Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309

Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts.

Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini such kind of issues zipo common kwa walokole?
 
Religion is a drug, religious leaders are the dealers, Believers are the addicts.

Sio kwamba huyo msichana karukwa na akili, ni wanafanya maigizo tu.

Hapo akitokea mtu akapiga risasi juu kwa ghafla, Utaona akili zinamrudi kwa haraka huyo msichana. Atatafuta njia ya kutokea iko wapi?

Hapo anaigiza tu.
 
Religion is a drug, religious leaders are the dealers, Believers are the addicts.

Sio kwamba huyo msichana karukwa na akili, ni wanafanya maigizo tu.

Hapo akitokea mtu akapiga risasi juu kwa ghafla, Utaona akili zinamrudi kwa haraka huyo msichana.

Hapo anaigiza tu.
Kwamba wenye majini wote wanaigiza au?
 
Inawezekana ni ukweli 🤔🤔japo Kuna watu wenye akili timamu kabisa utaona Kuna effect inawapata
 
Kwamba wenye majini wote wanaigiza au?
Habari za majini zina aminiwa na watu wajinga na maskini tu.

Huwezi kukuta mtu kama Bakhressa, Mo Dewji, Aliko Dangote au Elon Musk anaamini na kuzungumzia huu ujinga wa  majini.

Majini ni stori za wajinga tu.

Majini ni imani zinazo aminiwa na wajinga tu.

Hakuna majini.

Hakuna Mungu wala Shetani.
 
Back
Top Bottom