanapajua kwa sasa. Chakula chake pia kinaandaliwa mbali sana na ni dakika za mwisho waandaaji wanatajiwa Pa kukipeleka.
Anaogopa nini huyo Mzee ?
 
Russia Federation au Tanzania Football Federation mtoa Uzi heading yako siilewi tunawasubiria akina nani watoe tamko? 🤣
 
Acha utahira wako kujifanya unajua kuliko waliokuwepo huko,we kula ugali wako wa maharagwe ukafie mbele.
 
Wewe umejua lkn wao wenyewe hawajui. Lea watoto wako mama, umeolewa ili ulee hao watoto na si kushinda mitandaoni.
Kwani kuna ubaya akichangia huu uzi ?...
 
Yaani ili jukwaa halina uwalisia kama majukwaa mengine lime kuwa jukwaa la wachambuzi wa michongo yaani hipo hivi humu kuna wamarekani wa kibongo nawarusi wa kibongo nakazia wanaotetea serikali za kibepari na na wanaotetea serikali za kijama . Sasa jukwaa linakuwa halina habari za uwakika . Kwa ufupi nachukia sana maana kama mimi sinaushabiki wa ujamaaa wa wala ubepari
 
Humu kinachotangulizwa ni 'unazi' zaidi. Facts si priority tena!

Utakutana na porojo nyingi. Mara "fulani anajitekenya na kucheka mwenyewe", mara "mbabe fulani kawashika pabaya". Huko "pabaya" sijui ndio wapi?!

Mara "fulani apigwe tu". Mara "fulani sio Zimbabwe". Ni vurugu tupu!

Soma kila content kwa uangalifu mkubwa. Tanguliza mashaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…